Quote by Putra Ruzbaihan Download Open image ““Ma maktuuban saufa yakuun.”” — Putra Ruzbaihan ★ ★ ★ ★ ★ 2.9 out of 5 (5 ratings) Copy quoteShare
“Yapo mambo mabaya, na yapo mambo mazuri, ambayo wakoloni walituletea. Chukua mazuri, acha mabaya.” — Enock Maregesi Copy Share Image
“Tengeneza maisha ya mwanao kwa kuongea naye maneno mazuri anapokuwa tumboni mwako, na anapokuwa ananyonya akikuangalia machoni.” — Enock Maregesi Copy Share Image
“Kama huna mama, kama mama yako alishafariki, au kama yupo lakini hakujali, hata kama baba yako yupo au hayupo, mafanikio yako yatatokana na juhudi… — Enock Maregesi Copy Share Image
“Dunia imekata tamaa. Matatizo ya watu yamekuwa makubwa kuliko ukombozi wa maisha yao. Sekunde moja ya toba inaweza kukupa ufalme wa mbinguni. Hujachelewa.” — Enock Maregesi Copy Share Image