Quote by Basho Download Open image ““Furi ika ya! Kawaza tobikomu Mizo no oto”” — Basho ★ ★ ★ ★ ★ 4.9 out of 5 (5 ratings) Copy quoteShare
“Matatizo ya watu yamekuwa makubwa kuliko Injili. Mungu hasisimuliwi na matatizo yako. Anasisimuliwa na imani yako.” — Enock Maregesi Copy Share Image
“Komando hata akiwa na kizibo cha bia usimruhusu awe nacho. Anaweza kukutoa shingo.” — Enock Maregesi Copy Share Image
“Hata kama unadaiwa, pokea simu ukipigiwa. Unaweza kupoteza fursa.” — Enock Maregesi Copy Share Image
“Dunia imekata tamaa. Matatizo ya watu yamekuwa makubwa kuliko ukombozi wa maisha yao. Sekunde moja ya toba inaweza kukupa ufalme wa mbinguni. Hujachelewa.” — Enock Maregesi Copy Share Image
“Abra maana yake ni fursa. Kwa hiyo, geuza matatizo yako kuwa fursa. Lakini, utageuzaje matatizo yako kuwa fursa? Kugeuza matatizo yako kuwa fursa, amini… — Enock Maregesi Copy Share Image
“Hatumtaki kiongozi anayeishi katika mifuko ya mafisadi, tunamtaka kiongozi anayeishi katika ibara za katiba ya nchi. Kitambi bila Yesu ni jipu.” — Enock Maregesi Copy Share Image
“Kareeda ni Karasu no tomarikeri Aki no kure trans: On a bare branch A crow is perched - Autumn evening” — Bashō Copy Share Image