“Mungu ana mpango na maisha ya kila mtu hapa duniani bila kujali dini, jinsia, kabila, rangi, taifa, au umri, na kila mtu… — Enock Maregesi Copy Share Image
“Wewe kuingilia mambo ya John ni sawa na kusema, ‘Mungu umeshindwa hebu ngoja na mimi nijaribu; ngoja niingilie kati kukusaidia juu ya… — Enock Maregesi Copy Share Image
“Unapokuwa na matatizo makubwa katika maisha, Shetani anakuandama sana, Mungu ana mpango maalumu na maisha yako.” — Enock Maregesi Copy Share Image