Quote by Unkwnon Download Open image “Niya ma 3omra kat mchi m3a 9alet niya!!” — Unkwnon ★ ★ ★ ★ ★ 4.7 out of 5 (5 ratings) Copy quoteShare
“Hatumtaki kiongozi anayeishi katika mifuko ya mafisadi, tunamtaka kiongozi anayeishi katika ibara za katiba ya nchi. Kitambi bila Yesu ni jipu.” — Enock Maregesi Copy Share Image
“Baada ya Adam na Hawa kutenda dhambi katika bustani ya Edeni, kila mtu anayezaliwa anazaliwa katika dhambi. Kwa hiyo dhambi hutokana na maisha, na… — Enock Maregesi Copy Share Image
MAGANDA KA ! MAGANDA AKO ! MALANDI KA ! sige na TALO NA AKO, PANALO KA NA !!, IKAW NA !!!! — Criza Joy Copy Share Image
“Ndani ya chumba, akiwa bado amechanganyikiwa, akiwa hajui Debbie alikokwenda, Murphy alisikia walinzi wakipiga kelele nje. Kamanda huwa anakuwa shetani nyakati kama hizo. Alibeba… — Enock Maregesi Copy Share Image
“Unapokuwa na matatizo makubwa katika maisha, Shetani anakuandama sana, Mungu ana mpango maalumu na maisha yako.” — Enock Maregesi Copy Share Image
Mchawi ni mjinga siku zote kwa kuwa haibi mali bali anakutesa tu hata kama ni masikini — Bob Riza Copy Share Image
“Unapokumbana na matatizo makubwa katika maisha yako ujue Mungu ana mpango maalumu na maisha yako. Ndiyo maana Shetani anakuandama hivyo.” — Enock Maregesi Copy Share Image
Naruuradii jaceeylkee Sharta laga nasahayee Sidi nirigta maandeeq Naxariista eegmada Ugu soo noqnoqotaan bilaneey Kuugu nugulahay Niyadeeydu gacalooy Mideey naawishaad tahay — Jirow Copy Share Image
“Praktek teori "menderita dahulu baru bahagia" sangatlah berat penanggungannya!” — Sulastin Sutrisno Copy Share Image
“Mtu aliyepoteza kila kitu katika maisha yake ana uwezo wa kufanya chochote.” — Enock Maregesi Copy Share Image