Best Swahili Sayings
- Unaweza ukawa na pesa na bado ukawa unateseka na mawazo — Bob Riza
- Uzuri wa mtu sio sura bali ni moyo wake — Bob Riza
- Pigana pambana sana epuka kubugi na kusababisha vyenye laana — Bob Riza
- Lazima uwe na nywele ili uweze kunyoa — Bob Riza
- Adui ni mtu mbaya sana kwani nia yake ni kukudhuru tu — Bob Riza
- Imani ipo moyoni na sio machoni — Bob Riza
- Asilimia 99.5% tuna dhambi — Bob Riza
- Mziki unaweza ukakutoa kwenye dhiki lakini sio kila mwanamuziki unampa riziki — Bob Riza
- Elimu haina mwisho — Bob Riza
- Hakuna mtu asiyependa mafanikio — Bob Riza
- Yesu yupo njiani siku yoyote ile atakuja kuwachukua walio wake — Bob Riza
- Hakuna bora kati ya simba na chui maana wote huweza kukudhuru — Bob Riza
- Japokuwa pombe ni mbaya lakini ina faida katika maisha ya binadamu — Bob Riza
- Bora uamini kuwa mungu yupo ili ukimkosa iwe sawa tu kuliko kutomwamini kisha ukamkuta — Bob Riza
- Tenda wema nenda zako — Bob Riza
- Kukubali kushindwa ni kukubali kutofanikiwa — Bob Riza
- Mke ni mke hata kama hana jicho — Bob Riza
- Ni ujinga kufanya ngono peku wakati zana unazo mfukoni — Bob Riza
- Uke hauukuitwa uume kwa kuwa upo kwa mwanamke — Bob Riza
- Uume haukuitwa uke kwa kuwa upo kwa mwanaume — Bob Riza
- Siku aina rangi — Bob Riza
- Maisha ya muafrika ni kama vazi la malaya anayejiuza — Bob Riza
- Uwezi kuipata kesho bora kama unaiwaza jana — Bob Riza
- Mwerevu hufikiri kabla ya kutenda jambo — Bob Riza
- Binadamu wote ni sawa haijalishi rangi, kabila au utaifa — Bob Riza