“Muda haututoshi. Tunajua mizigo hiyo ni ya nani. Tunajua nani aliua maafisa wetu wa polisi na maafisa wa polisi wa Meksiko na Marekani na wapita njia na kwa nini alifanya hivyo. Hatujui kwa hakika imefichwa wapi. Kuwakamata wahusika ni kazi… — Enock Maregesi Copy Share Image
“Lakini kabla Rais hajaendelea kuongea, na ‘John Murphy wa Kolonia Santita’, Mogens aliruka na kumnyang’anya simu. “Ambilikile,” Mogens aliita, akiangalia saa. “Brodersen,” Sauti ya upande wa pili ilijibu, baada ya sekunde kumi. “60111906,” Mogens alisema, baada ya sekunde kumi. “57121906,”… — Enock Maregesi Copy Share Image