“Kusudi mimba itungwe lazima kuwepo na kromosomu X na kromosomu Y. Kromosomu ni nyuzinyuzi katika kiini cha seli zenye jeni au DNA, ambazo hubeba taarifa kuhusu sifa za kimaumbile zinazorithishwa kwa kiumbe hai kutoka kwa mama na baba wa kiumbe… — Enock Maregesi Copy Share Image
“Kuandika riwaya ya kijasusi kama Kolonia Santita lazima uishi kama Myahudi. Lazima uishi kifikra!” — Enock Maregesi Copy Share Image