Best Swahili Quotes
- Wasiokujua wanaishia kutaka kukujua kupitia kwa wasiokujua kwa kutaka taarifa za maisha yako yale wasiyoyajua. — Lc The DreamKid
- My name is Dashiki. That's Swahili for doggy-style. -Dashiki — Dont Be A Menace
- Maisha yangekuwa sumu watu wengi tungekufa — Bob Riza
- Mawazo hayapimwi kwa mzani — Bob Riza
- Mke hanapenda mabusu na sio makofi — Bob Riza
- Ujinga wa wachawi ni kwamba hawakuibii mali wala pesa bali kukukaba na kukutesa tu — Bob Riza
- Asiyefunzwa na mamaye atafunzwa na ulimwengu — Bob Riza
- Hata raisi naye huwa anaenda msalani na anafurahi au kununa kama mtu wa kawaida — Bob Riza
- Wanasema ukikalia mafiga ni vibaya kwa mtoto wa kiume ''mababu hao — Bob Riza
- Tatizo lisikie kwa mwenzako tu...likikupata wewe utakiona cha moto — Bob Riza
- Mpiganaji hupata kidogo kitu sio sawa na mkaa bure — Bob Riza
- Mimi nina sumu kama kifutu hivyo usije na kisu butu — Bob Riza
- Kamwe panga haliwezi kukaa kwenye pochi — Bob Riza
- Rafiki ni yule akufaaye kwenye dhiki — Bob Riza
- Hakuna binadamu mwenye mamlaka sawa na mungu — Bob Riza
- Kamwe chupi haivaliwi miguuni — Bob Riza
- Hakuna makalio yaliyochongoka 'nenda popote pale duniani hutoyakuta — Bob Riza
- Mchawi wako anaweza kuwa hata ndugu yako wa damu — Bob Riza
- Mama ni mama hata akiwa kilema — Bob Riza
- Raha ya mapenzi ni kuwa huru na sio uwoga na wasiwasi — Bob Riza
- Maisha yangu ni yangu hivyo usinifatilie nachokifanya — Bob Riza
- Katika lugha ya kiswahili tunakaza sauti katika silabi ya pili kutoka mwisho — Bob Riza
- Mchawi ni mjinga siku zote kwa kuwa haibi mali bali anakutesa tu hata kama ni masikini — Bob Riza
- Kucha haina nywele — Bob Riza
- Kama ukimwi ungekuwa binadamu basi ungekuwa na dhambi nyingi sana — Bob Riza