Ujinga wa wachawi ni kwamba hawakuibii mali wala pesa bali kukukaba na kukutesa tu — Bob Riza Bali Copy Share Image
Mchawi ni mjinga siku zote kwa kuwa haibi mali bali anakutesa tu hata kama ni masikini — Bob Riza Swahili Copy Share Image
Hata raisi naye huwa anaenda msalani na anafurahi au kununa kama mtu wa kawaida — Bob Riza Kama Copy Share Image
Bora uamini kuwa mungu yupo ili ukimkosa iwe sawa tu kuliko kutomwamini kisha ukamkuta — Bob Riza Swahili Copy Share Image
Wanasema ukikalia mafiga ni vibaya kwa mtoto wa kiume ''mababu hao — Bob Riza Swahili Copy Share Image