Wasiokujua wanaishia kutaka kukujua kupitia kwa wasiokujua kwa kutaka taarifa za maisha yako yale wasiyoyajua. — Lc The DreamKid Copy Share Image
Mchawi ni mjinga siku zote kwa kuwa haibi mali bali anakutesa tu hata kama ni masikini — Bob Riza Copy Share Image
Kuusikitikia sana muda uliopita ni dalili tosha ya kuwa hatuujali wakati tulionao. — Lc The DreamKid Copy Share Image
Ujinga wa wachawi ni kwamba hawakuibii mali wala pesa bali kukukaba na kukutesa tu — Bob Riza Copy Share Image
Uzuri uonekanao machoni, katu haufanani na uzuri uonekanao moyoni.. — Lc The DreamKid Copy Share Image
Kwa mara nyingi, Kutoa nasaha baada ya tukio, ni sawa na kumpa majeruhi (mgonjwa) dawa baada ya kifo. — Lc The DreamKid Copy Share Image
Tunaishi duniani hali ya kutenda maovu usiku na mchana na kudhani kuwa tutaipata pepo hali ya kusahau kuwa Adam kosa 1 tu… — Lc The DreamKid Copy Share Image
Tunaishi duniani hali ya kutenda maovu usiku na mchana na kudhani kuwa tutaipata pepo hali ya kusahau kuwa Adam kosa moja tu… — Lc The DreamKid Copy Share Image
“For the rest of my life, Zanzibar will be the Swahili word for rain. The rain would drizzle, spit, mist, downpour, shower,… — Kristine K. Stevens Copy Share Image