Tungo ni safi nzuri, ahsantuu Utunzi huna dosari, wewe juu Waenda njema safari, ya majuu Hassani wewe hodari, ni mkuu Beti zanukia wazi, karafuu Twafurahia ujuzi, ulio juu Furaha kubwa azizi, sikukuu Mkono wenye pongezi, shika huu — Bakari A Ali Reading UK Copy Share Image
Tungo ni safi nzuri, ahsantuu Utunzi huna dosari, wewe juu Waenda njema safari, ya majuu Hassani wewe hodari, ni mkuu Beti zanukia wazi, karafuu… — Bakari A Ali Reading UK Copy Share Image