“Mwalimu Julius Kambarage Nyerere alikuwa mtetezi wa uafrika. Kwa sababu yake tunajua sisi ni nani.” — Enock Maregesi Copy Share Image
“Sisi ni watoto wa Nelson Mandela; sisi ni watoto wa Kwame Nkrumah; sisi ni watoto wa Haile Selassie; sisi ni watoto wa Samora Machel; sisi ni watoto wa Robert Mugabe; sisi ni watoto wa Patrice Lumumba; sisi ni watoto wa… — Enock Maregesi Copy Share Image