“Mateso yalishakuwa mengi, na Murphy alishakata tamaa. Kesho yake alitamani sana aione lakini hakukuwa na dalili yoyote ya maadui kumwacha hai. Walivyomning’iniza kama nyama ya kuokwa kwa kipindi kirefu, walichoka kupiga na kumkalisha katika kiti cha umeme na kumfunga miguu… — Enock Maregesi Copy Share Image
“Those who see poverty looking for human slaves to capture, will tell you they saw him holding the handcuffs of laziness.” — Israelmore Ayivor Copy Share Image