Skip to content

Siku moja, jambo baya litatokea. Labda babu yako au mnyama…

“Siku moja, jambo baya litatokea. Labda babu yako au mnyama wako kipenzi atafariki au shangazi yako atagundulika na kansa. Labda utafukuzwa kazi au utaachika kwa mumeo au mkeo mliyependana sana. Labda rafiki yako kipenzi atapata ajali mbaya ya gari na utatakiwa kupeleka taarifa kwa ndugu na…” quote by Enock Maregesi
Download Open image
““Siku moja, jambo baya litatokea. Labda babu yako au mnyama wako kipenzi atafariki au shangazi yako atagundulika na kansa. Labda utafukuzwa kazi au utaachika kwa mumeo au mkeo mliyependana sana. Labda rafiki yako kipenzi atapata ajali mbaya ya gari na utatakiwa kupeleka taarifa kwa ndugu na marafiki zake. Kutoa taarifa ya jambo baya kwa mtu ni kazi ngumu sawa na kupokea taarifa ya jambo baya kutoka kwa mtu. Kama umeteuliwa kupeleka taarifa ya kifo au ya jambo lolote baya kwa mtu fanya hivyo kwa makini. Toa taarifa ya msiba au ya jambo lolote baya kwa hekima na busara kama Ibrahimu alivyofanya kwa Sara kuhusiana na kafara ya Isaka, si kama Mbenyamini alivyofanya kwa Eli kuhusiana na kutwaliwa kwa sanduku la agano na kuuwawa kwa watoto wake wawili. Jidhibiti kwanza wewe mwenyewe kama umeteuliwa kupeleka taarifa ya kifo au ya jambo lolote baya. Angalia kama wewe ni mtu sahihi wa kupeleka taarifa hiyo. Pangilia mawazo ya kile unachotaka kwenda kukisema au unachotaka kwenda kukiandika. Mwangalie machoni, si usoni, yule unayempelekea taarifa kisha mwambie kwa sauti ya upole nini kimetokea.””

Enock Maregesi

About This Quote

This interpretation was drafted with AI assistance. It is one reading of the quote, not the author's own explanation.

Delivering bad news requires careful preparation, empathy, and wisdom, mirroring biblical examples of handling death and tragedy.

In simple terms: Share difficult information thoughtfully and responsibly.

Key Takeaway

Handle sensitive messages with care.

Themes

responsibility empathy communication

Mood

serious thoughtful

Type

guidance ethical

When to use this quote

  • family crises
  • workplace announcements
  • health disclosures
  • legal notices

Key Concepts

ethical duty wisdom compassion

Questions to Reflect On

  • Who should you consult before delivering tough news?
  • What tone best conveys respect?
A Different Perspective

Balancing truth with kindness can be challenging.

★ ★ ★ ★ ★ No ratings yet

More by Enock Maregesi

Explore all 471 Enock Maregesi quotes

More Abraham quotes

Browse all 484 Abraham quotes