“Ubaguzi ni ubinafsi lakini hakuna ubinafsi mbaya kama ubaguzi.” — Enock Maregesi Discrimination Copy Share Image
“Kuikaribisha amani ya Mungu katika maisha yangu kumenisaidia. Naishi mbinguni duniani.” — Enock Maregesi Divine Copy Share Image
“Shetani hawezi kuona wala kusikia kinachoendelea ndani ya moyo wako.” — Enock Maregesi Satan Copy Share Image
When people tell you to shake your money maker don't shake your booty. Shake your head. — Enock Maregesi Mind Copy Share Image
“Kitu cha kwanza kufanya kama umeamua kuficha ukweli wape watu ukweli mwingine.” — Enock Maregesi Truth Copy Share Image
“Dhambi ikizidi katika taifa, Mungu ataliangamiza. Taifa likitenda haki, Mungu ataliinua.” — Enock Maregesi Dhambi Copy Share Image
“Mtu anayesema pesa haijampa furaha hana nia ya kusaidia watu.” — Enock Maregesi Economist Copy Share Image
“Kuwa na huruma kwa malaika anayekulinda ni kujifunika kwa silaha kamili ya Mungu. Ukijifunika kwa panoplia utamrahisishia kazi malaika wako, aliyepewa jukumu… — Enock Maregesi Angel Copy Share Image
“Mwambie mtoto wako maneno mazuri anapokuwa ananyonya na kukuangalia machoni kwa kukukodolea. Maneno utakayomwambia ndiyo yatakayokuwa msingi wa mawazo yake, na ndiyo… — Enock Maregesi Child Copy Share Image
“Injili tunayohubiriwa haina ugumu wowote. Mungu anatutaka tuamini na tunapoamini, tunapopata ufahamu na kuamini kuwa Mwana wa Mungu alikuwa binadamu kama sisi… — Enock Maregesi Binadamu Copy Share Image
“Unapokumbana na matatizo makubwa katika maisha yako ujue Mungu ana mpango maalumu na maisha yako. Ndiyo maana Shetani anakuandama hivyo.” — Enock Maregesi God Copy Share Image
“Mwandishi lazima awe msomaji wa kila aina ya maandishi anayoweza kusoma. Akipanua upeo wake namna hiyo, kila atakachoandika kitaacha nukuu.” — Enock Maregesi Copy Share Image
“Kuna sababu za msingi na za kinabii za damu na maji vilivyotoka katika mbavu za Yesu Kristo msalabani. Ubavu wake uliochomwa na… — Enock Maregesi Copy Share Image
“Mbili jumulisha mbili wakati mwingine si sawa na nne. Ni sawa na nne jumulisha moja kwa sababu moja ni nguvu ya ushirikiano.” — Enock Maregesi Copy Share Image
“Sikujui. Lakini naamini hungependa kuishi maisha yako hapa duniani bila kuacha urithi au kumbukumbu ya aina yoyote katika jamii.” — Enock Maregesi Copy Share Image
“Ukiwaza kitu kwa dakika moja na sekunde nane – huu ni utafiti wangu tu – hicho kitu kitaanza kujiumba kwa ajili yako… — Enock Maregesi Education Copy Share Image
“Usipoangalia kwa undani sana, mapepo wanatutawala kwa sababu hatuna uwezo wa kuwaona. Aidha, wanaweza, bila hata sisi kujua, kuwasiliana nasi kimawazo na… — Enock Maregesi Copy Share Image
“Debbie alilia. Alilia kwa nguvu zake zote. Alijua tayari alishampoteza Murphy na yote yale huenda alisababisha yeye. Bila kujuana na Vijana wa… — Enock Maregesi Copy Share Image
“Mtu akikuita mjinga au mpumbavu juu ya maisha yako usikasirike kwa sababu wewe si mjinga wala mpumbavu. Sema hapana kwa ndiyo nyingi… — Enock Maregesi Almighty god Copy Share Image
“Watoto wadogo wanakufa. Watu wazima wasiokuwa na hatia wanakufa vitani na katika majanga mengine ya asili. Kwa nini? Watoto wadogo wanaokufa walikuja… — Enock Maregesi Adults Copy Share Image
“Kwa nini mtoto mchanga anapokuwa ananyonya ziwa la mama yake, mara nyingi humwangalia mama yake machoni? Kwa sababu, licha ya macho kuonekana… — Enock Maregesi Baby Copy Share Image
“Mandela alikuwa hodari ndiyo maana akapelekwa jela. Alikuwa mvumilivu ndiyo maana akakaa jela kwa miaka ishirini na saba. Alivyotoka akawa kiongozi bora… — Enock Maregesi Dream Copy Share Image
“Kuna ushahidi wa kutosha katika maandiko kwamba Yesu aliugua hipovolimia kutokana na kuchapwa. Yesu alipobeba msalaba wake kuelekea Golgotha alianguka, na mtu… — Enock Maregesi Copy Share Image