Safari Ya Quotes
- Safari ya mipango na malengo katika maisha ni ndefu, lakini lazima ufike kwa uwezo wa YEYE MUWEZA wa YOTE.... By Daudi Bilingi. a.k.a DAV THE… — Daudi Bilingi
- Tungo ni safi nzuri, ahsantuu Utunzi huna dosari, wewe juu Waenda njema safari, ya majuu Hassani wewe hodari, ni mkuu Beti zanukia wazi, karafuu Twafurahia… — Unknown Author