“Bethlehemu iliteuliwa na Mungu kuwa mahali pa kuzaliwa Mfalme. Kwa sababu ya Bethlehemu, dhambi zetu zote zilisamehewa. Wakristo wengi wakipata pesa wanakwenda Dubai, China, Marekani, Uingereza, na mahali pengine kutalii. Lakini hawaendi Bethlehemu.” — Enock Maregesi Copy Share Image
“Lakini damu na maji vina maana kubwa katika maisha yetu. Biblia inaeleza kuwa wakati Yesu Kristo akiwa msalabani alichomwa ubavu wake kwa mkuki, ikatoka damu na maji, ndipo zilipozaliwa sakramenti za kanisa. Aidha, tukio la askari wa Kirumi kumchoma Yesu… — Enock Maregesi Copy Share Image