“At some point in our lives we make a decision, he thought, a choice that, though we don't understand it at the time, will be final and will define how the years will treat us. it is a fork in… — Antti Tuomainen Copy Share Image
“Tunapaswa kuyafikiria madhaifu yetu na dhambi zetu kwa makini sana, kwa kiasi cha kuyashinda madhaifu hayo na dhambi hizo, kabla hatujatoa maamuzi makali dhidi ya wenzetu. Tunawezaje kumlaumu mtu wakati hata sisi wenyewe tunaweza kuwa na matatizo makubwa? Tusiwe wanafiki.… — Enock Maregesi Copy Share Image