Boresha maisha ya watu kwa kadiri utakavyoweza. Ukisaidia…
““Boresha maisha ya watu kwa kadiri utakavyoweza. Ukisaidia mtu 1 watahurumiwa watu 10. Ukisaidia watu 10 watahurumiwa watu 100. Ukisaidia watu 100 watahurumiwa watu 1000. Kila mmoja wetu akitambua wajibu wake katika jamii, Mungu atatuhurumia sisi wote. Maisha ya mtu mmoja yakiboreka, mmoja huyo ataboresha na ya wengine wengi. Hivyo, endelea kuogelea lakini usisahau kurudi nyuma katika jamii.””
About This Quote
This interpretation was drafted with AI assistance. It is one reading of the quote, not the author's own explanation.
Helping others multiplies benefit; collective duty leads to divine mercy.
In simple terms: Help others, receive blessings.
Serve community.
Themes
Mood
Type
When to use this quote
- volunteering
- community projects
- social work
Key Concepts
Questions to Reflect On
- How can we balance self‑care and service?
- What structures support mutual aid?
May overlook individual limits.