Yako Quotes
- Wasiokujua wanaishia kutaka kukujua kupitia kwa wasiokujua kwa kutaka taarifa za maisha yako yale wasiyoyajua. — Lc The DreamKid
- Jaribu kumsaidia rafiki yako pale anapohitaji msaada, huwezijua ni lini utahitaji msaada wake. — Daudi Bilingi
- Shida yako ni ukule vako — Moxley Stevo
- Mchawi wako anaweza kuwa hata ndugu yako wa damu — Bob Riza
- Wakati wa usiku alikuwa kijana mimi nilikuwa pale Wakati kila mtu kuona mimi kwa ambaye nilikuwa, nilikuwa huko Wakati wewe inaonekana juu kutoka mbali nilikuwa… — Jess Jessenia