Uzuri Quotes
- Ubaya ama uzuri wa mtu haupimwi kwa muonekano wake, bali ni kwa matendo yadhahiri ya mtu. — Lc The DreamKid
- Uzuri uonekanao machoni, katu haufanani na uzuri uonekanao moyoni.. — Lc The DreamKid
- Uzuri wa mtu sio sura bali ni moyo wake — Bob Riza