Sawa Quotes
- Kwa mara nyingi, Kutoa nasaha baada ya tukio, ni sawa na kumpa majeruhi (mgonjwa) dawa baada ya kifo. — Lc The DreamKid
- Mpiganaji hupata kidogo kitu sio sawa na mkaa bure — Bob Riza
- Hakuna binadamu mwenye mamlaka sawa na mungu — Bob Riza
- Bora uamini kuwa mungu yupo ili ukimkosa iwe sawa tu kuliko kutomwamini kisha ukamkuta — Bob Riza
- Binadamu wote ni sawa haijalishi rangi, kabila au utaifa — Bob Riza