Mungu Quotes
- HaijalishI UnamuonekanOganI, yOTE ni Kazi Ya MUNGU. so, JIKUBALI. @All....!!!! — Daudi Bilingi
- Hakuna binadamu mwenye mamlaka sawa na mungu — Bob Riza
- Bora uamini kuwa mungu yupo ili ukimkosa iwe sawa tu kuliko kutomwamini kisha ukamkuta — Bob Riza