Maisha Ya Quotes
- Maisha ya uhakika tuishio ni yale tuishio pamoja na nafsi zetu na sio tuwapo mbele za watu. — Lc The DreamKid
- Japokuwa pombe ni mbaya lakini ina faida katika maisha ya binadamu — Bob Riza
- Maisha ya muafrika ni kama vazi la malaya anayejiuza — Bob Riza