Kuliko Quotes
- Saa moja ukaayo na maumivu ni refu kuliko siku nzima iliyo na furaha. — Lc The DreamKid
- Umri, unatufundisha zaidi na mengi kuliko hata vitabu. — Lc The DreamKid
- Kujiepusha na kidogo chenye kuumiza ni bora, kuliko kuwa na kingi chenye kukufurahisha. — Lc The DreamKid
- Bora uamini kuwa mungu yupo ili ukimkosa iwe sawa tu kuliko kutomwamini kisha ukamkuta — Bob Riza