Kidogo Quotes
- Kujiepusha na kidogo chenye kuumiza ni bora, kuliko kuwa na kingi chenye kukufurahisha. — Lc The DreamKid
- Watu wema, ni wale wanaojali uwapacho hata kama ni kidogo.. — Lc The DreamKid
- Mpiganaji hupata kidogo kitu sio sawa na mkaa bure — Bob Riza