Katika Quotes
- Matajiri wa dunia hii walianzia katika familia maskini. Utajiri mkubwa kwao ni ujasiri wa kushinda woga wa umaskini. Nasi tunaweza. — Lc The DreamKid
- Safari ya mipango na malengo katika maisha ni ndefu, lakini lazima ufike kwa uwezo wa YEYE MUWEZA wa YOTE.... By Daudi Bilingi. a.k.a DAV THE… — Daudi Bilingi
- Katika lugha ya kiswahili tunakaza sauti katika silabi ya pili kutoka mwisho — Bob Riza
- Japokuwa pombe ni mbaya lakini ina faida katika maisha ya binadamu — Bob Riza