“Sentensi ni mkusanyiko wa maneno unaoanza na herufi kubwa na kuisha na alama ya kushangaa, kuuliza, au nukta. Sentensi bora ni fupi, angavu, sahihi, yenye mantiki, na kamilifu.” — Enock Maregesi Copy Share Image
“Sentensi bora katika medani ya uandishi ni sentensi fupi, angavu, sahihi, yenye mantiki, na kamilifu.” — Enock Maregesi Copy Share Image