“Shetani ni mjanja sana. Anajua bila elimu hataweza kutawala dunia, baada ya mpango wa Mungu kukamilika. Anajua, mtu akipata elimu ni rahisi sana kujua kama Shetani hayupo. Hivyo Shetani atatimiza malengo yake bila watu kujua.” — Enock Maregesi Copy Share Image
“Kama Shetani hawezi kulala sisi tutalalaje? Pambana hadi siku ya mwisho.” — Enock Maregesi Copy Share Image