---
title: "Meaning & Key Takeaway of: Mnamo mwaka 1957 Rais David Eisenhower wa…"
description: "\"“Mnamo mwaka 1957 Rais David Eisenhower wa Marekani (inasemekana) alipewa taarifa usiku mmoja akiwa Washington, D.C., kuhusu chombo cha ajabu kilichoan..."
image: "https://sms4smile.com/quotes/i/df6/enock-maregesi-493_aliens_mnamo-mwaka-1957-rais-david-eisenhower-w_2481978.jpg"
---

#  Mnamo mwaka 1957 Rais David Eisenhower wa Marekani…

![“Mnamo mwaka 1957 Rais David Eisenhower wa Marekani (inasemekana) alipewa taarifa usiku mmoja akiwa Washington, D.C., kuhusu chombo cha ajabu kilichoanguka kwenye jangwa la Nevada huko Marekani. Ndani ya chombo kile kulikuwa na ‘aliens’ wawili, nao waliomba kuonana na Eisenhower kuhusu ujumbe…” quote by Enock Maregesi](https://sms4smile.com/quotes/i/df6/enock-maregesi-493_aliens_mnamo-mwaka-1957-rais-david-eisenhower-w_2481978.jpg)   [Download](https://sms4smile.com/quotes/i/df6/enock-maregesi-493_aliens_mnamo-mwaka-1957-rais-david-eisenhower-w_2481978.jpg) [Open image](https://sms4smile.com/quotes/i/df6/enock-maregesi-493_aliens_mnamo-mwaka-1957-rais-david-eisenhower-w_2481978.jpg)

> ““Mnamo mwaka 1957 Rais David Eisenhower wa Marekani (inasemekana) alipewa taarifa usiku mmoja akiwa Washington, D.C., kuhusu chombo cha ajabu kilichoanguka kwenye jangwa la Nevada huko Marekani. Ndani ya chombo kile kulikuwa na ‘aliens’ wawili, nao waliomba kuonana na Eisenhower kuhusu ujumbe waliokuja nao kutoka katika ulimwengu wao. Bila kuchelewa, Eisenhower alipanda ndege usiku huohuo mpaka Texas. Huko alichukua gari hadi kwenye eneo la kijeshi liitwalo Area 51, ambapo ndipo ule ujumbe wa ulimwengu mwingine ulipokuwa umeshikiliwa. Mkutano wa aina yake ulifanyika chini ya ardhi, kati ya Rais Eisenhower na hao viumbe wawili wa anga za mbali, chini ya tafsiri ya wanasayansi wa NASA. Walichotaka ni urafiki na dunia yetu, inayogombewa na dunia nyingi za ‘aliens’, kwa mbadala wa teknolojia kadha wa kadha ambazo sisi hatukuwa nazo. Pande zote mbili zilifikia maafikiano, wao wakitupa teknolojia, sisi tukiwapa uwezo wa kufanya majaribio ya kisayansi kwa binadamu wa dunia nzima. Hivyo kuanzia hapo ‘aliens’ wakawa na uhalali wa kuteka watu katika mazingira ya kutatanisha na kuingilia watu usiku wakiwa wamelala, katika tukio la kiulimwengu wa roho lijulikanalo kama ‘sleep paralysis’. ‘Sleep Paralysis’ ni tukio la ajabu. Mtu anapokuwa amelala mwili wake huonekana kufa ganzi, kiasi kwamba anajihisi hawezi hata kunyanyua mkono. Aghalabu hali hiyo inapotokea maana yake ni kwamba ‘aliens’ wanamchukua huyo mtu, kupitia kwenye paa la nyumba aliyolala, hadi mawinguni katika ndege yao. Ndani ya ndege wanaulaza mwili wa binadamu juu ya kitanda cha upasuaji, na kumfanyia upasuaji, ili kusoma biolojia iliyotumika kuumba wanadamu na kujua kwa nini sisi tuko tofauti na wao. Baada ya hapo wanamrudisha huyo mtu kitandani kwake, ambapo atalala usingizi wa kawaida hadi asubuhi. Atakapoamka hatajua kama alifanyiwa upasuaji. Wapo mamilioni ya watu duniani waliolalamika kutokewa na ‘aliens’, lakini serikali haziwahi kuilithibitisha hilo. Inavyosemekana, teknolojia za ‘aliens’ zinahifadhiwa na Jeshi la Marekani (Pentagon) na shirika la kijasusi la MAJI au MJ12. MJ12 ni watu 12 hatari zaidi duniani, wakiongozwa na mkurugenzi mkuu wa CIA (anayejulikana kama MJ1).””

[Enock Maregesi](https://sms4smile.com/quotes/author/enock-maregesi/)

## About This Quote

This interpretation was drafted with AI assistance. It is one reading of the quote, not the author's own explanation.

A story claims a secret 1957 meeting between President Eisenhower and extraterrestrials at Area 51, exchanging technology and explaining sleep paralysis as alien abduction.

**In simple terms:** Alleged secret meeting with aliens, technology exchange, and sleep paralysis origin story.

Key Takeaway

Consider the impact of unverified claims on public perception.

Themes

conspiracy history extraterrestrials government sleep paralysis

Mood

skeptical curious concerned

Type

mythical conspiratorial informational

When to use this quote

- alternative history research
- critical media literacy
- skeptical inquiry
- psychological health discussions
- government transparency debates

Key Concepts

myth politics science psychology

Questions to Reflect On

- What evidence would be required to substantiate such a claim?
- How do such stories affect trust in institutions?

A Different Perspective

No verifiable evidence supports the narrative; it may fuel misinformation.

★ ★ ★ ★ ★   No ratings yet

[Aliens](https://sms4smile.com/quotes/about/aliens/) [Aliens Kwa](https://sms4smile.com/quotes/about/aliens-kwa-874010/) [Aliens Wanamchukua](https://sms4smile.com/quotes/about/aliens-wanamchukua-874007/) [Aliens Wawili](https://sms4smile.com/quotes/about/aliens-wawili-874008/) [Area-51](https://sms4smile.com/quotes/about/area-51-10455/) [Cia](https://sms4smile.com/quotes/about/cia/) [Kwamba Aliens](https://sms4smile.com/quotes/about/kwamba-aliens-874011/) [Maji](https://sms4smile.com/quotes/about/maji-116120/) [Na Eisenhower](https://sms4smile.com/quotes/about/na-eisenhower-874009/) [NASA](https://sms4smile.com/quotes/about/nasa/) [Yang](https://sms4smile.com/quotes/about/yang/)

## Related quotes

> [“\[Southward and a little west A thousand kilometers at best Here in Area Fifty-one Is where they took us, all undone. Other ships are…](https://sms4smile.com/quotes/marcha-a-fox/southward-and-a-little-west-a-thousand-kilometers-at-best-here-in/)

[Marcha A. Fox](https://sms4smile.com/quotes/author/marcha-a-fox/)

> [“If the anti-gravity flying machines witnessed by so many in and around Area 51’s airspace are manmade then that confirms the Splinter Civilization are…](https://sms4smile.com/quotes/james-morcan/if-the-anti-gravity-flying-machines-witnessed-by-so-many-in-and/)

[James Morcan](https://sms4smile.com/quotes/author/james-morcan/)

> [“The massive doors of Area 51 closed behind him, echoing like iron thunder. Carl stood for a moment, inhaling the hot desert air, wondering…](https://sms4smile.com/quotes/ron-brackin/the-massive-doors-of-area-51-closed-behind-him-echoing-like-iron/)

[Ron Brackin](https://sms4smile.com/quotes/author/ron-brackin/)

> [“Blacker than the night, the wedge penetrated the darkness. An F 117 raced by, the roar from its engines screaming through the interior of…](https://sms4smile.com/quotes/daniel-p-douglas/blacker-than-the-night-the-wedge-penetrated-the-darkness-an-f-117/)

[Daniel P. Douglas](https://sms4smile.com/quotes/author/daniel-p-douglas/)

## More by Enock Maregesi

> [“Ukitaka kuleta mabadiliko katika dunia huna budi kubadilika wewe kwanza. Ukibadilika ukawa mwema katika jamii yako umeleta mabadiliko katika dunia.”](https://sms4smile.com/quotes/enock-maregesi/ukitaka-kuleta-mabadiliko-katika-dunia-huna-budi-kubadilika-wewe/)

[Enock Maregesi](https://sms4smile.com/quotes/author/enock-maregesi/)

> [“Watu wenye ujuzi au vipaji wanatakiwa kwenda shule kusomea ujuzi au vipaji vyao – kwa miezi mitatu au sita angalau.”](https://sms4smile.com/quotes/enock-maregesi/watu-wenye-ujuzi-au-vipaji-wanatakiwa-kwenda-shule-kusomea-ujuzi-au/)

[Enock Maregesi](https://sms4smile.com/quotes/author/enock-maregesi/)

> [“Mungu akikubariki kipaji chako watu watasema ni laana. Maisha yako ni sawa na mto. Unakoelekea ni baharini. Lakini sasa umefika kwenye mlango wa bahari.…](https://sms4smile.com/quotes/enock-maregesi/mungu-akikubariki-kipaji-chako-watu-watasema-ni-laana-maisha-yako-ni/)

[Enock Maregesi](https://sms4smile.com/quotes/author/enock-maregesi/)

> [“Ningependa kujitokeza leo kutoa salamu zangu za rambirambi kwa Watu wa Musoma; kutokana na ajali mbaya ya mabasi ya J4 Express, Mwanza Coach, na…](https://sms4smile.com/quotes/enock-maregesi/ningependa-kujitokeza-leo-kutoa-salamu-zangu-za-rambirambi-kwa-watu/)

[Enock Maregesi](https://sms4smile.com/quotes/author/enock-maregesi/)

> [“Mungu hutumia watu 'wajinga' na 'wapumbavu' kufanya mambo makubwa katika maisha yao na ya watu wengine. Katika Biblia, Musa aliitwa mjinga alipokiuka amri ya…](https://sms4smile.com/quotes/enock-maregesi/mungu-hutumia-watu-wajinga-na-wapumbavu-kufanya-mambo-makubwa-katika/)

[Enock Maregesi](https://sms4smile.com/quotes/author/enock-maregesi/)

> [“Mwandishi lazima awe msomaji wa kila aina ya maandishi anayoweza kusoma. Akipanua upeo wake namna hiyo, kila atakachoandika kitaacha nukuu.”](https://sms4smile.com/quotes/enock-maregesi/mwandishi-lazima-awe-msomaji-wa-kila-aina-ya-maandishi-anayoweza/)

[Enock Maregesi](https://sms4smile.com/quotes/author/enock-maregesi/)

> [“Heri kuwa maskini mwenye pesa nyingi kuliko tajiri mwenye mifuko iliyotoboka.”](https://sms4smile.com/quotes/enock-maregesi/heri-kuwa-maskini-mwenye-pesa-nyingi-kuliko-tajiri-mwenye-mifuko/)

[Enock Maregesi](https://sms4smile.com/quotes/author/enock-maregesi/)

> [“Ukifanya maamuzi kubaliana na matatizo yake.”](https://sms4smile.com/quotes/enock-maregesi/ukifanya-maamuzi-kubaliana-na-matatizo-yake/)

[Enock Maregesi](https://sms4smile.com/quotes/author/enock-maregesi/)

> [“Unapokutana na mtu, kisha mtu huyo haoneshi dalili yoyote ya kutaka kusalimiwa; je, anataka umsalimie au usimsalimie? Ndugu yangu, onesha lugha ya mwili kuonesha…](https://sms4smile.com/quotes/enock-maregesi/unapokutana-na-mtu-kisha-mtu-huyo-haoneshi-dalili-yoyote-ya-kutaka/)

[Enock Maregesi](https://sms4smile.com/quotes/author/enock-maregesi/)

> [“Kipimo cha hofu ya Mungu ni kumjua!”](https://sms4smile.com/quotes/enock-maregesi/kipimo-cha-hofu-ya-mungu-ni-kumjua/)

[Enock Maregesi](https://sms4smile.com/quotes/author/enock-maregesi/)

> [“Nafasi yako peponi itapotea iwapo utamruhusu Pluto (kiongozi wa ahera) akukaribishe bazarai (makao makuu ya ahera) kwa kuchukua maisha yako mwenyewe. Kujiua ni kujipenda…](https://sms4smile.com/quotes/enock-maregesi/nafasi-yako-peponi-itapotea-iwapo-utamruhusu-pluto-kiongozi-wa-ahera/)

[Enock Maregesi](https://sms4smile.com/quotes/author/enock-maregesi/)

> [“Mungu ana mpango na maisha ya kila mtu hapa duniani bila kujali dini, jinsia, kabila, rangi, taifa, au umri, na kila mtu ni wa…](https://sms4smile.com/quotes/enock-maregesi/mungu-ana-mpango-na-maisha-ya-kila-mtu-hapa-duniani-bila-kujali-dini/)

[Enock Maregesi](https://sms4smile.com/quotes/author/enock-maregesi/)

> [“Hatutakiwi kuishi kama raia wa Tanzania peke yake. Tunatakiwa kuishi kama raia wa dunia na watumishi wa utu, hasa katika kipindi hiki cha zama…](https://sms4smile.com/quotes/enock-maregesi/hatutakiwi-kuishi-kama-raia-wa-tanzania-peke-yake-tunatakiwa-kuishi/)

[Enock Maregesi](https://sms4smile.com/quotes/author/enock-maregesi/)

> [“Usitegemee malaika ashuke kutoka mbinguni kuja kukutatulia shida zilizokushinda kwa uzembe. Malaika ni wewe mwenyewe. Ukifanya unachoweza kufanya, Mungu atafanya usichoweza kufanya.”](https://sms4smile.com/quotes/enock-maregesi/usitegemee-malaika-ashuke-kutoka-mbinguni-kuja-kukutatulia-shida/)

[Enock Maregesi](https://sms4smile.com/quotes/author/enock-maregesi/)

> [“Kolonia Santita ni tofauti na hadithi zingine kwa sababu ya wapelelezi wake. Wapelelezi wake ni makomandoo-wapelelezi-wanajeshi.”](https://sms4smile.com/quotes/enock-maregesi/kolonia-santita-ni-tofauti-na-hadithi-zingine-kwa-sababu-ya/)

[Enock Maregesi](https://sms4smile.com/quotes/author/enock-maregesi/)

[Explore all 471 Enock Maregesi quotes ](https://sms4smile.com/quotes/author/enock-maregesi/)

## More Aliens quotes

> [My days – the blossom of my youth and the flower of my manhood – have been darkened by the dreariness of servitude. In…](https://sms4smile.com/quotes/daniel-o-connell/my-days-the-blossom-of-my-youth-and-the-flower-of-my-manhood-have/)

[Daniel O'Connell](https://sms4smile.com/quotes/author/daniel-o-connell/)

> [Ay-firmative,' Eve said, and tried for a smile. 'Sorry. An Aliens reference always makes me feel better at times like this. Exept I'm not…](https://sms4smile.com/quotes/rachel-caine/ay-firmative-eve-said-and-tried-for-a-smile-sorry-an-aliens-reference/)

[Rachel Caine](https://sms4smile.com/quotes/author/rachel-caine/)

> [You gonna take the case?" It's not a case. It's a missing person. Sort of." You're gonna have a devil of a time finding…](https://sms4smile.com/quotes/janet-evanovich/you-gonna-take-the-case-it-s-not-a-case-it-s-a-missing-person-sort-of/)

[Janet Evanovich](https://sms4smile.com/quotes/author/janet-evanovich/)

> [Ancient eyes had stared at me, filled with ancient grief. And something more. Something so alien and unexpected that I'd almost burst into tears.…](https://sms4smile.com/quotes/karen-marie-moning/ancient-eyes-had-stared-at-me-filled-with-ancient-grief-and-something/)

[Karen Marie Moning](https://sms4smile.com/quotes/author/karen-marie-moning/)

> [Joel Lane documents a life we don’t quite live, in a city we can’t quite find: half glimpsed and half imagined, we know it’s…](https://sms4smile.com/quotes/chaz-brenchley/joel-lane-documents-a-life-we-don-t-quite-live-in-a-city-we-can-t/)

[Chaz Brenchley](https://sms4smile.com/quotes/author/chaz-brenchley/)

> [Emma was a shocking driver, simultaneously sloppy and petrified, and for the first fifty miles had been absent-mindedly driving with her spectacles on top…](https://sms4smile.com/quotes/david-nicholls/emma-was-a-shocking-driver-simultaneously-sloppy-and-petrified-and/)

[David Nicholls](https://sms4smile.com/quotes/author/david-nicholls/)

> [Humans suffer from self-centred notions as to the nature of life. Humans assume that alien life forms should conform to standards that match our…](https://sms4smile.com/quotes/steve-perry/humans-suffer-from-self-centred-notions-as-to-the-nature-of-life/)

[Steve Perry](https://sms4smile.com/quotes/author/steve-perry/)

> [If you're going to immerse yourself in a project for three years, why not stake out a chunk of the world that is completely…](https://sms4smile.com/quotes/richard-powers/if-you-re-going-to-immerse-yourself-in-a-project-for-three-years-why/)

[Richard Powers](https://sms4smile.com/quotes/author/richard-powers/)

> [I'm not a fan of any genre but am a fan of movies that are intelligent and/or funny. That goes across all genres: a…](https://sms4smile.com/quotes/anonymous/i-m-not-a-fan-of-any-genre-but-am-a-fan-of-movies-that-are/)

[Anonymous](https://sms4smile.com/quotes/author/anonymous/)

> [The respect for human rights, essential if we are to use technology wisely, is not something alien that must be grafted onto science. On…](https://sms4smile.com/quotes/john-charles-polanyi/the-respect-for-human-rights-essential-if-we-are-to-use-technology/)

[John Charles Polanyi](https://sms4smile.com/quotes/author/john-charles-polanyi/)

> [“Intellectualism is a poor master over passion”](https://sms4smile.com/quotes/twe-stephens/intellectualism-is-a-poor-master-over-passion/)

[Twe Stephens](https://sms4smile.com/quotes/author/twe-stephens/)

> [Robin Williams was an airman, a doctor, a genie, a nanny, a president, a professor, a bangarang Peter Pan, and everything in between. But…](https://sms4smile.com/quotes/barack-obama/robin-williams-was-an-airman-a-doctor-a-genie-a-nanny-a-president-a/)

[Barack Obama](https://sms4smile.com/quotes/author/barack-obama/)

> [Evangelicals are distraught over the state of America because they have not been taught that we're aliens here.](https://sms4smile.com/quotes/john-piper/evangelicals-are-distraught-over-the-state-of-america-because-they/)

[John Piper](https://sms4smile.com/quotes/author/john-piper/)

> [Even the Supreme Court, back when it used to makes sense, the Supreme Court has never ruled that a baby born to illegal aliens…](https://sms4smile.com/quotes/rush-limbaugh/even-the-supreme-court-back-when-it-used-to-makes-sense-the-supreme/)

[Rush Limbaugh](https://sms4smile.com/quotes/author/rush-limbaugh/)

> [Some pundits have proposed that the aliens have come here to breed with us. Apparently, too much bike riding or something similar has rendered…](https://sms4smile.com/quotes/seth-shostak/some-pundits-have-proposed-that-the-aliens-have-come-here-to-breed/)

[Seth Shostak](https://sms4smile.com/quotes/author/seth-shostak/)

[Browse all 1,329 Aliens quotes ](https://sms4smile.com/quotes/about/aliens/)

```json
{
    "@context": "https://schema.org",
    "@graph": [
        {
            "@type": "Quotation",
            "text": "“Mnamo mwaka 1957 Rais David Eisenhower wa Marekani (inasemekana) alipewa taarifa usiku mmoja akiwa Washington, D.C., kuhusu chombo cha ajabu kilichoanguka kwenye jangwa la Nevada huko Marekani. Ndani ya chombo kile kulikuwa na ‘aliens’ wawili, nao waliomba kuonana na Eisenhower kuhusu ujumbe waliokuja nao kutoka katika ulimwengu wao. Bila kuchelewa, Eisenhower alipanda ndege usiku huohuo mpaka Texas. Huko alichukua gari hadi kwenye eneo la kijeshi liitwalo Area 51, ambapo ndipo ule ujumbe wa ulimwengu mwingine ulipokuwa umeshikiliwa. Mkutano wa aina yake ulifanyika chini ya ardhi, kati ya Rais Eisenhower na hao viumbe wawili wa anga za mbali, chini ya tafsiri ya wanasayansi wa NASA. Walichotaka ni urafiki na dunia yetu, inayogombewa na dunia nyingi za ‘aliens’, kwa mbadala wa teknolojia kadha wa kadha ambazo sisi hatukuwa nazo. Pande zote mbili zilifikia maafikiano, wao wakitupa teknolojia, sisi tukiwapa uwezo wa kufanya majaribio ya kisayansi kwa binadamu wa dunia nzima. Hivyo kuanzia hapo ‘aliens’ wakawa na uhalali wa kuteka watu katika mazingira ya kutatanisha na kuingilia watu usiku wakiwa wamelala, katika tukio la kiulimwengu wa roho lijulikanalo kama ‘sleep paralysis’. ‘Sleep Paralysis’ ni tukio la ajabu. Mtu anapokuwa amelala mwili wake huonekana kufa ganzi, kiasi kwamba anajihisi hawezi hata kunyanyua mkono. Aghalabu hali hiyo inapotokea maana yake ni kwamba ‘aliens’ wanamchukua huyo mtu, kupitia kwenye paa la nyumba aliyolala, hadi mawinguni katika ndege yao. Ndani ya ndege wanaulaza mwili wa binadamu juu ya kitanda cha upasuaji, na kumfanyia upasuaji, ili kusoma biolojia iliyotumika kuumba wanadamu na kujua kwa nini sisi tuko tofauti na wao. Baada ya hapo wanamrudisha huyo mtu kitandani kwake, ambapo atalala usingizi wa kawaida hadi asubuhi. Atakapoamka hatajua kama alifanyiwa upasuaji. Wapo mamilioni ya watu duniani waliolalamika kutokewa na ‘aliens’, lakini serikali haziwahi kuilithibitisha hilo. Inavyosemekana, teknolojia za ‘aliens’ zinahifadhiwa na Jeshi la Marekani (Pentagon) na shirika la kijasusi la MAJI au MJ12. MJ12 ni watu 12 hatari zaidi duniani, wakiongozwa na mkurugenzi mkuu wa CIA (anayejulikana kama MJ1).”",
            "creator": {
                "@type": "Person",
                "name": "Enock Maregesi"
            },
            "isPartOf": {
                "@id": "https://sms4smile.com/quotes/#website"
            },
            "url": "https://sms4smile.com/quotes/enock-maregesi/mnamo-mwaka-1957-rais-david-eisenhower-wa-marekani-inasemekana/",
            "about": {
                "@type": "Thing",
                "name": "Aliens"
            },
            "@id": "https://sms4smile.com/quotes/enock-maregesi/mnamo-mwaka-1957-rais-david-eisenhower-wa-marekani-inasemekana/#quotation",
            "image": {
                "@type": "ImageObject",
                "@id": "https://sms4smile.com/quotes/i/df6/enock-maregesi-493_aliens_mnamo-mwaka-1957-rais-david-eisenhower-w_2481978.jpg",
                "contentUrl": "https://sms4smile.com/quotes/i/df6/enock-maregesi-493_aliens_mnamo-mwaka-1957-rais-david-eisenhower-w_2481978.jpg",
                "url": "https://sms4smile.com/quotes/i/df6/enock-maregesi-493_aliens_mnamo-mwaka-1957-rais-david-eisenhower-w_2481978.jpg",
                "width": 1080,
                "height": 1080,
                "caption": "“Mnamo mwaka 1957 Rais David Eisenhower wa Marekani (inasemekana) alipewa taarifa usiku mmoja akiwa…” — Enock Maregesi",
                "creditText": "SMS4Smile Quotes",
                "creator": {
                    "@id": "https://sms4smile.com/quotes/#organization"
                }
            }
        },
        {
            "@type": "BreadcrumbList",
            "itemListElement": [
                {
                    "@type": "ListItem",
                    "position": 1,
                    "name": "Home",
                    "item": "https://sms4smile.com/"
                },
                {
                    "@type": "ListItem",
                    "position": 2,
                    "name": "Quotes",
                    "item": "https://sms4smile.com/quotes/"
                },
                {
                    "@type": "ListItem",
                    "position": 3,
                    "name": "Enock Maregesi",
                    "item": "https://sms4smile.com/quotes/author/enock-maregesi/"
                },
                {
                    "@type": "ListItem",
                    "position": 4,
                    "name": "“Mnamo mwaka 1957 Rais David Eisenhower...",
                    "item": "https://sms4smile.com/quotes/enock-maregesi/mnamo-mwaka-1957-rais-david-eisenhower-wa-marekani-inasemekana/"
                }
            ],
            "@id": "https://sms4smile.com/quotes/enock-maregesi/mnamo-mwaka-1957-rais-david-eisenhower-wa-marekani-inasemekana/#breadcrumb"
        },
        {
            "@type": "WebSite",
            "@id": "https://sms4smile.com/quotes/#website",
            "name": "SMS4Smile Quotes",
            "url": "https://sms4smile.com/quotes/",
            "publisher": {
                "@id": "https://sms4smile.com/quotes/#organization"
            }
        },
        {
            "@type": "Organization",
            "@id": "https://sms4smile.com/quotes/#organization",
            "name": "SMS4Smile Quotes",
            "url": "https://sms4smile.com/quotes/",
            "logo": {
                "@type": "ImageObject",
                "url": "https://sms4smile.com/quotes/wp-content/themes/sq/assets/icons/icon-512.png",
                "width": 512,
                "height": 512
            }
        }
    ]
}
```
