---
title: "Meaning & Key Takeaway of: John Murphy amefariki dunia. Ndege…"
description: "\"“John Murphy amefariki dunia. Ndege aliyotoka nayo hapa, Dar es Salaam, ndiyo aliyotoka nayo Paris na ndiyo hiyo iliyoanguka katika mazingira ya kutata..."
image: "https://sms4smile.com/quotes/i/572/enock-maregesi-493_bwana_john-murphy-amefariki-dunia-ndege-aliyot_1009069.jpg"
---

#  John Murphy amefariki dunia. Ndege aliyotoka nayo hapa…

![“John Murphy amefariki dunia. Ndege aliyotoka nayo hapa, Dar es Salaam, ndiyo aliyotoka nayo Paris na ndiyo hiyo iliyoanguka katika mazingira ya kutatanisha. Watu waliobahatika kuing’amua fununu hii ni wachache na ambao hivi sasa hawajiwezi kabisa, akiwemo kamishna wetu wa kanda Profesa Mafuru…” quote by Enock Maregesi](https://sms4smile.com/quotes/i/572/enock-maregesi-493_bwana_john-murphy-amefariki-dunia-ndege-aliyot_1009069.jpg)   [Download](https://sms4smile.com/quotes/i/572/enock-maregesi-493_bwana_john-murphy-amefariki-dunia-ndege-aliyot_1009069.jpg) [Open image](https://sms4smile.com/quotes/i/572/enock-maregesi-493_bwana_john-murphy-amefariki-dunia-ndege-aliyot_1009069.jpg)

> ““John Murphy amefariki dunia. Ndege aliyotoka nayo hapa, Dar es Salaam, ndiyo aliyotoka nayo Paris na ndiyo hiyo iliyoanguka katika mazingira ya kutatanisha. Watu waliobahatika kuing’amua fununu hii ni wachache na ambao hivi sasa hawajiwezi kabisa, akiwemo kamishna wetu wa kanda Profesa Mafuru. Profesa yuko mahututi. Ameshtuka baada ya kusikia taarifa hizo katika redio ya hapa. Yuko chini ya uangalizi mkali wa madaktari. Mungu aiweke roho ya John Murphy, shujaa wa karne, mahali pema peponi. Bwana alitoa na Bwana ametwaa. Jina la Bwana lihimidiwe.””

[Enock Maregesi](https://sms4smile.com/quotes/author/enock-maregesi/)

## About This Quote

This interpretation was drafted with AI assistance. It is one reading of the quote, not the author's own explanation.

A tribute honoring John Murphy’s sacrifice, calling for vigilance and prayer for his soul.

**In simple terms:** Honoring a hero and urging prayer.

Key Takeaway

Remember and pray for the fallen.

Themes

sacrifice faith community justice

Mood

somber reflective

Type

memorial spiritual

When to use this quote

- public mourning
- religious ceremony
- community solidarity

Key Concepts

memorial spirituality heroism

Questions to Reflect On

- How can we honor heroes in our own lives?
- What role does prayer play in coping with loss?

A Different Perspective

Limited to those familiar with local context; may not resonate universally.

★ ★ ★ ★ ★   No ratings yet

[Doctors](https://sms4smile.com/quotes/about/doctors/) [God](https://sms4smile.com/quotes/about/god/) [Lord](https://sms4smile.com/quotes/about/lord/) [Mungu](https://sms4smile.com/quotes/about/mungu/) [Paris](https://sms4smile.com/quotes/about/paris/) [Yang](https://sms4smile.com/quotes/about/yang/)

## Related quotes

> [“John Murphy alifanya mapenzi na Debbie kwa faida ya Tume ya Dunia.”](https://sms4smile.com/quotes/enock-maregesi/john-murphy-alifanya-mapenzi-na-debbie-kwa-faida-ya-tume-ya-dunia/)

[Enock Maregesi](https://sms4smile.com/quotes/author/enock-maregesi/)

> [“Mfalme Sulemani alikuwa mtu mwenye hekima kuliko wote ulimwenguni. Anatushauri, “Adui yako akiwa ana njaa, mpe chakula; Tena akiwa ana kiu, mpe maji ya…](https://sms4smile.com/quotes/enock-maregesi/mfalme-sulemani-alikuwa-mtu-mwenye-hekima-kuliko-wote-ulimwenguni/)

[Enock Maregesi](https://sms4smile.com/quotes/author/enock-maregesi/)

> [“Kamishna … karibu," alisema Nafi huku akisimama na kutupa gazeti mezani na kuchukua karatasi ya faksi, iliyotumwa. "Ahsante. Kuna nini …" "Kamishna, imekuja faksi…](https://sms4smile.com/quotes/enock-maregesi/kamishna-karibu-alisema-nafi-huku-akisimama-na-kutupa-gazeti-mezani/)

[Enock Maregesi](https://sms4smile.com/quotes/author/enock-maregesi/)

## More by Enock Maregesi

> [“Ukitaka kuleta mabadiliko katika dunia huna budi kubadilika wewe kwanza. Ukibadilika ukawa mwema katika jamii yako umeleta mabadiliko katika dunia.”](https://sms4smile.com/quotes/enock-maregesi/ukitaka-kuleta-mabadiliko-katika-dunia-huna-budi-kubadilika-wewe/)

[Enock Maregesi](https://sms4smile.com/quotes/author/enock-maregesi/)

> [“Watu wenye ujuzi au vipaji wanatakiwa kwenda shule kusomea ujuzi au vipaji vyao – kwa miezi mitatu au sita angalau.”](https://sms4smile.com/quotes/enock-maregesi/watu-wenye-ujuzi-au-vipaji-wanatakiwa-kwenda-shule-kusomea-ujuzi-au/)

[Enock Maregesi](https://sms4smile.com/quotes/author/enock-maregesi/)

> [“Mungu akikubariki kipaji chako watu watasema ni laana. Maisha yako ni sawa na mto. Unakoelekea ni baharini. Lakini sasa umefika kwenye mlango wa bahari.…](https://sms4smile.com/quotes/enock-maregesi/mungu-akikubariki-kipaji-chako-watu-watasema-ni-laana-maisha-yako-ni/)

[Enock Maregesi](https://sms4smile.com/quotes/author/enock-maregesi/)

> [“Ningependa kujitokeza leo kutoa salamu zangu za rambirambi kwa Watu wa Musoma; kutokana na ajali mbaya ya mabasi ya J4 Express, Mwanza Coach, na…](https://sms4smile.com/quotes/enock-maregesi/ningependa-kujitokeza-leo-kutoa-salamu-zangu-za-rambirambi-kwa-watu/)

[Enock Maregesi](https://sms4smile.com/quotes/author/enock-maregesi/)

> [“Mungu hutumia watu 'wajinga' na 'wapumbavu' kufanya mambo makubwa katika maisha yao na ya watu wengine. Katika Biblia, Musa aliitwa mjinga alipokiuka amri ya…](https://sms4smile.com/quotes/enock-maregesi/mungu-hutumia-watu-wajinga-na-wapumbavu-kufanya-mambo-makubwa-katika/)

[Enock Maregesi](https://sms4smile.com/quotes/author/enock-maregesi/)

> [“Mwandishi lazima awe msomaji wa kila aina ya maandishi anayoweza kusoma. Akipanua upeo wake namna hiyo, kila atakachoandika kitaacha nukuu.”](https://sms4smile.com/quotes/enock-maregesi/mwandishi-lazima-awe-msomaji-wa-kila-aina-ya-maandishi-anayoweza/)

[Enock Maregesi](https://sms4smile.com/quotes/author/enock-maregesi/)

> [“Heri kuwa maskini mwenye pesa nyingi kuliko tajiri mwenye mifuko iliyotoboka.”](https://sms4smile.com/quotes/enock-maregesi/heri-kuwa-maskini-mwenye-pesa-nyingi-kuliko-tajiri-mwenye-mifuko/)

[Enock Maregesi](https://sms4smile.com/quotes/author/enock-maregesi/)

> [“Ukifanya maamuzi kubaliana na matatizo yake.”](https://sms4smile.com/quotes/enock-maregesi/ukifanya-maamuzi-kubaliana-na-matatizo-yake/)

[Enock Maregesi](https://sms4smile.com/quotes/author/enock-maregesi/)

> [“Unapokutana na mtu, kisha mtu huyo haoneshi dalili yoyote ya kutaka kusalimiwa; je, anataka umsalimie au usimsalimie? Ndugu yangu, onesha lugha ya mwili kuonesha…](https://sms4smile.com/quotes/enock-maregesi/unapokutana-na-mtu-kisha-mtu-huyo-haoneshi-dalili-yoyote-ya-kutaka/)

[Enock Maregesi](https://sms4smile.com/quotes/author/enock-maregesi/)

> [“Kipimo cha hofu ya Mungu ni kumjua!”](https://sms4smile.com/quotes/enock-maregesi/kipimo-cha-hofu-ya-mungu-ni-kumjua/)

[Enock Maregesi](https://sms4smile.com/quotes/author/enock-maregesi/)

> [“Nafasi yako peponi itapotea iwapo utamruhusu Pluto (kiongozi wa ahera) akukaribishe bazarai (makao makuu ya ahera) kwa kuchukua maisha yako mwenyewe. Kujiua ni kujipenda…](https://sms4smile.com/quotes/enock-maregesi/nafasi-yako-peponi-itapotea-iwapo-utamruhusu-pluto-kiongozi-wa-ahera/)

[Enock Maregesi](https://sms4smile.com/quotes/author/enock-maregesi/)

> [“Mungu ana mpango na maisha ya kila mtu hapa duniani bila kujali dini, jinsia, kabila, rangi, taifa, au umri, na kila mtu ni wa…](https://sms4smile.com/quotes/enock-maregesi/mungu-ana-mpango-na-maisha-ya-kila-mtu-hapa-duniani-bila-kujali-dini/)

[Enock Maregesi](https://sms4smile.com/quotes/author/enock-maregesi/)

> [“Hatutakiwi kuishi kama raia wa Tanzania peke yake. Tunatakiwa kuishi kama raia wa dunia na watumishi wa utu, hasa katika kipindi hiki cha zama…](https://sms4smile.com/quotes/enock-maregesi/hatutakiwi-kuishi-kama-raia-wa-tanzania-peke-yake-tunatakiwa-kuishi/)

[Enock Maregesi](https://sms4smile.com/quotes/author/enock-maregesi/)

> [“Usitegemee malaika ashuke kutoka mbinguni kuja kukutatulia shida zilizokushinda kwa uzembe. Malaika ni wewe mwenyewe. Ukifanya unachoweza kufanya, Mungu atafanya usichoweza kufanya.”](https://sms4smile.com/quotes/enock-maregesi/usitegemee-malaika-ashuke-kutoka-mbinguni-kuja-kukutatulia-shida/)

[Enock Maregesi](https://sms4smile.com/quotes/author/enock-maregesi/)

> [“Kolonia Santita ni tofauti na hadithi zingine kwa sababu ya wapelelezi wake. Wapelelezi wake ni makomandoo-wapelelezi-wanajeshi.”](https://sms4smile.com/quotes/enock-maregesi/kolonia-santita-ni-tofauti-na-hadithi-zingine-kwa-sababu-ya/)

[Enock Maregesi](https://sms4smile.com/quotes/author/enock-maregesi/)

[Explore all 471 Enock Maregesi quotes ](https://sms4smile.com/quotes/author/enock-maregesi/)

## More Bwana quotes

> [“Mfalme Sulemani alikuwa mtu mwenye hekima kuliko wote ulimwenguni. Anatushauri, “Adui yako akiwa ana njaa, mpe chakula; Tena akiwa ana kiu, mpe maji ya…](https://sms4smile.com/quotes/enock-maregesi/mfalme-sulemani-alikuwa-mtu-mwenye-hekima-kuliko-wote-ulimwenguni/)

[Enock Maregesi](https://sms4smile.com/quotes/author/enock-maregesi/)

Browse all 2 Bwana quotes

```json
{
    "@context": "https://schema.org",
    "@graph": [
        {
            "@type": "Quotation",
            "text": "“John Murphy amefariki dunia. Ndege aliyotoka nayo hapa, Dar es Salaam, ndiyo aliyotoka nayo Paris na ndiyo hiyo iliyoanguka katika mazingira ya kutatanisha. Watu waliobahatika kuing’amua fununu hii ni wachache na ambao hivi sasa hawajiwezi kabisa, akiwemo kamishna wetu wa kanda Profesa Mafuru. Profesa yuko mahututi. Ameshtuka baada ya kusikia taarifa hizo katika redio ya hapa. Yuko chini ya uangalizi mkali wa madaktari. Mungu aiweke roho ya John Murphy, shujaa wa karne, mahali pema peponi. Bwana alitoa na Bwana ametwaa. Jina la Bwana lihimidiwe.”",
            "creator": {
                "@type": "Person",
                "name": "Enock Maregesi"
            },
            "isPartOf": {
                "@id": "https://sms4smile.com/quotes/#website"
            },
            "url": "https://sms4smile.com/quotes/enock-maregesi/john-murphy-amefariki-dunia-ndege-aliyotoka-nayo-hapa-dar-es-salaam/",
            "about": {
                "@type": "Thing",
                "name": "Bwana"
            },
            "@id": "https://sms4smile.com/quotes/enock-maregesi/john-murphy-amefariki-dunia-ndege-aliyotoka-nayo-hapa-dar-es-salaam/#quotation",
            "image": {
                "@type": "ImageObject",
                "@id": "https://sms4smile.com/quotes/i/572/enock-maregesi-493_bwana_john-murphy-amefariki-dunia-ndege-aliyot_1009069.jpg",
                "contentUrl": "https://sms4smile.com/quotes/i/572/enock-maregesi-493_bwana_john-murphy-amefariki-dunia-ndege-aliyot_1009069.jpg",
                "url": "https://sms4smile.com/quotes/i/572/enock-maregesi-493_bwana_john-murphy-amefariki-dunia-ndege-aliyot_1009069.jpg",
                "width": 1080,
                "height": 1080,
                "caption": "“John Murphy amefariki dunia. Ndege aliyotoka nayo hapa, Dar es Salaam, ndiyo aliyotoka nayo Paris na ndiyo…” — Enock Maregesi",
                "creditText": "SMS4Smile Quotes",
                "creator": {
                    "@id": "https://sms4smile.com/quotes/#organization"
                }
            }
        },
        {
            "@type": "BreadcrumbList",
            "itemListElement": [
                {
                    "@type": "ListItem",
                    "position": 1,
                    "name": "Home",
                    "item": "https://sms4smile.com/"
                },
                {
                    "@type": "ListItem",
                    "position": 2,
                    "name": "Quotes",
                    "item": "https://sms4smile.com/quotes/"
                },
                {
                    "@type": "ListItem",
                    "position": 3,
                    "name": "Enock Maregesi",
                    "item": "https://sms4smile.com/quotes/author/enock-maregesi/"
                },
                {
                    "@type": "ListItem",
                    "position": 4,
                    "name": "“John Murphy amefariki dunia. Ndege aliyotoka...",
                    "item": "https://sms4smile.com/quotes/enock-maregesi/john-murphy-amefariki-dunia-ndege-aliyotoka-nayo-hapa-dar-es-salaam/"
                }
            ],
            "@id": "https://sms4smile.com/quotes/enock-maregesi/john-murphy-amefariki-dunia-ndege-aliyotoka-nayo-hapa-dar-es-salaam/#breadcrumb"
        },
        {
            "@type": "WebSite",
            "@id": "https://sms4smile.com/quotes/#website",
            "name": "SMS4Smile Quotes",
            "url": "https://sms4smile.com/quotes/",
            "publisher": {
                "@id": "https://sms4smile.com/quotes/#organization"
            }
        },
        {
            "@type": "Organization",
            "@id": "https://sms4smile.com/quotes/#organization",
            "name": "SMS4Smile Quotes",
            "url": "https://sms4smile.com/quotes/",
            "logo": {
                "@type": "ImageObject",
                "url": "https://sms4smile.com/quotes/wp-content/themes/sq/assets/icons/icon-512.png",
                "width": 512,
                "height": 512
            }
        }
    ]
}
```
