---
title: "3 100 Quotes By Enock Maregesi"
description: "3 100 quotes by Enock Maregesi. Plus more from Enock Maregesi and more 100 sayings from other authors."
image: "https://sms4smile.com/quotes/i/315/enock-maregesi-493_100_mungu-alisema-tupendane-katika-shida-na_286743.jpg"
---

> [“Mungu alisema tupendane katika shida na raha; Luka 6:27-36. Katika matatizo mpende hasimuyo. Maumivu ya watu hufanana.”](https://sms4smile.com/quotes/enock-maregesi/mungu-alisema-tupendane-katika-shida-na-raha-luka-6-27-36-katika/)

[Enock Maregesi](https://sms4smile.com/quotes/author/enock-maregesi/)

[Image](https://sms4smile.com/quotes/i/315/enock-maregesi-493_100_mungu-alisema-tupendane-katika-shida-na_286743.jpg)

> [“Wananchi wakiamua kufanya kitu katika nchi yao kwa asilimia 100 serikali, na taasisi zake zote, haitaweza kuwazuia. Kwa sababu, mamlaka ya wananchi…](https://sms4smile.com/quotes/enock-maregesi/wananchi-wakiamua-kufanya-kitu-katika-nchi-yao-kwa-asilimia-100/)

[Enock Maregesi](https://sms4smile.com/quotes/author/enock-maregesi/)

[Image](https://sms4smile.com/quotes/i/afc/enock-maregesi-493_100_wananchi-wakiamua-kufanya-kitu-katika-nc_1632675.jpg)

> [“Maumivu ya matatizo ya yule aliyekukosea hayana tofauti na maumivu ya matatizo ya wewe uliyekosewa. Adui yako (kwa mfano) akifiwa na mke…](https://sms4smile.com/quotes/enock-maregesi/maumivu-ya-matatizo-ya-yule-aliyekukosea-hayana-tofauti-na-maumivu-ya/)

[Enock Maregesi](https://sms4smile.com/quotes/author/enock-maregesi/)

[Image](https://sms4smile.com/quotes/i/ea2/enock-maregesi-493_100_maumivu-ya-matatizo-ya-yule-aliyekukosea_2375353.jpg)

## Other authors on 100

## More by Enock Maregesi

> [“Ukitaka kuleta mabadiliko katika dunia huna budi kubadilika wewe kwanza. Ukibadilika ukawa mwema katika jamii yako umeleta mabadiliko katika dunia.”](https://sms4smile.com/quotes/enock-maregesi/ukitaka-kuleta-mabadiliko-katika-dunia-huna-budi-kubadilika-wewe/)

[Enock Maregesi](https://sms4smile.com/quotes/author/enock-maregesi/)

> [“Watu wenye ujuzi au vipaji wanatakiwa kwenda shule kusomea ujuzi au vipaji vyao – kwa miezi mitatu au sita angalau.”](https://sms4smile.com/quotes/enock-maregesi/watu-wenye-ujuzi-au-vipaji-wanatakiwa-kwenda-shule-kusomea-ujuzi-au/)

[Enock Maregesi](https://sms4smile.com/quotes/author/enock-maregesi/)

> [“Mungu akikubariki kipaji chako watu watasema ni laana. Maisha yako ni sawa na mto. Unakoelekea ni baharini. Lakini sasa umefika kwenye mlango wa bahari.…](https://sms4smile.com/quotes/enock-maregesi/mungu-akikubariki-kipaji-chako-watu-watasema-ni-laana-maisha-yako-ni/)

[Enock Maregesi](https://sms4smile.com/quotes/author/enock-maregesi/)

> [“Ningependa kujitokeza leo kutoa salamu zangu za rambirambi kwa Watu wa Musoma; kutokana na ajali mbaya ya mabasi ya J4 Express, Mwanza Coach, na…](https://sms4smile.com/quotes/enock-maregesi/ningependa-kujitokeza-leo-kutoa-salamu-zangu-za-rambirambi-kwa-watu/)

[Enock Maregesi](https://sms4smile.com/quotes/author/enock-maregesi/)

> [“Mungu hutumia watu 'wajinga' na 'wapumbavu' kufanya mambo makubwa katika maisha yao na ya watu wengine. Katika Biblia, Musa aliitwa mjinga alipokiuka amri ya…](https://sms4smile.com/quotes/enock-maregesi/mungu-hutumia-watu-wajinga-na-wapumbavu-kufanya-mambo-makubwa-katika/)

[Enock Maregesi](https://sms4smile.com/quotes/author/enock-maregesi/)

> [“Mwandishi lazima awe msomaji wa kila aina ya maandishi anayoweza kusoma. Akipanua upeo wake namna hiyo, kila atakachoandika kitaacha nukuu.”](https://sms4smile.com/quotes/enock-maregesi/mwandishi-lazima-awe-msomaji-wa-kila-aina-ya-maandishi-anayoweza/)

[Enock Maregesi](https://sms4smile.com/quotes/author/enock-maregesi/)

> [“Heri kuwa maskini mwenye pesa nyingi kuliko tajiri mwenye mifuko iliyotoboka.”](https://sms4smile.com/quotes/enock-maregesi/heri-kuwa-maskini-mwenye-pesa-nyingi-kuliko-tajiri-mwenye-mifuko/)

[Enock Maregesi](https://sms4smile.com/quotes/author/enock-maregesi/)

> [“Ukifanya maamuzi kubaliana na matatizo yake.”](https://sms4smile.com/quotes/enock-maregesi/ukifanya-maamuzi-kubaliana-na-matatizo-yake/)

[Enock Maregesi](https://sms4smile.com/quotes/author/enock-maregesi/)

> [“Unapokutana na mtu, kisha mtu huyo haoneshi dalili yoyote ya kutaka kusalimiwa; je, anataka umsalimie au usimsalimie? Ndugu yangu, onesha lugha ya mwili kuonesha…](https://sms4smile.com/quotes/enock-maregesi/unapokutana-na-mtu-kisha-mtu-huyo-haoneshi-dalili-yoyote-ya-kutaka/)

[Enock Maregesi](https://sms4smile.com/quotes/author/enock-maregesi/)

> [“Kipimo cha hofu ya Mungu ni kumjua!”](https://sms4smile.com/quotes/enock-maregesi/kipimo-cha-hofu-ya-mungu-ni-kumjua/)

[Enock Maregesi](https://sms4smile.com/quotes/author/enock-maregesi/)

> [“Nafasi yako peponi itapotea iwapo utamruhusu Pluto (kiongozi wa ahera) akukaribishe bazarai (makao makuu ya ahera) kwa kuchukua maisha yako mwenyewe. Kujiua ni kujipenda…](https://sms4smile.com/quotes/enock-maregesi/nafasi-yako-peponi-itapotea-iwapo-utamruhusu-pluto-kiongozi-wa-ahera/)

[Enock Maregesi](https://sms4smile.com/quotes/author/enock-maregesi/)

> [“Mungu ana mpango na maisha ya kila mtu hapa duniani bila kujali dini, jinsia, kabila, rangi, taifa, au umri, na kila mtu ni wa…](https://sms4smile.com/quotes/enock-maregesi/mungu-ana-mpango-na-maisha-ya-kila-mtu-hapa-duniani-bila-kujali-dini/)

[Enock Maregesi](https://sms4smile.com/quotes/author/enock-maregesi/)

> [“Hatutakiwi kuishi kama raia wa Tanzania peke yake. Tunatakiwa kuishi kama raia wa dunia na watumishi wa utu, hasa katika kipindi hiki cha zama…](https://sms4smile.com/quotes/enock-maregesi/hatutakiwi-kuishi-kama-raia-wa-tanzania-peke-yake-tunatakiwa-kuishi/)

[Enock Maregesi](https://sms4smile.com/quotes/author/enock-maregesi/)

> [“Usitegemee malaika ashuke kutoka mbinguni kuja kukutatulia shida zilizokushinda kwa uzembe. Malaika ni wewe mwenyewe. Ukifanya unachoweza kufanya, Mungu atafanya usichoweza kufanya.”](https://sms4smile.com/quotes/enock-maregesi/usitegemee-malaika-ashuke-kutoka-mbinguni-kuja-kukutatulia-shida/)

[Enock Maregesi](https://sms4smile.com/quotes/author/enock-maregesi/)

> [“Kolonia Santita ni tofauti na hadithi zingine kwa sababu ya wapelelezi wake. Wapelelezi wake ni makomandoo-wapelelezi-wanajeshi.”](https://sms4smile.com/quotes/enock-maregesi/kolonia-santita-ni-tofauti-na-hadithi-zingine-kwa-sababu-ya/)

[Enock Maregesi](https://sms4smile.com/quotes/author/enock-maregesi/)

```json
{
    "@context": "https://schema.org",
    "@graph": [
        {
            "@type": "ItemList",
            "@id": "https://sms4smile.com/quotes/about/zz-100/enock-maregesi/#itemlist",
            "name": "3 100 Quotes By Enock Maregesi",
            "numberOfItems": 3,
            "itemListElement": [
                {
                    "@type": "ListItem",
                    "position": 1,
                    "item": {
                        "@type": "Quotation",
                        "text": "“Mungu alisema tupendane katika shida na raha; Luka 6:27-36. Katika matatizo mpende hasimuyo. Maumivu ya watu hufanana.”",
                        "creator": {
                            "@type": "Person",
                            "name": "Enock Maregesi"
                        },
                        "url": "https://sms4smile.com/quotes/enock-maregesi/mungu-alisema-tupendane-katika-shida-na-raha-luka-6-27-36-katika/",
                        "image": {
                            "@type": "ImageObject",
                            "@id": "https://sms4smile.com/quotes/i/315/enock-maregesi-493_100_mungu-alisema-tupendane-katika-shida-na_286743.jpg",
                            "contentUrl": "https://sms4smile.com/quotes/i/315/enock-maregesi-493_100_mungu-alisema-tupendane-katika-shida-na_286743.jpg",
                            "url": "https://sms4smile.com/quotes/i/315/enock-maregesi-493_100_mungu-alisema-tupendane-katika-shida-na_286743.jpg",
                            "width": 1080,
                            "height": 1080,
                            "caption": "“Mungu alisema tupendane katika shida na raha; Luka 6:27-36. Katika matatizo mpende hasimuyo. Maumivu ya watu…” — Enock Maregesi",
                            "creditText": "SMS4Smile Quotes",
                            "creator": {
                                "@id": "https://sms4smile.com/quotes/#organization"
                            }
                        }
                    }
                },
                {
                    "@type": "ListItem",
                    "position": 2,
                    "item": {
                        "@type": "Quotation",
                        "text": "“Wananchi wakiamua kufanya kitu katika nchi yao kwa asilimia 100 serikali, na taasisi zake zote, haitaweza kuwazuia. Kwa sababu, mamlaka ya wananchi hushinda ya serikali.”",
                        "creator": {
                            "@type": "Person",
                            "name": "Enock Maregesi"
                        },
                        "url": "https://sms4smile.com/quotes/enock-maregesi/wananchi-wakiamua-kufanya-kitu-katika-nchi-yao-kwa-asilimia-100/",
                        "image": {
                            "@type": "ImageObject",
                            "@id": "https://sms4smile.com/quotes/i/afc/enock-maregesi-493_100_wananchi-wakiamua-kufanya-kitu-katika-nc_1632675.jpg",
                            "contentUrl": "https://sms4smile.com/quotes/i/afc/enock-maregesi-493_100_wananchi-wakiamua-kufanya-kitu-katika-nc_1632675.jpg",
                            "url": "https://sms4smile.com/quotes/i/afc/enock-maregesi-493_100_wananchi-wakiamua-kufanya-kitu-katika-nc_1632675.jpg",
                            "width": 1080,
                            "height": 1080,
                            "caption": "“Wananchi wakiamua kufanya kitu katika nchi yao kwa asilimia 100 serikali, na taasisi zake zote, haitaweza…” — Enock Maregesi",
                            "creditText": "SMS4Smile Quotes",
                            "creator": {
                                "@id": "https://sms4smile.com/quotes/#organization"
                            }
                        }
                    }
                },
                {
                    "@type": "ListItem",
                    "position": 3,
                    "item": {
                        "@type": "Quotation",
                        "text": "“Maumivu ya matatizo ya yule aliyekukosea hayana tofauti na maumivu ya matatizo ya wewe uliyekosewa. Adui yako (kwa mfano) akifiwa na mke aliyempenda sana, atajisikia vibaya kama utakavyojisikia vibaya kufiwa na mke uliyempenda sana. Kuwa na huruma kwa waliokukosea, wakati wa shida.”",
                        "creator": {
                            "@type": "Person",
                            "name": "Enock Maregesi"
                        },
                        "url": "https://sms4smile.com/quotes/enock-maregesi/maumivu-ya-matatizo-ya-yule-aliyekukosea-hayana-tofauti-na-maumivu-ya/",
                        "image": {
                            "@type": "ImageObject",
                            "@id": "https://sms4smile.com/quotes/i/ea2/enock-maregesi-493_100_maumivu-ya-matatizo-ya-yule-aliyekukosea_2375353.jpg",
                            "contentUrl": "https://sms4smile.com/quotes/i/ea2/enock-maregesi-493_100_maumivu-ya-matatizo-ya-yule-aliyekukosea_2375353.jpg",
                            "url": "https://sms4smile.com/quotes/i/ea2/enock-maregesi-493_100_maumivu-ya-matatizo-ya-yule-aliyekukosea_2375353.jpg",
                            "width": 1080,
                            "height": 1080,
                            "caption": "“Maumivu ya matatizo ya yule aliyekukosea hayana tofauti na maumivu ya matatizo ya wewe uliyekosewa. Adui…” — Enock Maregesi",
                            "creditText": "SMS4Smile Quotes",
                            "creator": {
                                "@id": "https://sms4smile.com/quotes/#organization"
                            }
                        }
                    }
                }
            ]
        },
        {
            "@type": "CollectionPage",
            "@id": "https://sms4smile.com/quotes/about/zz-100/enock-maregesi/#webpage",
            "url": "https://sms4smile.com/quotes/about/zz-100/enock-maregesi/",
            "name": "100 Quotes by Enock Maregesi",
            "isPartOf": {
                "@id": "https://sms4smile.com/quotes/#website"
            },
            "mainEntity": {
                "@id": "https://sms4smile.com/quotes/about/zz-100/enock-maregesi/#itemlist"
            },
            "primaryImageOfPage": {
                "@id": "https://sms4smile.com/quotes/i/315/enock-maregesi-493_100_mungu-alisema-tupendane-katika-shida-na_286743.jpg"
            },
            "description": "3 100 quotes by Enock Maregesi. Plus more from Enock Maregesi and more 100 sayings from other authors.",
            "breadcrumb": {
                "@id": "https://sms4smile.com/quotes/about/zz-100/enock-maregesi/#breadcrumb"
            }
        },
        {
            "@type": "BreadcrumbList",
            "@id": "https://sms4smile.com/quotes/about/zz-100/enock-maregesi/#breadcrumb",
            "itemListElement": [
                {
                    "@type": "ListItem",
                    "position": 1,
                    "name": "Home",
                    "item": "https://sms4smile.com/"
                },
                {
                    "@type": "ListItem",
                    "position": 2,
                    "name": "Quotes",
                    "item": "https://sms4smile.com/quotes/"
                },
                {
                    "@type": "ListItem",
                    "position": 3,
                    "name": "Topics",
                    "item": "https://sms4smile.com/quotes/categories/"
                },
                {
                    "@type": "ListItem",
                    "position": 4,
                    "name": "Zz",
                    "item": "https://sms4smile.com/quotes/about/zz-100/"
                },
                {
                    "@type": "ListItem",
                    "position": 5,
                    "name": "Enock Maregesi",
                    "item": "https://sms4smile.com/quotes/about/zz-100/enock-maregesi/"
                }
            ]
        },
        {
            "@type": "WebSite",
            "@id": "https://sms4smile.com/quotes/#website",
            "name": "SMS4Smile Quotes",
            "url": "https://sms4smile.com/quotes/",
            "publisher": {
                "@id": "https://sms4smile.com/quotes/#organization"
            }
        },
        {
            "@type": "Organization",
            "@id": "https://sms4smile.com/quotes/#organization",
            "name": "SMS4Smile Quotes",
            "url": "https://sms4smile.com/quotes/",
            "logo": {
                "@type": "ImageObject",
                "url": "https://sms4smile.com/quotes/wp-content/themes/sq/assets/icons/icon-512.png",
                "width": 512,
                "height": 512
            }
        }
    ]
}
```
