---
title: "7 Watoto Quotes by 1 author"
description: "Browse 7 Watoto quotes by 1 author. Discover the best Watoto sayings and thoughts."
image: "https://sms4smile.com/quotes/i/839/enock-maregesi-493_baby_watoto-hupenda-vitu-vinavyong-aa-ambavyo_209538.jpg"
---

> [“Watoto hupenda vitu vinavyong’aa ambavyo havijatulia na vilivyopangiliwa vizuri. Hivyo ndivyo macho ya binadamu yalivyo: yana unyevu na yanaakisi mwanga, hayajatulia, na…](https://sms4smile.com/quotes/enock-maregesi/watoto-hupenda-vitu-vinavyong-aa-ambavyo-havijatulia-na/)

[Enock Maregesi](https://sms4smile.com/quotes/author/enock-maregesi/)

[Image](https://sms4smile.com/quotes/i/839/enock-maregesi-493_baby_watoto-hupenda-vitu-vinavyong-aa-ambavyo_209538.jpg)

> [“Kolonia Santita imesambaa dunia nzima. Hapa Meksiko wana magenge rafiki zaidi ya mia moja yakiwemo makubwa kabisa katika Latino ya Matamolos na…](https://sms4smile.com/quotes/enock-maregesi/kolonia-santita-imesambaa-dunia-nzima-hapa-meksiko-wana-magenge/)

[Enock Maregesi](https://sms4smile.com/quotes/author/enock-maregesi/)

[Image](https://sms4smile.com/quotes/i/49e/enock-maregesi-493_baba_kolonia-santita-imesambaa-dunia-nzima-ha_265586.jpg)

> [“Tabia yako ya siri mwanao atakuwa nayo! Kama Nelson Mandela alikuwa alama ya msamaha, msamaha ni tabia yetu. Kama Kwame Nkrumah alikuwa…](https://sms4smile.com/quotes/enock-maregesi/tabia-yako-ya-siri-mwanao-atakuwa-nayo-kama-nelson-mandela-alikuwa/)

[Enock Maregesi](https://sms4smile.com/quotes/author/enock-maregesi/)

[Image](https://sms4smile.com/quotes/i/08b/enock-maregesi-493_behaviour_tabia-yako-ya-siri-mwanao-atakuwa-nayo-k_1086286.jpg)

> [“Wasihi watoto wako kuipenda nchi yao.”](https://sms4smile.com/quotes/enock-maregesi/wasihi-watoto-wako-kuipenda-nchi-yao/)

[Enock Maregesi](https://sms4smile.com/quotes/author/enock-maregesi/)

[Image](https://sms4smile.com/quotes/i/abf/enock-maregesi-493_children_wasihi-watoto-wako-kuipenda-nchi-yao-137_1379972.jpg)

> [“Mfundishe mtoto wako maadili mema kwa miaka kumi na tatu, katika umri wa miaka kumi na tatu fikra za mtoto huanza kuwa…](https://sms4smile.com/quotes/enock-maregesi/mfundishe-mtoto-wako-maadili-mema-kwa-miaka-kumi-na-tatu-katika-umri/)

[Enock Maregesi](https://sms4smile.com/quotes/author/enock-maregesi/)

[Image](https://sms4smile.com/quotes/i/5a2/enock-maregesi-493_13-years-old_mfundishe-mtoto-wako-maadili-mema-kwa-mi_1650121.jpg)

> [“Mwanamke mwenye umri wa miaka arobaini na mbili na kuendelea anafaa kuolewa kama ni mjane na ataweza kuwapenda watoto wako kama mama…](https://sms4smile.com/quotes/enock-maregesi/mwanamke-mwenye-umri-wa-miaka-arobaini-na-mbili-na-kuendelea-anafaa/)

[Enock Maregesi](https://sms4smile.com/quotes/author/enock-maregesi/)

[Image](https://sms4smile.com/quotes/i/434/enock-maregesi-493_children_mwanamke-mwenye-umri-wa-miaka-arobaini-n_2241137.jpg)

> [“Mbegu tunazopanda leo ni mazao ya msimu ujao. Ukipanda mbegu mbaya utavuna mabaya. Ukipanda mbegu nzuri utavuna mazuri. Ukitenda mabaya leo kesho…](https://sms4smile.com/quotes/enock-maregesi/mbegu-tunazopanda-leo-ni-mazao-ya-msimu-ujao-ukipanda-mbegu-mbaya/)

[Enock Maregesi](https://sms4smile.com/quotes/author/enock-maregesi/)

[Image](https://sms4smile.com/quotes/i/6c2/enock-maregesi-493_anger_mbegu-tunazopanda-leo-ni-mazao-ya-msimu_3104928.jpg)

## Top authors on Watoto

- [Enock Maregesi 7 quotes](https://sms4smile.com/quotes/about/watoto/enock-maregesi/)

```json
{
    "@context": "https://schema.org",
    "@graph": [
        {
            "@type": "ItemList",
            "@id": "https://sms4smile.com/quotes/about/watoto/#itemlist",
            "name": "Watoto Quotes",
            "numberOfItems": 7,
            "itemListElement": [
                {
                    "@type": "ListItem",
                    "position": 1,
                    "item": {
                        "@type": "Quotation",
                        "text": "“Watoto hupenda vitu vinavyong’aa ambavyo havijatulia na vilivyopangiliwa vizuri. Hivyo ndivyo macho ya binadamu yalivyo: yana unyevu na yanaakisi mwanga, hayajatulia, na yana rangi kadha wa kadha ikiwa ni pamoja na kope na vigubiko vya macho ambavyo pia hazijatulia. Mtoto mchanga hasa yule anayeona vizuri huangalia macho pale anapopata nafasi, kwa maana ya kuyashangaa. Vilevile, huangalia macho kwa maana ya kupokea molekuli ya maadili au homoni inayorahisisha maisha kutoka kwa mama yake iitwayo ‘oxytocin’. ‘Oxytocin’ husisimua ubongo wake na kuutayarisha kupokea neno lolote litakalosemwa na mama yake mzazi au mama yake mlezi.”",
                        "creator": {
                            "@type": "Person",
                            "name": "Enock Maregesi"
                        },
                        "url": "https://sms4smile.com/quotes/enock-maregesi/watoto-hupenda-vitu-vinavyong-aa-ambavyo-havijatulia-na/",
                        "image": {
                            "@type": "ImageObject",
                            "@id": "https://sms4smile.com/quotes/i/839/enock-maregesi-493_baby_watoto-hupenda-vitu-vinavyong-aa-ambavyo_209538.jpg",
                            "contentUrl": "https://sms4smile.com/quotes/i/839/enock-maregesi-493_baby_watoto-hupenda-vitu-vinavyong-aa-ambavyo_209538.jpg",
                            "url": "https://sms4smile.com/quotes/i/839/enock-maregesi-493_baby_watoto-hupenda-vitu-vinavyong-aa-ambavyo_209538.jpg",
                            "width": 1080,
                            "height": 1080,
                            "caption": "“Watoto hupenda vitu vinavyong’aa ambavyo havijatulia na vilivyopangiliwa vizuri. Hivyo ndivyo macho ya…” — Enock Maregesi",
                            "creditText": "SMS4Smile Quotes",
                            "creator": {
                                "@id": "https://sms4smile.com/quotes/#organization"
                            }
                        }
                    }
                },
                {
                    "@type": "ListItem",
                    "position": 2,
                    "item": {
                        "@type": "Quotation",
                        "text": "“Kolonia Santita imesambaa dunia nzima. Hapa Meksiko wana magenge rafiki zaidi ya mia moja yakiwemo makubwa kabisa katika Latino ya Matamolos na Baja California. Nikitekwa nyara na memba yoyote wa magenge hayo, kuna uwezekano mkubwa wasinifanye chochote au nisilipe chochote kwa sababu ya Wanda. Fadhila ya uhalifu. Kwa sababu ya fadhila ya uhalifu; baba, au viongozi wengine wa serikali ambao watoto wao wamo ndani ya 'mpango' huo, wanatakiwa wawakingie kifua (kwa namna yoyote wanayoweza) pindi wanapoanguka katika mikono ya dola na sheria. Wasipofanya hivyo kutakuwa na vita ya ndani kwa ndani … kama unanielewa. Hivyo, kuna mtu anaitwa El Tigre – baba yake Wanda – ndiye ninayetaka unisaidie. Amemuua Marciano, na watu wengi wa Meksiko. Nataka kumlipia kisasi Marciano, na marafiki zangu wengi ambao El Tigre amewaua, hata kwa njia isiyodhahiri.”",
                        "creator": {
                            "@type": "Person",
                            "name": "Enock Maregesi"
                        },
                        "url": "https://sms4smile.com/quotes/enock-maregesi/kolonia-santita-imesambaa-dunia-nzima-hapa-meksiko-wana-magenge/",
                        "image": {
                            "@type": "ImageObject",
                            "@id": "https://sms4smile.com/quotes/i/49e/enock-maregesi-493_baba_kolonia-santita-imesambaa-dunia-nzima-ha_265586.jpg",
                            "contentUrl": "https://sms4smile.com/quotes/i/49e/enock-maregesi-493_baba_kolonia-santita-imesambaa-dunia-nzima-ha_265586.jpg",
                            "url": "https://sms4smile.com/quotes/i/49e/enock-maregesi-493_baba_kolonia-santita-imesambaa-dunia-nzima-ha_265586.jpg",
                            "width": 1080,
                            "height": 1080,
                            "caption": "“Kolonia Santita imesambaa dunia nzima. Hapa Meksiko wana magenge rafiki zaidi ya mia moja yakiwemo makubwa…” — Enock Maregesi",
                            "creditText": "SMS4Smile Quotes",
                            "creator": {
                                "@id": "https://sms4smile.com/quotes/#organization"
                            }
                        }
                    }
                },
                {
                    "@type": "ListItem",
                    "position": 3,
                    "item": {
                        "@type": "Quotation",
                        "text": "“Tabia yako ya siri mwanao atakuwa nayo! Kama Nelson Mandela alikuwa alama ya msamaha, msamaha ni tabia yetu. Kama Kwame Nkrumah alikuwa alama ya umoja, umoja ni tabia yetu. Kama Patrice Lumumba alikuwa alama ya uzalendo, uzalendo ni tabia yetu. Kama Robert Mugabe ni alama ya udikteta, udikteta ni tabia yetu. Kama Haile Selassie alikuwa alama ya ushujaa, ushujaa ni tabia yetu. Kama Samora Machel alikuwa alama ya ujamaa, ujamaa ni tabia yetu. Kama Julius Kambarage Nyerere alikuwa alama ya haki, haki ni tabia yetu. Sisi ni watoto wa wazalendo wa Afrika! Wao ni baba wa mataifa ya Afrika! Tumerithi tabia zao za siri.”",
                        "creator": {
                            "@type": "Person",
                            "name": "Enock Maregesi"
                        },
                        "url": "https://sms4smile.com/quotes/enock-maregesi/tabia-yako-ya-siri-mwanao-atakuwa-nayo-kama-nelson-mandela-alikuwa/",
                        "image": {
                            "@type": "ImageObject",
                            "@id": "https://sms4smile.com/quotes/i/08b/enock-maregesi-493_behaviour_tabia-yako-ya-siri-mwanao-atakuwa-nayo-k_1086286.jpg",
                            "contentUrl": "https://sms4smile.com/quotes/i/08b/enock-maregesi-493_behaviour_tabia-yako-ya-siri-mwanao-atakuwa-nayo-k_1086286.jpg",
                            "url": "https://sms4smile.com/quotes/i/08b/enock-maregesi-493_behaviour_tabia-yako-ya-siri-mwanao-atakuwa-nayo-k_1086286.jpg",
                            "width": 1080,
                            "height": 1080,
                            "caption": "“Tabia yako ya siri mwanao atakuwa nayo! Kama Nelson Mandela alikuwa alama ya msamaha, msamaha ni tabia yetu…” — Enock Maregesi",
                            "creditText": "SMS4Smile Quotes",
                            "creator": {
                                "@id": "https://sms4smile.com/quotes/#organization"
                            }
                        }
                    }
                },
                {
                    "@type": "ListItem",
                    "position": 4,
                    "item": {
                        "@type": "Quotation",
                        "text": "“Wasihi watoto wako kuipenda nchi yao.”",
                        "creator": {
                            "@type": "Person",
                            "name": "Enock Maregesi"
                        },
                        "url": "https://sms4smile.com/quotes/enock-maregesi/wasihi-watoto-wako-kuipenda-nchi-yao/",
                        "image": {
                            "@type": "ImageObject",
                            "@id": "https://sms4smile.com/quotes/i/abf/enock-maregesi-493_children_wasihi-watoto-wako-kuipenda-nchi-yao-137_1379972.jpg",
                            "contentUrl": "https://sms4smile.com/quotes/i/abf/enock-maregesi-493_children_wasihi-watoto-wako-kuipenda-nchi-yao-137_1379972.jpg",
                            "url": "https://sms4smile.com/quotes/i/abf/enock-maregesi-493_children_wasihi-watoto-wako-kuipenda-nchi-yao-137_1379972.jpg",
                            "width": 1080,
                            "height": 1080,
                            "caption": "“Wasihi watoto wako kuipenda nchi yao.” — Enock Maregesi",
                            "creditText": "SMS4Smile Quotes",
                            "creator": {
                                "@id": "https://sms4smile.com/quotes/#organization"
                            }
                        }
                    }
                },
                {
                    "@type": "ListItem",
                    "position": 5,
                    "item": {
                        "@type": "Quotation",
                        "text": "“Mfundishe mtoto wako maadili mema kwa miaka kumi na tatu, katika umri wa miaka kumi na tatu fikra za mtoto huanza kuwa na maono na utambuzi wa vitu mbalimbali na watoto katika umri huo wanao uwezo wa kuchambua dhana kadha wa kadha za kinadharia na hali kadhalika wanao uwezo wa kuchambua nadharia tata zisizokuwa na hakika na hata zile zenye hakika zisizokuwa tata, kabla hujamkabidhi kwa dunia. Ukimkabidhi mtoto wako kwa dunia kabla ya umri wa miaka kumi na tatu, kama vile kumpeleka katika shule ya bweni au kumpeleka akalelewe na watu wengine ambao si wazazi wake, yale ambayo hukumfundisha atafundishwa na ulimwengu. Mpeleke mtoto wako katika shule ya bweni au kuishi na watu wengine akiwa amefundishwa maadili mema. Kinyume cha hapo atafundishwa na shule au watu wengine kwa kudharauliwa, kuchukiwa na kuadabishwa.”",
                        "creator": {
                            "@type": "Person",
                            "name": "Enock Maregesi"
                        },
                        "url": "https://sms4smile.com/quotes/enock-maregesi/mfundishe-mtoto-wako-maadili-mema-kwa-miaka-kumi-na-tatu-katika-umri/",
                        "image": {
                            "@type": "ImageObject",
                            "@id": "https://sms4smile.com/quotes/i/5a2/enock-maregesi-493_13-years-old_mfundishe-mtoto-wako-maadili-mema-kwa-mi_1650121.jpg",
                            "contentUrl": "https://sms4smile.com/quotes/i/5a2/enock-maregesi-493_13-years-old_mfundishe-mtoto-wako-maadili-mema-kwa-mi_1650121.jpg",
                            "url": "https://sms4smile.com/quotes/i/5a2/enock-maregesi-493_13-years-old_mfundishe-mtoto-wako-maadili-mema-kwa-mi_1650121.jpg",
                            "width": 1080,
                            "height": 1080,
                            "caption": "“Mfundishe mtoto wako maadili mema kwa miaka kumi na tatu, katika umri wa miaka kumi na tatu fikra za mtoto…” — Enock Maregesi",
                            "creditText": "SMS4Smile Quotes",
                            "creator": {
                                "@id": "https://sms4smile.com/quotes/#organization"
                            }
                        }
                    }
                },
                {
                    "@type": "ListItem",
                    "position": 6,
                    "item": {
                        "@type": "Quotation",
                        "text": "“Mwanamke mwenye umri wa miaka arobaini na mbili na kuendelea anafaa kuolewa kama ni mjane na ataweza kuwapenda watoto wako kama mama yao alishafariki. Yule ambaye hajawahi kuolewa au aliyewahi kuolewa lakini akaachika bado ni kubahatisha, kwa sababu hujui kwa nini hajaolewa au kwa nini aliachika, hata kama ana watoto.”",
                        "creator": {
                            "@type": "Person",
                            "name": "Enock Maregesi"
                        },
                        "url": "https://sms4smile.com/quotes/enock-maregesi/mwanamke-mwenye-umri-wa-miaka-arobaini-na-mbili-na-kuendelea-anafaa/",
                        "image": {
                            "@type": "ImageObject",
                            "@id": "https://sms4smile.com/quotes/i/434/enock-maregesi-493_children_mwanamke-mwenye-umri-wa-miaka-arobaini-n_2241137.jpg",
                            "contentUrl": "https://sms4smile.com/quotes/i/434/enock-maregesi-493_children_mwanamke-mwenye-umri-wa-miaka-arobaini-n_2241137.jpg",
                            "url": "https://sms4smile.com/quotes/i/434/enock-maregesi-493_children_mwanamke-mwenye-umri-wa-miaka-arobaini-n_2241137.jpg",
                            "width": 1080,
                            "height": 1080,
                            "caption": "“Mwanamke mwenye umri wa miaka arobaini na mbili na kuendelea anafaa kuolewa kama ni mjane na ataweza…” — Enock Maregesi",
                            "creditText": "SMS4Smile Quotes",
                            "creator": {
                                "@id": "https://sms4smile.com/quotes/#organization"
                            }
                        }
                    }
                },
                {
                    "@type": "ListItem",
                    "position": 7,
                    "item": {
                        "@type": "Quotation",
                        "text": "“Mbegu tunazopanda leo ni mazao ya msimu ujao. Ukipanda mbegu mbaya utavuna mabaya. Ukipanda mbegu nzuri utavuna mazuri. Ukitenda mabaya leo kesho yako itakuwa mbaya. Ukitenda mazuri leo kesho yako itakuwa nzuri. Okoa kesho leo kwa kupanda mbegu nzuri na kuzimwagilia kwa imani na upendo kwa watu. Mungu ataleta mvua, jua na ustawi wa mazao yako. Panda mbegu ya msamaha kwa maadui zako, uvumilivu kwa wapinzani wako, tabasamu kwa marafiki zako, mfano bora kwa watoto wako, uchapakazi kwa kazi zako, uadilifu kwa waajiri wako na kwa wafanyakazi wako pia kama unao, ndoto kwa malengo yako, na uaminifu kwa marafiki zako wa ukweli. Kila mbegu irutubishwe kwa mapenzi huru yasiyokuwa na masharti yoyote, au mapenzi huru yasiyokuwa na unafiki wa aina yoyote ile. Usifiche vipaji vyako. Ukiwa kimya utasahaulika. Usipopiga hatua utarudi nyuma. Usiwe na hasira, wivu au ubinafsi.”",
                        "creator": {
                            "@type": "Person",
                            "name": "Enock Maregesi"
                        },
                        "url": "https://sms4smile.com/quotes/enock-maregesi/mbegu-tunazopanda-leo-ni-mazao-ya-msimu-ujao-ukipanda-mbegu-mbaya/",
                        "image": {
                            "@type": "ImageObject",
                            "@id": "https://sms4smile.com/quotes/i/6c2/enock-maregesi-493_anger_mbegu-tunazopanda-leo-ni-mazao-ya-msimu_3104928.jpg",
                            "contentUrl": "https://sms4smile.com/quotes/i/6c2/enock-maregesi-493_anger_mbegu-tunazopanda-leo-ni-mazao-ya-msimu_3104928.jpg",
                            "url": "https://sms4smile.com/quotes/i/6c2/enock-maregesi-493_anger_mbegu-tunazopanda-leo-ni-mazao-ya-msimu_3104928.jpg",
                            "width": 1080,
                            "height": 1080,
                            "caption": "“Mbegu tunazopanda leo ni mazao ya msimu ujao. Ukipanda mbegu mbaya utavuna mabaya. Ukipanda mbegu nzuri…” — Enock Maregesi",
                            "creditText": "SMS4Smile Quotes",
                            "creator": {
                                "@id": "https://sms4smile.com/quotes/#organization"
                            }
                        }
                    }
                }
            ]
        },
        {
            "@type": "CollectionPage",
            "@id": "https://sms4smile.com/quotes/about/watoto/#webpage",
            "url": "https://sms4smile.com/quotes/about/watoto/",
            "name": "Watoto Quotes",
            "isPartOf": {
                "@id": "https://sms4smile.com/quotes/#website"
            },
            "mainEntity": {
                "@id": "https://sms4smile.com/quotes/about/watoto/#itemlist"
            },
            "primaryImageOfPage": {
                "@id": "https://sms4smile.com/quotes/i/839/enock-maregesi-493_baby_watoto-hupenda-vitu-vinavyong-aa-ambavyo_209538.jpg"
            },
            "description": "Browse 7 Watoto quotes by 1 author. Discover the best Watoto sayings and thoughts.",
            "breadcrumb": {
                "@id": "https://sms4smile.com/quotes/about/watoto/#breadcrumb"
            }
        },
        {
            "@type": "BreadcrumbList",
            "@id": "https://sms4smile.com/quotes/about/watoto/#breadcrumb",
            "itemListElement": [
                {
                    "@type": "ListItem",
                    "position": 1,
                    "name": "Home",
                    "item": "https://sms4smile.com/"
                },
                {
                    "@type": "ListItem",
                    "position": 2,
                    "name": "Quotes",
                    "item": "https://sms4smile.com/quotes/"
                },
                {
                    "@type": "ListItem",
                    "position": 3,
                    "name": "Topics",
                    "item": "https://sms4smile.com/quotes/categories/"
                },
                {
                    "@type": "ListItem",
                    "position": 4,
                    "name": "Watoto Quotes",
                    "item": "https://sms4smile.com/quotes/about/watoto/"
                }
            ]
        },
        {
            "@type": "WebSite",
            "@id": "https://sms4smile.com/quotes/#website",
            "name": "SMS4Smile Quotes",
            "url": "https://sms4smile.com/quotes/",
            "publisher": {
                "@id": "https://sms4smile.com/quotes/#organization"
            }
        },
        {
            "@type": "Organization",
            "@id": "https://sms4smile.com/quotes/#organization",
            "name": "SMS4Smile Quotes",
            "url": "https://sms4smile.com/quotes/",
            "logo": {
                "@type": "ImageObject",
                "url": "https://sms4smile.com/quotes/wp-content/themes/sq/assets/icons/icon-512.png",
                "width": 512,
                "height": 512
            }
        }
    ]
}
```
