---
title: "2 Profesa-justin-mafuru Quotes By Enock Maregesi"
description: "2 Profesa-justin-mafuru quotes by Enock Maregesi. Plus more from Enock Maregesi and more Profesa-justin-mafuru sayings from other authors."
image: "https://sms4smile.com/quotes/i/572/enock-maregesi-493_bwana_john-murphy-amefariki-dunia-ndege-aliyot_1009069.jpg"
---

> [“John Murphy amefariki dunia. Ndege aliyotoka nayo hapa, Dar es Salaam, ndiyo aliyotoka nayo Paris na ndiyo hiyo iliyoanguka katika mazingira ya kutatanisha. Watu waliobahatika kuing’amua fununu hii ni wachache na ambao hivi sasa hawajiwezi kabisa, akiwemo kamishna wetu wa…](https://sms4smile.com/quotes/enock-maregesi/john-murphy-amefariki-dunia-ndege-aliyotoka-nayo-hapa-dar-es-salaam/)

[Enock Maregesi](https://sms4smile.com/quotes/author/enock-maregesi/)

[Image](https://sms4smile.com/quotes/i/572/enock-maregesi-493_bwana_john-murphy-amefariki-dunia-ndege-aliyot_1009069.jpg)

> [“Kamishna … karibu," alisema Nafi huku akisimama na kutupa gazeti mezani na kuchukua karatasi ya faksi, iliyotumwa. "Ahsante. Kuna nini …" "Kamishna, imekuja faksi kutoka Oslo kama nilivyokueleza – katika simu. Inakutaka haraka, kesho, lazima kesho, kuwahi kikao Alhamisi mjini…](https://sms4smile.com/quotes/enock-maregesi/kamishna-karibu-alisema-nafi-huku-akisimama-na-kutupa-gazeti-mezani/)

[Enock Maregesi](https://sms4smile.com/quotes/author/enock-maregesi/)

[Image](https://sms4smile.com/quotes/i/220/enock-maregesi-493_afrika-kusini_kamishna-karibu-alisema-nafi-huku-akisim_1970964.jpg)

## More by Enock Maregesi

> [“Ukitaka kuleta mabadiliko katika dunia huna budi kubadilika wewe kwanza. Ukibadilika ukawa mwema katika jamii yako umeleta mabadiliko katika dunia.”](https://sms4smile.com/quotes/enock-maregesi/ukitaka-kuleta-mabadiliko-katika-dunia-huna-budi-kubadilika-wewe/)

[Enock Maregesi](https://sms4smile.com/quotes/author/enock-maregesi/)

> [“Watu wenye ujuzi au vipaji wanatakiwa kwenda shule kusomea ujuzi au vipaji vyao – kwa miezi mitatu au sita angalau.”](https://sms4smile.com/quotes/enock-maregesi/watu-wenye-ujuzi-au-vipaji-wanatakiwa-kwenda-shule-kusomea-ujuzi-au/)

[Enock Maregesi](https://sms4smile.com/quotes/author/enock-maregesi/)

> [“Mungu akikubariki kipaji chako watu watasema ni laana. Maisha yako ni sawa na mto. Unakoelekea ni baharini. Lakini sasa umefika kwenye mlango wa bahari.…](https://sms4smile.com/quotes/enock-maregesi/mungu-akikubariki-kipaji-chako-watu-watasema-ni-laana-maisha-yako-ni/)

[Enock Maregesi](https://sms4smile.com/quotes/author/enock-maregesi/)

> [“Ningependa kujitokeza leo kutoa salamu zangu za rambirambi kwa Watu wa Musoma; kutokana na ajali mbaya ya mabasi ya J4 Express, Mwanza Coach, na…](https://sms4smile.com/quotes/enock-maregesi/ningependa-kujitokeza-leo-kutoa-salamu-zangu-za-rambirambi-kwa-watu/)

[Enock Maregesi](https://sms4smile.com/quotes/author/enock-maregesi/)

> [“Mungu hutumia watu 'wajinga' na 'wapumbavu' kufanya mambo makubwa katika maisha yao na ya watu wengine. Katika Biblia, Musa aliitwa mjinga alipokiuka amri ya…](https://sms4smile.com/quotes/enock-maregesi/mungu-hutumia-watu-wajinga-na-wapumbavu-kufanya-mambo-makubwa-katika/)

[Enock Maregesi](https://sms4smile.com/quotes/author/enock-maregesi/)

> [“Mwandishi lazima awe msomaji wa kila aina ya maandishi anayoweza kusoma. Akipanua upeo wake namna hiyo, kila atakachoandika kitaacha nukuu.”](https://sms4smile.com/quotes/enock-maregesi/mwandishi-lazima-awe-msomaji-wa-kila-aina-ya-maandishi-anayoweza/)

[Enock Maregesi](https://sms4smile.com/quotes/author/enock-maregesi/)

> [“Heri kuwa maskini mwenye pesa nyingi kuliko tajiri mwenye mifuko iliyotoboka.”](https://sms4smile.com/quotes/enock-maregesi/heri-kuwa-maskini-mwenye-pesa-nyingi-kuliko-tajiri-mwenye-mifuko/)

[Enock Maregesi](https://sms4smile.com/quotes/author/enock-maregesi/)

> [“Ukifanya maamuzi kubaliana na matatizo yake.”](https://sms4smile.com/quotes/enock-maregesi/ukifanya-maamuzi-kubaliana-na-matatizo-yake/)

[Enock Maregesi](https://sms4smile.com/quotes/author/enock-maregesi/)

> [“Unapokutana na mtu, kisha mtu huyo haoneshi dalili yoyote ya kutaka kusalimiwa; je, anataka umsalimie au usimsalimie? Ndugu yangu, onesha lugha ya mwili kuonesha…](https://sms4smile.com/quotes/enock-maregesi/unapokutana-na-mtu-kisha-mtu-huyo-haoneshi-dalili-yoyote-ya-kutaka/)

[Enock Maregesi](https://sms4smile.com/quotes/author/enock-maregesi/)

> [“Kipimo cha hofu ya Mungu ni kumjua!”](https://sms4smile.com/quotes/enock-maregesi/kipimo-cha-hofu-ya-mungu-ni-kumjua/)

[Enock Maregesi](https://sms4smile.com/quotes/author/enock-maregesi/)

> [“Nafasi yako peponi itapotea iwapo utamruhusu Pluto (kiongozi wa ahera) akukaribishe bazarai (makao makuu ya ahera) kwa kuchukua maisha yako mwenyewe. Kujiua ni kujipenda…](https://sms4smile.com/quotes/enock-maregesi/nafasi-yako-peponi-itapotea-iwapo-utamruhusu-pluto-kiongozi-wa-ahera/)

[Enock Maregesi](https://sms4smile.com/quotes/author/enock-maregesi/)

> [“Mungu ana mpango na maisha ya kila mtu hapa duniani bila kujali dini, jinsia, kabila, rangi, taifa, au umri, na kila mtu ni wa…](https://sms4smile.com/quotes/enock-maregesi/mungu-ana-mpango-na-maisha-ya-kila-mtu-hapa-duniani-bila-kujali-dini/)

[Enock Maregesi](https://sms4smile.com/quotes/author/enock-maregesi/)

> [“Hatutakiwi kuishi kama raia wa Tanzania peke yake. Tunatakiwa kuishi kama raia wa dunia na watumishi wa utu, hasa katika kipindi hiki cha zama…](https://sms4smile.com/quotes/enock-maregesi/hatutakiwi-kuishi-kama-raia-wa-tanzania-peke-yake-tunatakiwa-kuishi/)

[Enock Maregesi](https://sms4smile.com/quotes/author/enock-maregesi/)

> [“Usitegemee malaika ashuke kutoka mbinguni kuja kukutatulia shida zilizokushinda kwa uzembe. Malaika ni wewe mwenyewe. Ukifanya unachoweza kufanya, Mungu atafanya usichoweza kufanya.”](https://sms4smile.com/quotes/enock-maregesi/usitegemee-malaika-ashuke-kutoka-mbinguni-kuja-kukutatulia-shida/)

[Enock Maregesi](https://sms4smile.com/quotes/author/enock-maregesi/)

> [“Kolonia Santita ni tofauti na hadithi zingine kwa sababu ya wapelelezi wake. Wapelelezi wake ni makomandoo-wapelelezi-wanajeshi.”](https://sms4smile.com/quotes/enock-maregesi/kolonia-santita-ni-tofauti-na-hadithi-zingine-kwa-sababu-ya/)

[Enock Maregesi](https://sms4smile.com/quotes/author/enock-maregesi/)

```json
{
    "@context": "https://schema.org",
    "@graph": [
        {
            "@type": "ItemList",
            "@id": "https://sms4smile.com/quotes/about/profesa-justin-mafuru/enock-maregesi/#itemlist",
            "name": "2 Profesa-justin-mafuru Quotes By Enock Maregesi",
            "numberOfItems": 2,
            "itemListElement": [
                {
                    "@type": "ListItem",
                    "position": 1,
                    "item": {
                        "@type": "Quotation",
                        "text": "“John Murphy amefariki dunia. Ndege aliyotoka nayo hapa, Dar es Salaam, ndiyo aliyotoka nayo Paris na ndiyo hiyo iliyoanguka katika mazingira ya kutatanisha. Watu waliobahatika kuing’amua fununu hii ni wachache na ambao hivi sasa hawajiwezi kabisa, akiwemo kamishna wetu wa kanda Profesa Mafuru. Profesa yuko mahututi. Ameshtuka baada ya kusikia taarifa hizo katika redio ya hapa. Yuko chini ya uangalizi mkali wa madaktari. Mungu aiweke roho ya John Murphy, shujaa wa karne, mahali pema peponi. Bwana alitoa na Bwana ametwaa. Jina la Bwana lihimidiwe.”",
                        "creator": {
                            "@type": "Person",
                            "name": "Enock Maregesi"
                        },
                        "url": "https://sms4smile.com/quotes/enock-maregesi/john-murphy-amefariki-dunia-ndege-aliyotoka-nayo-hapa-dar-es-salaam/",
                        "image": {
                            "@type": "ImageObject",
                            "@id": "https://sms4smile.com/quotes/i/572/enock-maregesi-493_bwana_john-murphy-amefariki-dunia-ndege-aliyot_1009069.jpg",
                            "contentUrl": "https://sms4smile.com/quotes/i/572/enock-maregesi-493_bwana_john-murphy-amefariki-dunia-ndege-aliyot_1009069.jpg",
                            "url": "https://sms4smile.com/quotes/i/572/enock-maregesi-493_bwana_john-murphy-amefariki-dunia-ndege-aliyot_1009069.jpg",
                            "width": 1080,
                            "height": 1080,
                            "caption": "“John Murphy amefariki dunia. Ndege aliyotoka nayo hapa, Dar es Salaam, ndiyo aliyotoka nayo Paris na ndiyo…” — Enock Maregesi",
                            "creditText": "SMS4Smile Quotes",
                            "creator": {
                                "@id": "https://sms4smile.com/quotes/#organization"
                            }
                        }
                    }
                },
                {
                    "@type": "ListItem",
                    "position": 2,
                    "item": {
                        "@type": "Quotation",
                        "text": "“Kamishna … karibu,\" alisema Nafi huku akisimama na kutupa gazeti mezani na kuchukua karatasi ya faksi, iliyotumwa. \"Ahsante. Kuna nini …\" \"Kamishna, imekuja faksi kutoka Oslo kama nilivyokueleza – katika simu. Inakutaka haraka, kesho, lazima kesho, kuwahi kikao Alhamisi mjini Copenhagen,\" alisema Nafi huku akimpa kamishna karatasi ya faksi. \"Mjini Copenhagen!\" alisema kamishna kwa kutoamini. \"Ndiyo, kamishna … Sidhani kama kuna jambo la hatari lakini.\" \"Nafi, nini kimetokea!\" \"Kamishna … sijui. Kwa kweli sijui. Ilipofika, hii faksi, kitu cha kwanza niliongea na watu wa WIS kupata uthibitisho wao. Nao hawajui. Huenda ni mauaji ya jana ya Meksiko. Hii ni siri kubwa ya tume kamishna, na ndiyo maana Oslo wakaingilia kati.\" \"Ndiyo. Kila mtu ameyasikia mauaji ya Meksiko. Ni mabaya. Kinachonishangaza ni kwamba, jana niliongea na makamu … kuhusu mabadiliko ya katiba ya WODEA. Hakunambia chochote kuhusu mkutano wa kesho!\" \"Kamishna, nakusihi kuwa makini. Dalili zinaonyesha hali si nzuri hata kidogo. Hawa ni wadhalimu tu … wa madawa ya kulevya.\" \"Vyema!\" alijibu kamishna kwa jeuri na hasira. Halafu akaendelea, \"Kuna cha ziada?\" \"Ijumaa, kama tulivyoongea wiki iliyopita, nasafiri kwenda Afrika Kusini.\" \"Kikao kinafanyika Alhamisi, Nafi, huwezi kusafiri Ijumaa …\" \"Binti yangu atafukuzwa shule, kam …\" \"Nafi, ongea na chuo … wambie umepata dharura utaondoka Jumatatu; utawaona Jumanne … Fuata maadili ya kazi tafadhali. Safari yako si muhimu hivyo kulinganisha na tume!\" \"Sawa! Profesa. Niwie radhi, nimekuelewa, samahani sana. Samahani sana.”",
                        "creator": {
                            "@type": "Person",
                            "name": "Enock Maregesi"
                        },
                        "url": "https://sms4smile.com/quotes/enock-maregesi/kamishna-karibu-alisema-nafi-huku-akisimama-na-kutupa-gazeti-mezani/",
                        "image": {
                            "@type": "ImageObject",
                            "@id": "https://sms4smile.com/quotes/i/220/enock-maregesi-493_afrika-kusini_kamishna-karibu-alisema-nafi-huku-akisim_1970964.jpg",
                            "contentUrl": "https://sms4smile.com/quotes/i/220/enock-maregesi-493_afrika-kusini_kamishna-karibu-alisema-nafi-huku-akisim_1970964.jpg",
                            "url": "https://sms4smile.com/quotes/i/220/enock-maregesi-493_afrika-kusini_kamishna-karibu-alisema-nafi-huku-akisim_1970964.jpg",
                            "width": 1080,
                            "height": 1080,
                            "caption": "“Kamishna … karibu,\" alisema Nafi huku akisimama na kutupa gazeti mezani na kuchukua karatasi ya faksi…” — Enock Maregesi",
                            "creditText": "SMS4Smile Quotes",
                            "creator": {
                                "@id": "https://sms4smile.com/quotes/#organization"
                            }
                        }
                    }
                }
            ]
        },
        {
            "@type": "CollectionPage",
            "@id": "https://sms4smile.com/quotes/about/profesa-justin-mafuru/enock-maregesi/#webpage",
            "url": "https://sms4smile.com/quotes/about/profesa-justin-mafuru/enock-maregesi/",
            "name": "Profesa-justin-mafuru Quotes by Enock Maregesi",
            "isPartOf": {
                "@id": "https://sms4smile.com/quotes/#website"
            },
            "mainEntity": {
                "@id": "https://sms4smile.com/quotes/about/profesa-justin-mafuru/enock-maregesi/#itemlist"
            },
            "primaryImageOfPage": {
                "@id": "https://sms4smile.com/quotes/i/572/enock-maregesi-493_bwana_john-murphy-amefariki-dunia-ndege-aliyot_1009069.jpg"
            },
            "description": "2 Profesa-justin-mafuru quotes by Enock Maregesi. Plus more from Enock Maregesi and more Profesa-justin-mafuru sayings from other authors.",
            "breadcrumb": {
                "@id": "https://sms4smile.com/quotes/about/profesa-justin-mafuru/enock-maregesi/#breadcrumb"
            }
        },
        {
            "@type": "BreadcrumbList",
            "@id": "https://sms4smile.com/quotes/about/profesa-justin-mafuru/enock-maregesi/#breadcrumb",
            "itemListElement": [
                {
                    "@type": "ListItem",
                    "position": 1,
                    "name": "Home",
                    "item": "https://sms4smile.com/"
                },
                {
                    "@type": "ListItem",
                    "position": 2,
                    "name": "Quotes",
                    "item": "https://sms4smile.com/quotes/"
                },
                {
                    "@type": "ListItem",
                    "position": 3,
                    "name": "Topics",
                    "item": "https://sms4smile.com/quotes/categories/"
                },
                {
                    "@type": "ListItem",
                    "position": 4,
                    "name": "Profesa Justin Mafuru",
                    "item": "https://sms4smile.com/quotes/about/profesa-justin-mafuru/"
                },
                {
                    "@type": "ListItem",
                    "position": 5,
                    "name": "Enock Maregesi",
                    "item": "https://sms4smile.com/quotes/about/profesa-justin-mafuru/enock-maregesi/"
                }
            ]
        },
        {
            "@type": "WebSite",
            "@id": "https://sms4smile.com/quotes/#website",
            "name": "SMS4Smile Quotes",
            "url": "https://sms4smile.com/quotes/",
            "publisher": {
                "@id": "https://sms4smile.com/quotes/#organization"
            }
        },
        {
            "@type": "Organization",
            "@id": "https://sms4smile.com/quotes/#organization",
            "name": "SMS4Smile Quotes",
            "url": "https://sms4smile.com/quotes/",
            "logo": {
                "@type": "ImageObject",
                "url": "https://sms4smile.com/quotes/wp-content/themes/sq/assets/icons/icon-512.png",
                "width": 512,
                "height": 512
            }
        }
    ]
}
```
