---
title: "2 Mucky-circumstances Quotes By Enock Maregesi"
description: "2 Mucky-circumstances quotes by Enock Maregesi. Plus more from Enock Maregesi and more Mucky-circumstances sayings from other authors."
image: "https://sms4smile.com/quotes/i/c40/enock-maregesi-493_cigarette_sigara-zilizidi-kuvutwa-ndani-ya-nyumba_592216.jpg"
---

> [“Sigara zilizidi kuvutwa, ndani ya nyumba, na magaidi wale wawili, wakati Murphy akisinzia kudanganyia kama kweli nguvu zilishamwisha. Alimfikiria tena mpenzi wake Sophia, safari hii sana. Alimkumbuka Debbie; hakujua alikuwa wapi na hakujua mama yake angefanya nini kama Debbie angekufa,…](https://sms4smile.com/quotes/enock-maregesi/sigara-zilizidi-kuvutwa-ndani-ya-nyumba-na-magaidi-wale-wawili-wakati/)

[Enock Maregesi](https://sms4smile.com/quotes/author/enock-maregesi/)

[Image](https://sms4smile.com/quotes/i/c40/enock-maregesi-493_cigarette_sigara-zilizidi-kuvutwa-ndani-ya-nyumba_592216.jpg)

> [“John Murphy amefariki dunia. Ndege aliyotoka nayo hapa, Dar es Salaam, ndiyo aliyotoka nayo Paris na ndiyo hiyo iliyoanguka katika mazingira ya kutatanisha. Watu waliobahatika kuing’amua fununu hii ni wachache na ambao hivi sasa hawajiwezi kabisa, akiwemo kamishna wetu wa…](https://sms4smile.com/quotes/enock-maregesi/john-murphy-amefariki-dunia-ndege-aliyotoka-nayo-hapa-dar-es-salaam/)

[Enock Maregesi](https://sms4smile.com/quotes/author/enock-maregesi/)

[Image](https://sms4smile.com/quotes/i/572/enock-maregesi-493_bwana_john-murphy-amefariki-dunia-ndege-aliyot_1009069.jpg)

## More by Enock Maregesi

> [“Ukitaka kuleta mabadiliko katika dunia huna budi kubadilika wewe kwanza. Ukibadilika ukawa mwema katika jamii yako umeleta mabadiliko katika dunia.”](https://sms4smile.com/quotes/enock-maregesi/ukitaka-kuleta-mabadiliko-katika-dunia-huna-budi-kubadilika-wewe/)

[Enock Maregesi](https://sms4smile.com/quotes/author/enock-maregesi/)

> [“Watu wenye ujuzi au vipaji wanatakiwa kwenda shule kusomea ujuzi au vipaji vyao – kwa miezi mitatu au sita angalau.”](https://sms4smile.com/quotes/enock-maregesi/watu-wenye-ujuzi-au-vipaji-wanatakiwa-kwenda-shule-kusomea-ujuzi-au/)

[Enock Maregesi](https://sms4smile.com/quotes/author/enock-maregesi/)

> [“Mungu akikubariki kipaji chako watu watasema ni laana. Maisha yako ni sawa na mto. Unakoelekea ni baharini. Lakini sasa umefika kwenye mlango wa bahari.…](https://sms4smile.com/quotes/enock-maregesi/mungu-akikubariki-kipaji-chako-watu-watasema-ni-laana-maisha-yako-ni/)

[Enock Maregesi](https://sms4smile.com/quotes/author/enock-maregesi/)

> [“Ningependa kujitokeza leo kutoa salamu zangu za rambirambi kwa Watu wa Musoma; kutokana na ajali mbaya ya mabasi ya J4 Express, Mwanza Coach, na…](https://sms4smile.com/quotes/enock-maregesi/ningependa-kujitokeza-leo-kutoa-salamu-zangu-za-rambirambi-kwa-watu/)

[Enock Maregesi](https://sms4smile.com/quotes/author/enock-maregesi/)

> [“Mungu hutumia watu 'wajinga' na 'wapumbavu' kufanya mambo makubwa katika maisha yao na ya watu wengine. Katika Biblia, Musa aliitwa mjinga alipokiuka amri ya…](https://sms4smile.com/quotes/enock-maregesi/mungu-hutumia-watu-wajinga-na-wapumbavu-kufanya-mambo-makubwa-katika/)

[Enock Maregesi](https://sms4smile.com/quotes/author/enock-maregesi/)

> [“Mwandishi lazima awe msomaji wa kila aina ya maandishi anayoweza kusoma. Akipanua upeo wake namna hiyo, kila atakachoandika kitaacha nukuu.”](https://sms4smile.com/quotes/enock-maregesi/mwandishi-lazima-awe-msomaji-wa-kila-aina-ya-maandishi-anayoweza/)

[Enock Maregesi](https://sms4smile.com/quotes/author/enock-maregesi/)

> [“Heri kuwa maskini mwenye pesa nyingi kuliko tajiri mwenye mifuko iliyotoboka.”](https://sms4smile.com/quotes/enock-maregesi/heri-kuwa-maskini-mwenye-pesa-nyingi-kuliko-tajiri-mwenye-mifuko/)

[Enock Maregesi](https://sms4smile.com/quotes/author/enock-maregesi/)

> [“Ukifanya maamuzi kubaliana na matatizo yake.”](https://sms4smile.com/quotes/enock-maregesi/ukifanya-maamuzi-kubaliana-na-matatizo-yake/)

[Enock Maregesi](https://sms4smile.com/quotes/author/enock-maregesi/)

> [“Unapokutana na mtu, kisha mtu huyo haoneshi dalili yoyote ya kutaka kusalimiwa; je, anataka umsalimie au usimsalimie? Ndugu yangu, onesha lugha ya mwili kuonesha…](https://sms4smile.com/quotes/enock-maregesi/unapokutana-na-mtu-kisha-mtu-huyo-haoneshi-dalili-yoyote-ya-kutaka/)

[Enock Maregesi](https://sms4smile.com/quotes/author/enock-maregesi/)

> [“Kipimo cha hofu ya Mungu ni kumjua!”](https://sms4smile.com/quotes/enock-maregesi/kipimo-cha-hofu-ya-mungu-ni-kumjua/)

[Enock Maregesi](https://sms4smile.com/quotes/author/enock-maregesi/)

> [“Nafasi yako peponi itapotea iwapo utamruhusu Pluto (kiongozi wa ahera) akukaribishe bazarai (makao makuu ya ahera) kwa kuchukua maisha yako mwenyewe. Kujiua ni kujipenda…](https://sms4smile.com/quotes/enock-maregesi/nafasi-yako-peponi-itapotea-iwapo-utamruhusu-pluto-kiongozi-wa-ahera/)

[Enock Maregesi](https://sms4smile.com/quotes/author/enock-maregesi/)

> [“Mungu ana mpango na maisha ya kila mtu hapa duniani bila kujali dini, jinsia, kabila, rangi, taifa, au umri, na kila mtu ni wa…](https://sms4smile.com/quotes/enock-maregesi/mungu-ana-mpango-na-maisha-ya-kila-mtu-hapa-duniani-bila-kujali-dini/)

[Enock Maregesi](https://sms4smile.com/quotes/author/enock-maregesi/)

> [“Hatutakiwi kuishi kama raia wa Tanzania peke yake. Tunatakiwa kuishi kama raia wa dunia na watumishi wa utu, hasa katika kipindi hiki cha zama…](https://sms4smile.com/quotes/enock-maregesi/hatutakiwi-kuishi-kama-raia-wa-tanzania-peke-yake-tunatakiwa-kuishi/)

[Enock Maregesi](https://sms4smile.com/quotes/author/enock-maregesi/)

> [“Usitegemee malaika ashuke kutoka mbinguni kuja kukutatulia shida zilizokushinda kwa uzembe. Malaika ni wewe mwenyewe. Ukifanya unachoweza kufanya, Mungu atafanya usichoweza kufanya.”](https://sms4smile.com/quotes/enock-maregesi/usitegemee-malaika-ashuke-kutoka-mbinguni-kuja-kukutatulia-shida/)

[Enock Maregesi](https://sms4smile.com/quotes/author/enock-maregesi/)

> [“Kolonia Santita ni tofauti na hadithi zingine kwa sababu ya wapelelezi wake. Wapelelezi wake ni makomandoo-wapelelezi-wanajeshi.”](https://sms4smile.com/quotes/enock-maregesi/kolonia-santita-ni-tofauti-na-hadithi-zingine-kwa-sababu-ya/)

[Enock Maregesi](https://sms4smile.com/quotes/author/enock-maregesi/)

```json
{
    "@context": "https://schema.org",
    "@graph": [
        {
            "@type": "ItemList",
            "@id": "https://sms4smile.com/quotes/about/mucky-circumstances/enock-maregesi/#itemlist",
            "name": "2 Mucky-circumstances Quotes By Enock Maregesi",
            "numberOfItems": 2,
            "itemListElement": [
                {
                    "@type": "ListItem",
                    "position": 1,
                    "item": {
                        "@type": "Quotation",
                        "text": "“Sigara zilizidi kuvutwa, ndani ya nyumba, na magaidi wale wawili, wakati Murphy akisinzia kudanganyia kama kweli nguvu zilishamwisha. Alimfikiria tena mpenzi wake Sophia, safari hii sana. Alimkumbuka Debbie; hakujua alikuwa wapi na hakujua mama yake angefanya nini kama Debbie angekufa, na Murphy ndiye aliyetoka naye. Debbie alimuuma zaidi. Alimkataza kufa kwa ajili ya mchumba wake. Sasa alikufa kwa ajili ya mtu ambaye hakumjua. Murphy alijilaumu kumtongoza na kumchukua kwao na kulala naye na kula chakula chake cha kifalme. Wazazi wake wangejisikiaje kama angekufa, tena katika mazingira ya kutatanisha kama yale. Kufa alijua angekufa; lakini Mungu angemsaidia, awaage watu wake.”",
                        "creator": {
                            "@type": "Person",
                            "name": "Enock Maregesi"
                        },
                        "url": "https://sms4smile.com/quotes/enock-maregesi/sigara-zilizidi-kuvutwa-ndani-ya-nyumba-na-magaidi-wale-wawili-wakati/",
                        "image": {
                            "@type": "ImageObject",
                            "@id": "https://sms4smile.com/quotes/i/c40/enock-maregesi-493_cigarette_sigara-zilizidi-kuvutwa-ndani-ya-nyumba_592216.jpg",
                            "contentUrl": "https://sms4smile.com/quotes/i/c40/enock-maregesi-493_cigarette_sigara-zilizidi-kuvutwa-ndani-ya-nyumba_592216.jpg",
                            "url": "https://sms4smile.com/quotes/i/c40/enock-maregesi-493_cigarette_sigara-zilizidi-kuvutwa-ndani-ya-nyumba_592216.jpg",
                            "width": 1080,
                            "height": 1080,
                            "caption": "“Sigara zilizidi kuvutwa, ndani ya nyumba, na magaidi wale wawili, wakati Murphy akisinzia kudanganyia kama…” — Enock Maregesi",
                            "creditText": "SMS4Smile Quotes",
                            "creator": {
                                "@id": "https://sms4smile.com/quotes/#organization"
                            }
                        }
                    }
                },
                {
                    "@type": "ListItem",
                    "position": 2,
                    "item": {
                        "@type": "Quotation",
                        "text": "“John Murphy amefariki dunia. Ndege aliyotoka nayo hapa, Dar es Salaam, ndiyo aliyotoka nayo Paris na ndiyo hiyo iliyoanguka katika mazingira ya kutatanisha. Watu waliobahatika kuing’amua fununu hii ni wachache na ambao hivi sasa hawajiwezi kabisa, akiwemo kamishna wetu wa kanda Profesa Mafuru. Profesa yuko mahututi. Ameshtuka baada ya kusikia taarifa hizo katika redio ya hapa. Yuko chini ya uangalizi mkali wa madaktari. Mungu aiweke roho ya John Murphy, shujaa wa karne, mahali pema peponi. Bwana alitoa na Bwana ametwaa. Jina la Bwana lihimidiwe.”",
                        "creator": {
                            "@type": "Person",
                            "name": "Enock Maregesi"
                        },
                        "url": "https://sms4smile.com/quotes/enock-maregesi/john-murphy-amefariki-dunia-ndege-aliyotoka-nayo-hapa-dar-es-salaam/",
                        "image": {
                            "@type": "ImageObject",
                            "@id": "https://sms4smile.com/quotes/i/572/enock-maregesi-493_bwana_john-murphy-amefariki-dunia-ndege-aliyot_1009069.jpg",
                            "contentUrl": "https://sms4smile.com/quotes/i/572/enock-maregesi-493_bwana_john-murphy-amefariki-dunia-ndege-aliyot_1009069.jpg",
                            "url": "https://sms4smile.com/quotes/i/572/enock-maregesi-493_bwana_john-murphy-amefariki-dunia-ndege-aliyot_1009069.jpg",
                            "width": 1080,
                            "height": 1080,
                            "caption": "“John Murphy amefariki dunia. Ndege aliyotoka nayo hapa, Dar es Salaam, ndiyo aliyotoka nayo Paris na ndiyo…” — Enock Maregesi",
                            "creditText": "SMS4Smile Quotes",
                            "creator": {
                                "@id": "https://sms4smile.com/quotes/#organization"
                            }
                        }
                    }
                }
            ]
        },
        {
            "@type": "CollectionPage",
            "@id": "https://sms4smile.com/quotes/about/mucky-circumstances/enock-maregesi/#webpage",
            "url": "https://sms4smile.com/quotes/about/mucky-circumstances/enock-maregesi/",
            "name": "Mucky-circumstances Quotes by Enock Maregesi",
            "isPartOf": {
                "@id": "https://sms4smile.com/quotes/#website"
            },
            "mainEntity": {
                "@id": "https://sms4smile.com/quotes/about/mucky-circumstances/enock-maregesi/#itemlist"
            },
            "primaryImageOfPage": {
                "@id": "https://sms4smile.com/quotes/i/c40/enock-maregesi-493_cigarette_sigara-zilizidi-kuvutwa-ndani-ya-nyumba_592216.jpg"
            },
            "description": "2 Mucky-circumstances quotes by Enock Maregesi. Plus more from Enock Maregesi and more Mucky-circumstances sayings from other authors.",
            "breadcrumb": {
                "@id": "https://sms4smile.com/quotes/about/mucky-circumstances/enock-maregesi/#breadcrumb"
            }
        },
        {
            "@type": "BreadcrumbList",
            "@id": "https://sms4smile.com/quotes/about/mucky-circumstances/enock-maregesi/#breadcrumb",
            "itemListElement": [
                {
                    "@type": "ListItem",
                    "position": 1,
                    "name": "Home",
                    "item": "https://sms4smile.com/"
                },
                {
                    "@type": "ListItem",
                    "position": 2,
                    "name": "Quotes",
                    "item": "https://sms4smile.com/quotes/"
                },
                {
                    "@type": "ListItem",
                    "position": 3,
                    "name": "Topics",
                    "item": "https://sms4smile.com/quotes/categories/"
                },
                {
                    "@type": "ListItem",
                    "position": 4,
                    "name": "Mucky Circumstances",
                    "item": "https://sms4smile.com/quotes/about/mucky-circumstances/"
                },
                {
                    "@type": "ListItem",
                    "position": 5,
                    "name": "Enock Maregesi",
                    "item": "https://sms4smile.com/quotes/about/mucky-circumstances/enock-maregesi/"
                }
            ]
        },
        {
            "@type": "WebSite",
            "@id": "https://sms4smile.com/quotes/#website",
            "name": "SMS4Smile Quotes",
            "url": "https://sms4smile.com/quotes/",
            "publisher": {
                "@id": "https://sms4smile.com/quotes/#organization"
            }
        },
        {
            "@type": "Organization",
            "@id": "https://sms4smile.com/quotes/#organization",
            "name": "SMS4Smile Quotes",
            "url": "https://sms4smile.com/quotes/",
            "logo": {
                "@type": "ImageObject",
                "url": "https://sms4smile.com/quotes/wp-content/themes/sq/assets/icons/icon-512.png",
                "width": 512,
                "height": 512
            }
        }
    ]
}
```
