---
title: "5 Kiongozi Quotes by 1 author"
description: "Browse 5 Kiongozi quotes by 1 author. Discover the best Kiongozi sayings and thoughts."
image: "https://sms4smile.com/quotes/i/a40/enock-maregesi-493_conceit_katika-maisha-kila-mtu-ni-kiongozi-na-ni_160163.jpg"
---

> [“Katika maisha, kila mtu ni kiongozi na ni mfuasi pia kutegemeana na hali. Kiongozi hatakiwi kuwa na kiburi, wala hatakiwi kuwa na…](https://sms4smile.com/quotes/enock-maregesi/katika-maisha-kila-mtu-ni-kiongozi-na-ni-mfuasi-pia-kutegemeana-na/)

[Enock Maregesi](https://sms4smile.com/quotes/author/enock-maregesi/)

[Image](https://sms4smile.com/quotes/i/a40/enock-maregesi-493_conceit_katika-maisha-kila-mtu-ni-kiongozi-na-ni_160163.jpg)

> [“Kiongozi kwa sababu ya haki akibarikiwa na Mungu, hata watu anaowaongoza watabarikiwa na Mungu pia. Lakini kama kiongozi amelaaniwa na Mungu kwa…](https://sms4smile.com/quotes/enock-maregesi/kiongozi-kwa-sababu-ya-haki-akibarikiwa-na-mungu-hata-watu/)

[Enock Maregesi](https://sms4smile.com/quotes/author/enock-maregesi/)

[Image](https://sms4smile.com/quotes/i/e82/enock-maregesi-493_evil_kiongozi-kwa-sababu-ya-haki-akibarikiwa_527344.jpg)

> [“Kuna nguzo saba ambazo hazina budi kuzingatiwa kama unataka kuheshimiwa na kuwaheshimu wengine. Kwanza kabisa jitambue: wewe ni nani na unafanya nini…](https://sms4smile.com/quotes/enock-maregesi/kuna-nguzo-saba-ambazo-hazina-budi-kuzingatiwa-kama-unataka/)

[Enock Maregesi](https://sms4smile.com/quotes/author/enock-maregesi/)

[Image](https://sms4smile.com/quotes/i/374/enock-maregesi-493_accuracy_kuna-nguzo-saba-ambazo-hazina-budi-kuzin_1936144.jpg)

> [“Hatumtaki kiongozi anayeishi katika mifuko ya mafisadi, tunamtaka kiongozi anayeishi katika ibara za katiba ya nchi. Kitambi bila Yesu ni jipu.”](https://sms4smile.com/quotes/enock-maregesi/hatumtaki-kiongozi-anayeishi-katika-mifuko-ya-mafisadi-tunamtaka/)

[Enock Maregesi](https://sms4smile.com/quotes/author/enock-maregesi/)

[Image](https://sms4smile.com/quotes/i/4ee/enock-maregesi-493_boil_hatumtaki-kiongozi-anayeishi-katika-mifu_3140323.jpg)

> [“Lakini damu na maji vina maana kubwa katika maisha yetu. Biblia inaeleza kuwa wakati Yesu Kristo akiwa msalabani alichomwa ubavu wake kwa…](https://sms4smile.com/quotes/enock-maregesi/lakini-damu-na-maji-vina-maana-kubwa-katika-maisha-yetu-biblia/)

[Enock Maregesi](https://sms4smile.com/quotes/author/enock-maregesi/)

[Image](https://sms4smile.com/quotes/i/b53/enock-maregesi-493_bible_lakini-damu-na-maji-vina-maana-kubwa-kat_3227058.jpg)

## Top authors on Kiongozi

- [Enock Maregesi 5 quotes](https://sms4smile.com/quotes/about/kiongozi/enock-maregesi/)

```json
{
    "@context": "https://schema.org",
    "@graph": [
        {
            "@type": "ItemList",
            "@id": "https://sms4smile.com/quotes/about/kiongozi/#itemlist",
            "name": "Kiongozi Quotes",
            "numberOfItems": 5,
            "itemListElement": [
                {
                    "@type": "ListItem",
                    "position": 1,
                    "item": {
                        "@type": "Quotation",
                        "text": "“Katika maisha, kila mtu ni kiongozi na ni mfuasi pia kutegemeana na hali. Kiongozi hatakiwi kuwa na kiburi, wala hatakiwi kuwa na roho yenye kutakabari, roho ya jeuri na kuona wengine si kitu, kwa sababu kiburi na roho yenye kutakabari huleta maangamizi na maanguko makubwa katika jamii. Viongozi wa mataifa wana jukumu kubwa kwa sababu kama wataruhusu maadili yaanguke, nguvu zao zote za kijeshi na kiteknolojia hazitawasaidia. Sifa ya kwanza ya kiongozi ni kuwa na maadili mema.”",
                        "creator": {
                            "@type": "Person",
                            "name": "Enock Maregesi"
                        },
                        "url": "https://sms4smile.com/quotes/enock-maregesi/katika-maisha-kila-mtu-ni-kiongozi-na-ni-mfuasi-pia-kutegemeana-na/",
                        "image": {
                            "@type": "ImageObject",
                            "@id": "https://sms4smile.com/quotes/i/a40/enock-maregesi-493_conceit_katika-maisha-kila-mtu-ni-kiongozi-na-ni_160163.jpg",
                            "contentUrl": "https://sms4smile.com/quotes/i/a40/enock-maregesi-493_conceit_katika-maisha-kila-mtu-ni-kiongozi-na-ni_160163.jpg",
                            "url": "https://sms4smile.com/quotes/i/a40/enock-maregesi-493_conceit_katika-maisha-kila-mtu-ni-kiongozi-na-ni_160163.jpg",
                            "width": 1080,
                            "height": 1080,
                            "caption": "“Katika maisha, kila mtu ni kiongozi na ni mfuasi pia kutegemeana na hali. Kiongozi hatakiwi kuwa na kiburi…” — Enock Maregesi",
                            "creditText": "SMS4Smile Quotes",
                            "creator": {
                                "@id": "https://sms4smile.com/quotes/#organization"
                            }
                        }
                    }
                },
                {
                    "@type": "ListItem",
                    "position": 2,
                    "item": {
                        "@type": "Quotation",
                        "text": "“Kiongozi kwa sababu ya haki akibarikiwa na Mungu, hata watu anaowaongoza watabarikiwa na Mungu pia. Lakini kama kiongozi amelaaniwa na Mungu kwa sababu ya uovu, hata watu anaowaongoza watalaaniwa pia.”",
                        "creator": {
                            "@type": "Person",
                            "name": "Enock Maregesi"
                        },
                        "url": "https://sms4smile.com/quotes/enock-maregesi/kiongozi-kwa-sababu-ya-haki-akibarikiwa-na-mungu-hata-watu/",
                        "image": {
                            "@type": "ImageObject",
                            "@id": "https://sms4smile.com/quotes/i/e82/enock-maregesi-493_evil_kiongozi-kwa-sababu-ya-haki-akibarikiwa_527344.jpg",
                            "contentUrl": "https://sms4smile.com/quotes/i/e82/enock-maregesi-493_evil_kiongozi-kwa-sababu-ya-haki-akibarikiwa_527344.jpg",
                            "url": "https://sms4smile.com/quotes/i/e82/enock-maregesi-493_evil_kiongozi-kwa-sababu-ya-haki-akibarikiwa_527344.jpg",
                            "width": 1080,
                            "height": 1080,
                            "caption": "“Kiongozi kwa sababu ya haki akibarikiwa na Mungu, hata watu anaowaongoza watabarikiwa na Mungu pia. Lakini…” — Enock Maregesi",
                            "creditText": "SMS4Smile Quotes",
                            "creator": {
                                "@id": "https://sms4smile.com/quotes/#organization"
                            }
                        }
                    }
                },
                {
                    "@type": "ListItem",
                    "position": 3,
                    "item": {
                        "@type": "Quotation",
                        "text": "“Kuna nguzo saba ambazo hazina budi kuzingatiwa kama unataka kuheshimiwa na kuwaheshimu wengine. Kwanza kabisa jitambue: wewe ni nani na unafanya nini hapa duniani. Halafu, kabla ya kusema jambo lolote kwa mtu yoyote fikiria kwanza maana au madhara ya hilo unalotaka kulisema. Kisha jifunze tamaduni mbalimbali na watendee wengine kama vile unavyotaka kutendewa au kama vile wanavyotaka kutendewa. Jifunze kusamehe na kusuluhisha migogoro katika jamii unamoishi huku ukidumisha heshima na utu kwa binadamu wenzako. Jijengee imani kwa watu, punguza upendeleo, fanya kazi kama timu kwani hakuna ‘mimi’ katika umoja ila kuna ‘sisi’, na jitahidi kwa kadiri ya uwezo wako WOTE kwa manufaa ya wote. Kuwa kiongozi katika kila jambo unalofanya na katika kila kitu unachofanya. Jitahidi kufanya jambo au kitu kwa usahihi kwa kadiri utakavyoweza.”",
                        "creator": {
                            "@type": "Person",
                            "name": "Enock Maregesi"
                        },
                        "url": "https://sms4smile.com/quotes/enock-maregesi/kuna-nguzo-saba-ambazo-hazina-budi-kuzingatiwa-kama-unataka/",
                        "image": {
                            "@type": "ImageObject",
                            "@id": "https://sms4smile.com/quotes/i/374/enock-maregesi-493_accuracy_kuna-nguzo-saba-ambazo-hazina-budi-kuzin_1936144.jpg",
                            "contentUrl": "https://sms4smile.com/quotes/i/374/enock-maregesi-493_accuracy_kuna-nguzo-saba-ambazo-hazina-budi-kuzin_1936144.jpg",
                            "url": "https://sms4smile.com/quotes/i/374/enock-maregesi-493_accuracy_kuna-nguzo-saba-ambazo-hazina-budi-kuzin_1936144.jpg",
                            "width": 1080,
                            "height": 1080,
                            "caption": "“Kuna nguzo saba ambazo hazina budi kuzingatiwa kama unataka kuheshimiwa na kuwaheshimu wengine. Kwanza…” — Enock Maregesi",
                            "creditText": "SMS4Smile Quotes",
                            "creator": {
                                "@id": "https://sms4smile.com/quotes/#organization"
                            }
                        }
                    }
                },
                {
                    "@type": "ListItem",
                    "position": 4,
                    "item": {
                        "@type": "Quotation",
                        "text": "“Hatumtaki kiongozi anayeishi katika mifuko ya mafisadi, tunamtaka kiongozi anayeishi katika ibara za katiba ya nchi. Kitambi bila Yesu ni jipu.”",
                        "creator": {
                            "@type": "Person",
                            "name": "Enock Maregesi"
                        },
                        "url": "https://sms4smile.com/quotes/enock-maregesi/hatumtaki-kiongozi-anayeishi-katika-mifuko-ya-mafisadi-tunamtaka/",
                        "image": {
                            "@type": "ImageObject",
                            "@id": "https://sms4smile.com/quotes/i/4ee/enock-maregesi-493_boil_hatumtaki-kiongozi-anayeishi-katika-mifu_3140323.jpg",
                            "contentUrl": "https://sms4smile.com/quotes/i/4ee/enock-maregesi-493_boil_hatumtaki-kiongozi-anayeishi-katika-mifu_3140323.jpg",
                            "url": "https://sms4smile.com/quotes/i/4ee/enock-maregesi-493_boil_hatumtaki-kiongozi-anayeishi-katika-mifu_3140323.jpg",
                            "width": 1080,
                            "height": 1080,
                            "caption": "“Hatumtaki kiongozi anayeishi katika mifuko ya mafisadi, tunamtaka kiongozi anayeishi katika ibara za katiba…” — Enock Maregesi",
                            "creditText": "SMS4Smile Quotes",
                            "creator": {
                                "@id": "https://sms4smile.com/quotes/#organization"
                            }
                        }
                    }
                },
                {
                    "@type": "ListItem",
                    "position": 5,
                    "item": {
                        "@type": "Quotation",
                        "text": "“Lakini damu na maji vina maana kubwa katika maisha yetu. Biblia inaeleza kuwa wakati Yesu Kristo akiwa msalabani alichomwa ubavu wake kwa mkuki, ikatoka damu na maji, ndipo zilipozaliwa sakramenti za kanisa. Aidha, tukio la askari wa Kirumi kumchoma Yesu na damu na maji kutoka lina maana nyingine kubwa katika maisha yetu. Hapo ndipo Ukristo ulipozaliwa; na ni kwa sababu hiyo mwanamke anapojifungua hutoa damu na maji kutokana na kupasuka kwa utando wa mfuko wa uzazi. Kutokana na hayo, Wakristo wanapoabudu msalaba wanaeleza umuhimu wa matukio na mafundisho waliyopata kupitia mateso aliyopata kiongozi wao na kuwa, msalaba ni chombo cha ukombozi.”",
                        "creator": {
                            "@type": "Person",
                            "name": "Enock Maregesi"
                        },
                        "url": "https://sms4smile.com/quotes/enock-maregesi/lakini-damu-na-maji-vina-maana-kubwa-katika-maisha-yetu-biblia/",
                        "image": {
                            "@type": "ImageObject",
                            "@id": "https://sms4smile.com/quotes/i/b53/enock-maregesi-493_bible_lakini-damu-na-maji-vina-maana-kubwa-kat_3227058.jpg",
                            "contentUrl": "https://sms4smile.com/quotes/i/b53/enock-maregesi-493_bible_lakini-damu-na-maji-vina-maana-kubwa-kat_3227058.jpg",
                            "url": "https://sms4smile.com/quotes/i/b53/enock-maregesi-493_bible_lakini-damu-na-maji-vina-maana-kubwa-kat_3227058.jpg",
                            "width": 1080,
                            "height": 1080,
                            "caption": "“Lakini damu na maji vina maana kubwa katika maisha yetu. Biblia inaeleza kuwa wakati Yesu Kristo akiwa…” — Enock Maregesi",
                            "creditText": "SMS4Smile Quotes",
                            "creator": {
                                "@id": "https://sms4smile.com/quotes/#organization"
                            }
                        }
                    }
                }
            ]
        },
        {
            "@type": "CollectionPage",
            "@id": "https://sms4smile.com/quotes/about/kiongozi/#webpage",
            "url": "https://sms4smile.com/quotes/about/kiongozi/",
            "name": "Kiongozi Quotes",
            "isPartOf": {
                "@id": "https://sms4smile.com/quotes/#website"
            },
            "mainEntity": {
                "@id": "https://sms4smile.com/quotes/about/kiongozi/#itemlist"
            },
            "primaryImageOfPage": {
                "@id": "https://sms4smile.com/quotes/i/a40/enock-maregesi-493_conceit_katika-maisha-kila-mtu-ni-kiongozi-na-ni_160163.jpg"
            },
            "description": "Browse 5 Kiongozi quotes by 1 author. Discover the best Kiongozi sayings and thoughts.",
            "breadcrumb": {
                "@id": "https://sms4smile.com/quotes/about/kiongozi/#breadcrumb"
            }
        },
        {
            "@type": "BreadcrumbList",
            "@id": "https://sms4smile.com/quotes/about/kiongozi/#breadcrumb",
            "itemListElement": [
                {
                    "@type": "ListItem",
                    "position": 1,
                    "name": "Home",
                    "item": "https://sms4smile.com/"
                },
                {
                    "@type": "ListItem",
                    "position": 2,
                    "name": "Quotes",
                    "item": "https://sms4smile.com/quotes/"
                },
                {
                    "@type": "ListItem",
                    "position": 3,
                    "name": "Topics",
                    "item": "https://sms4smile.com/quotes/categories/"
                },
                {
                    "@type": "ListItem",
                    "position": 4,
                    "name": "Kiongozi Quotes",
                    "item": "https://sms4smile.com/quotes/about/kiongozi/"
                }
            ]
        },
        {
            "@type": "WebSite",
            "@id": "https://sms4smile.com/quotes/#website",
            "name": "SMS4Smile Quotes",
            "url": "https://sms4smile.com/quotes/",
            "publisher": {
                "@id": "https://sms4smile.com/quotes/#organization"
            }
        },
        {
            "@type": "Organization",
            "@id": "https://sms4smile.com/quotes/#organization",
            "name": "SMS4Smile Quotes",
            "url": "https://sms4smile.com/quotes/",
            "logo": {
                "@type": "ImageObject",
                "url": "https://sms4smile.com/quotes/wp-content/themes/sq/assets/icons/icon-512.png",
                "width": 512,
                "height": 512
            }
        }
    ]
}
```
