---
title: "2 Dola Quotes by 1 author"
description: "Browse 2 Dola quotes by 1 author. Discover the best Dola sayings and thoughts."
image: "https://sms4smile.com/quotes/i/49e/enock-maregesi-493_baba_kolonia-santita-imesambaa-dunia-nzima-ha_265586.jpg"
---

> [“Kolonia Santita imesambaa dunia nzima. Hapa Meksiko wana magenge rafiki zaidi ya mia moja yakiwemo makubwa kabisa katika Latino ya Matamolos na Baja California. Nikitekwa nyara na memba yoyote wa magenge hayo, kuna uwezekano mkubwa wasinifanye chochote au nisilipe chochote…](https://sms4smile.com/quotes/enock-maregesi/kolonia-santita-imesambaa-dunia-nzima-hapa-meksiko-wana-magenge/)

[Enock Maregesi](https://sms4smile.com/quotes/author/enock-maregesi/)

[Image](https://sms4smile.com/quotes/i/49e/enock-maregesi-493_baba_kolonia-santita-imesambaa-dunia-nzima-ha_265586.jpg)

> [“Majambazi huwapenda wanaowapenda. Chukulia mfano huu: Mimi na Wanda ni marafiki, OK? Baba yake, au genge la baba yake, hataweza kunidhuru au kuwadhuru watu ninaowapenda kwa sababu tu ya urafiki na mtoto wake. Na yeye anaweza kufumbiwa macho akifanya makosa…](https://sms4smile.com/quotes/enock-maregesi/majambazi-huwapenda-wanaowapenda-chukulia-mfano-huu-mimi-na-wanda-ni/)

[Enock Maregesi](https://sms4smile.com/quotes/author/enock-maregesi/)

[Image](https://sms4smile.com/quotes/i/a72/enock-maregesi-493_debbie-patrocinio-ab_majambazi-huwapenda-wanaowapenda-chukuli_2466163.jpg)

```json
{
    "@context": "https://schema.org",
    "@graph": [
        {
            "@type": "ItemList",
            "@id": "https://sms4smile.com/quotes/about/dola/#itemlist",
            "name": "Dola Quotes",
            "numberOfItems": 2,
            "itemListElement": [
                {
                    "@type": "ListItem",
                    "position": 1,
                    "item": {
                        "@type": "Quotation",
                        "text": "“Kolonia Santita imesambaa dunia nzima. Hapa Meksiko wana magenge rafiki zaidi ya mia moja yakiwemo makubwa kabisa katika Latino ya Matamolos na Baja California. Nikitekwa nyara na memba yoyote wa magenge hayo, kuna uwezekano mkubwa wasinifanye chochote au nisilipe chochote kwa sababu ya Wanda. Fadhila ya uhalifu. Kwa sababu ya fadhila ya uhalifu; baba, au viongozi wengine wa serikali ambao watoto wao wamo ndani ya 'mpango' huo, wanatakiwa wawakingie kifua (kwa namna yoyote wanayoweza) pindi wanapoanguka katika mikono ya dola na sheria. Wasipofanya hivyo kutakuwa na vita ya ndani kwa ndani … kama unanielewa. Hivyo, kuna mtu anaitwa El Tigre – baba yake Wanda – ndiye ninayetaka unisaidie. Amemuua Marciano, na watu wengi wa Meksiko. Nataka kumlipia kisasi Marciano, na marafiki zangu wengi ambao El Tigre amewaua, hata kwa njia isiyodhahiri.”",
                        "creator": {
                            "@type": "Person",
                            "name": "Enock Maregesi"
                        },
                        "url": "https://sms4smile.com/quotes/enock-maregesi/kolonia-santita-imesambaa-dunia-nzima-hapa-meksiko-wana-magenge/",
                        "image": {
                            "@type": "ImageObject",
                            "@id": "https://sms4smile.com/quotes/i/49e/enock-maregesi-493_baba_kolonia-santita-imesambaa-dunia-nzima-ha_265586.jpg",
                            "contentUrl": "https://sms4smile.com/quotes/i/49e/enock-maregesi-493_baba_kolonia-santita-imesambaa-dunia-nzima-ha_265586.jpg",
                            "url": "https://sms4smile.com/quotes/i/49e/enock-maregesi-493_baba_kolonia-santita-imesambaa-dunia-nzima-ha_265586.jpg",
                            "width": 1080,
                            "height": 1080,
                            "caption": "“Kolonia Santita imesambaa dunia nzima. Hapa Meksiko wana magenge rafiki zaidi ya mia moja yakiwemo makubwa…” — Enock Maregesi",
                            "creditText": "SMS4Smile Quotes",
                            "creator": {
                                "@id": "https://sms4smile.com/quotes/#organization"
                            }
                        }
                    }
                },
                {
                    "@type": "ListItem",
                    "position": 2,
                    "item": {
                        "@type": "Quotation",
                        "text": "“Majambazi huwapenda wanaowapenda. Chukulia mfano huu: Mimi na Wanda ni marafiki, OK? Baba yake, au genge la baba yake, hataweza kunidhuru au kuwadhuru watu ninaowapenda kwa sababu tu ya urafiki na mtoto wake. Na yeye anaweza kufumbiwa macho akifanya makosa kwa sababu mimi na mtoto wake ni marafiki wakubwa. Murphy, hapa Meksiko tuna kitu kinaitwa Bima ya Utekaji Nyara ('Ransom Insurance'). Zamani nilikuwa nalipa dola milioni kumi za Marekani kama bima ya utekaji nyara; Lisa alikuwa analipa milioni nne na Wanda bado analipa milioni mbili mpaka sasa hivi. Baada ya mimi na Lisa kujenga urafiki na Wanda, malipo yetu ya bima yamepungua mpaka dola milioni moja kwa mwaka.”",
                        "creator": {
                            "@type": "Person",
                            "name": "Enock Maregesi"
                        },
                        "url": "https://sms4smile.com/quotes/enock-maregesi/majambazi-huwapenda-wanaowapenda-chukulia-mfano-huu-mimi-na-wanda-ni/",
                        "image": {
                            "@type": "ImageObject",
                            "@id": "https://sms4smile.com/quotes/i/a72/enock-maregesi-493_debbie-patrocinio-ab_majambazi-huwapenda-wanaowapenda-chukuli_2466163.jpg",
                            "contentUrl": "https://sms4smile.com/quotes/i/a72/enock-maregesi-493_debbie-patrocinio-ab_majambazi-huwapenda-wanaowapenda-chukuli_2466163.jpg",
                            "url": "https://sms4smile.com/quotes/i/a72/enock-maregesi-493_debbie-patrocinio-ab_majambazi-huwapenda-wanaowapenda-chukuli_2466163.jpg",
                            "width": 1080,
                            "height": 1080,
                            "caption": "“Majambazi huwapenda wanaowapenda. Chukulia mfano huu: Mimi na Wanda ni marafiki, OK? Baba yake, au genge la…” — Enock Maregesi",
                            "creditText": "SMS4Smile Quotes",
                            "creator": {
                                "@id": "https://sms4smile.com/quotes/#organization"
                            }
                        }
                    }
                }
            ]
        },
        {
            "@type": "CollectionPage",
            "@id": "https://sms4smile.com/quotes/about/dola/#webpage",
            "url": "https://sms4smile.com/quotes/about/dola/",
            "name": "Dola Quotes",
            "isPartOf": {
                "@id": "https://sms4smile.com/quotes/#website"
            },
            "mainEntity": {
                "@id": "https://sms4smile.com/quotes/about/dola/#itemlist"
            },
            "primaryImageOfPage": {
                "@id": "https://sms4smile.com/quotes/i/49e/enock-maregesi-493_baba_kolonia-santita-imesambaa-dunia-nzima-ha_265586.jpg"
            },
            "description": "Browse 2 Dola quotes by 1 author. Discover the best Dola sayings and thoughts.",
            "breadcrumb": {
                "@id": "https://sms4smile.com/quotes/about/dola/#breadcrumb"
            }
        },
        {
            "@type": "BreadcrumbList",
            "@id": "https://sms4smile.com/quotes/about/dola/#breadcrumb",
            "itemListElement": [
                {
                    "@type": "ListItem",
                    "position": 1,
                    "name": "Home",
                    "item": "https://sms4smile.com/"
                },
                {
                    "@type": "ListItem",
                    "position": 2,
                    "name": "Quotes",
                    "item": "https://sms4smile.com/quotes/"
                },
                {
                    "@type": "ListItem",
                    "position": 3,
                    "name": "Topics",
                    "item": "https://sms4smile.com/quotes/categories/"
                },
                {
                    "@type": "ListItem",
                    "position": 4,
                    "name": "Dola Quotes",
                    "item": "https://sms4smile.com/quotes/about/dola/"
                }
            ]
        },
        {
            "@type": "WebSite",
            "@id": "https://sms4smile.com/quotes/#website",
            "name": "SMS4Smile Quotes",
            "url": "https://sms4smile.com/quotes/",
            "publisher": {
                "@id": "https://sms4smile.com/quotes/#organization"
            }
        },
        {
            "@type": "Organization",
            "@id": "https://sms4smile.com/quotes/#organization",
            "name": "SMS4Smile Quotes",
            "url": "https://sms4smile.com/quotes/",
            "logo": {
                "@type": "ImageObject",
                "url": "https://sms4smile.com/quotes/wp-content/themes/sq/assets/icons/icon-512.png",
                "width": 512,
                "height": 512
            }
        }
    ]
}
```
