---
title: "2 Celebrations Quotes By Enock Maregesi"
description: "2 Celebrations quotes by Enock Maregesi. Plus more from Enock Maregesi and more Celebrations sayings from other authors."
image: "https://sms4smile.com/quotes/i/0b4/enock-maregesi-493_actor_adam-kuambiana-umerudi-nyumbani-ulikotok_870727.jpg"
---

> [“Adam Kuambiana umerudi nyumbani ulikotoka, ukiongozwa na imani na mwanga wa wale uliowapenda na kuwapoteza. Hatuwezi kukumbuka kwamba umetutoka bila kukumbuka kwamba uliishi, na kwamba maisha yako yalitupa kumbukumbu nzuri tusizoweza kuzisahau haraka. Jumanne, siku ya kuuaga mwili uliokuwa ukitumiwa…](https://sms4smile.com/quotes/enock-maregesi/adam-kuambiana-umerudi-nyumbani-ulikotoka-ukiongozwa-na-imani-na/)

[Enock Maregesi](https://sms4smile.com/quotes/author/enock-maregesi/)

[Image](https://sms4smile.com/quotes/i/0b4/enock-maregesi-493_actor_adam-kuambiana-umerudi-nyumbani-ulikotok_870727.jpg)

> [“Mwaka mpya ukifika watu husherehekea kwa vifijo na nderemo! Pumzi ikifika hawasherehekei. Kwa nini?”](https://sms4smile.com/quotes/enock-maregesi/mwaka-mpya-ukifika-watu-husherehekea-kwa-vifijo-na-nderemo-pumzi/)

[Enock Maregesi](https://sms4smile.com/quotes/author/enock-maregesi/)

[Image](https://sms4smile.com/quotes/i/22c/enock-maregesi-493_breath_mwaka-mpya-ukifika-watu-husherehekea-kwa_2316407.jpg)

## More by Enock Maregesi

> [“Ukitaka kuleta mabadiliko katika dunia huna budi kubadilika wewe kwanza. Ukibadilika ukawa mwema katika jamii yako umeleta mabadiliko katika dunia.”](https://sms4smile.com/quotes/enock-maregesi/ukitaka-kuleta-mabadiliko-katika-dunia-huna-budi-kubadilika-wewe/)

[Enock Maregesi](https://sms4smile.com/quotes/author/enock-maregesi/)

> [“Watu wenye ujuzi au vipaji wanatakiwa kwenda shule kusomea ujuzi au vipaji vyao – kwa miezi mitatu au sita angalau.”](https://sms4smile.com/quotes/enock-maregesi/watu-wenye-ujuzi-au-vipaji-wanatakiwa-kwenda-shule-kusomea-ujuzi-au/)

[Enock Maregesi](https://sms4smile.com/quotes/author/enock-maregesi/)

> [“Mungu akikubariki kipaji chako watu watasema ni laana. Maisha yako ni sawa na mto. Unakoelekea ni baharini. Lakini sasa umefika kwenye mlango wa bahari.…](https://sms4smile.com/quotes/enock-maregesi/mungu-akikubariki-kipaji-chako-watu-watasema-ni-laana-maisha-yako-ni/)

[Enock Maregesi](https://sms4smile.com/quotes/author/enock-maregesi/)

> [“Ningependa kujitokeza leo kutoa salamu zangu za rambirambi kwa Watu wa Musoma; kutokana na ajali mbaya ya mabasi ya J4 Express, Mwanza Coach, na…](https://sms4smile.com/quotes/enock-maregesi/ningependa-kujitokeza-leo-kutoa-salamu-zangu-za-rambirambi-kwa-watu/)

[Enock Maregesi](https://sms4smile.com/quotes/author/enock-maregesi/)

> [“Mungu hutumia watu 'wajinga' na 'wapumbavu' kufanya mambo makubwa katika maisha yao na ya watu wengine. Katika Biblia, Musa aliitwa mjinga alipokiuka amri ya…](https://sms4smile.com/quotes/enock-maregesi/mungu-hutumia-watu-wajinga-na-wapumbavu-kufanya-mambo-makubwa-katika/)

[Enock Maregesi](https://sms4smile.com/quotes/author/enock-maregesi/)

> [“Mwandishi lazima awe msomaji wa kila aina ya maandishi anayoweza kusoma. Akipanua upeo wake namna hiyo, kila atakachoandika kitaacha nukuu.”](https://sms4smile.com/quotes/enock-maregesi/mwandishi-lazima-awe-msomaji-wa-kila-aina-ya-maandishi-anayoweza/)

[Enock Maregesi](https://sms4smile.com/quotes/author/enock-maregesi/)

> [“Heri kuwa maskini mwenye pesa nyingi kuliko tajiri mwenye mifuko iliyotoboka.”](https://sms4smile.com/quotes/enock-maregesi/heri-kuwa-maskini-mwenye-pesa-nyingi-kuliko-tajiri-mwenye-mifuko/)

[Enock Maregesi](https://sms4smile.com/quotes/author/enock-maregesi/)

> [“Ukifanya maamuzi kubaliana na matatizo yake.”](https://sms4smile.com/quotes/enock-maregesi/ukifanya-maamuzi-kubaliana-na-matatizo-yake/)

[Enock Maregesi](https://sms4smile.com/quotes/author/enock-maregesi/)

> [“Unapokutana na mtu, kisha mtu huyo haoneshi dalili yoyote ya kutaka kusalimiwa; je, anataka umsalimie au usimsalimie? Ndugu yangu, onesha lugha ya mwili kuonesha…](https://sms4smile.com/quotes/enock-maregesi/unapokutana-na-mtu-kisha-mtu-huyo-haoneshi-dalili-yoyote-ya-kutaka/)

[Enock Maregesi](https://sms4smile.com/quotes/author/enock-maregesi/)

> [“Kipimo cha hofu ya Mungu ni kumjua!”](https://sms4smile.com/quotes/enock-maregesi/kipimo-cha-hofu-ya-mungu-ni-kumjua/)

[Enock Maregesi](https://sms4smile.com/quotes/author/enock-maregesi/)

> [“Nafasi yako peponi itapotea iwapo utamruhusu Pluto (kiongozi wa ahera) akukaribishe bazarai (makao makuu ya ahera) kwa kuchukua maisha yako mwenyewe. Kujiua ni kujipenda…](https://sms4smile.com/quotes/enock-maregesi/nafasi-yako-peponi-itapotea-iwapo-utamruhusu-pluto-kiongozi-wa-ahera/)

[Enock Maregesi](https://sms4smile.com/quotes/author/enock-maregesi/)

> [“Mungu ana mpango na maisha ya kila mtu hapa duniani bila kujali dini, jinsia, kabila, rangi, taifa, au umri, na kila mtu ni wa…](https://sms4smile.com/quotes/enock-maregesi/mungu-ana-mpango-na-maisha-ya-kila-mtu-hapa-duniani-bila-kujali-dini/)

[Enock Maregesi](https://sms4smile.com/quotes/author/enock-maregesi/)

> [“Hatutakiwi kuishi kama raia wa Tanzania peke yake. Tunatakiwa kuishi kama raia wa dunia na watumishi wa utu, hasa katika kipindi hiki cha zama…](https://sms4smile.com/quotes/enock-maregesi/hatutakiwi-kuishi-kama-raia-wa-tanzania-peke-yake-tunatakiwa-kuishi/)

[Enock Maregesi](https://sms4smile.com/quotes/author/enock-maregesi/)

> [“Usitegemee malaika ashuke kutoka mbinguni kuja kukutatulia shida zilizokushinda kwa uzembe. Malaika ni wewe mwenyewe. Ukifanya unachoweza kufanya, Mungu atafanya usichoweza kufanya.”](https://sms4smile.com/quotes/enock-maregesi/usitegemee-malaika-ashuke-kutoka-mbinguni-kuja-kukutatulia-shida/)

[Enock Maregesi](https://sms4smile.com/quotes/author/enock-maregesi/)

> [“Kolonia Santita ni tofauti na hadithi zingine kwa sababu ya wapelelezi wake. Wapelelezi wake ni makomandoo-wapelelezi-wanajeshi.”](https://sms4smile.com/quotes/enock-maregesi/kolonia-santita-ni-tofauti-na-hadithi-zingine-kwa-sababu-ya/)

[Enock Maregesi](https://sms4smile.com/quotes/author/enock-maregesi/)

```json
{
    "@context": "https://schema.org",
    "@graph": [
        {
            "@type": "ItemList",
            "@id": "https://sms4smile.com/quotes/about/celebrations/enock-maregesi/#itemlist",
            "name": "2 Celebrations Quotes By Enock Maregesi",
            "numberOfItems": 2,
            "itemListElement": [
                {
                    "@type": "ListItem",
                    "position": 1,
                    "item": {
                        "@type": "Quotation",
                        "text": "“Adam Kuambiana umerudi nyumbani ulikotoka, ukiongozwa na imani na mwanga wa wale uliowapenda na kuwapoteza. Hatuwezi kukumbuka kwamba umetutoka bila kukumbuka kwamba uliishi, na kwamba maisha yako yalitupa kumbukumbu nzuri tusizoweza kuzisahau haraka. Jumanne, siku ya kuuaga mwili uliokuwa ukitumiwa na wewe, wengine watasema Kwa heri lakini mimi nitasema Asante! Asante kwa sababu ya kipaji chako. Asante kwa sababu ya kujitahidi kwa kadiri ya uwezo wako wote, kutoa sauti kwa wale wote waliokuwa hawawezi kusikika. Asante kwa sababu ya kuacha dunia katika hali nzuri kuliko ulivyoikuta wakati ukiingia, na Asante kwa sababu ya maisha yako. Tukiendelea kuomboleza kifo cha Adam Kuambiana hapa duniani, wengine wanasherehekea kukutana naye huko mbinguni. Mchungaji wa uhai wa wote Mungu wa mbinguni ailaze roho yake mahali pema peponi: Yeye ni mwandishi wa hadithi ya maisha yetu na ndiye aliyeandika ukurasa wa mwisho wa hadithi ya Adam.”",
                        "creator": {
                            "@type": "Person",
                            "name": "Enock Maregesi"
                        },
                        "url": "https://sms4smile.com/quotes/enock-maregesi/adam-kuambiana-umerudi-nyumbani-ulikotoka-ukiongozwa-na-imani-na/",
                        "image": {
                            "@type": "ImageObject",
                            "@id": "https://sms4smile.com/quotes/i/0b4/enock-maregesi-493_actor_adam-kuambiana-umerudi-nyumbani-ulikotok_870727.jpg",
                            "contentUrl": "https://sms4smile.com/quotes/i/0b4/enock-maregesi-493_actor_adam-kuambiana-umerudi-nyumbani-ulikotok_870727.jpg",
                            "url": "https://sms4smile.com/quotes/i/0b4/enock-maregesi-493_actor_adam-kuambiana-umerudi-nyumbani-ulikotok_870727.jpg",
                            "width": 1080,
                            "height": 1080,
                            "caption": "“Adam Kuambiana umerudi nyumbani ulikotoka, ukiongozwa na imani na mwanga wa wale uliowapenda na kuwapoteza…” — Enock Maregesi",
                            "creditText": "SMS4Smile Quotes",
                            "creator": {
                                "@id": "https://sms4smile.com/quotes/#organization"
                            }
                        }
                    }
                },
                {
                    "@type": "ListItem",
                    "position": 2,
                    "item": {
                        "@type": "Quotation",
                        "text": "“Mwaka mpya ukifika watu husherehekea kwa vifijo na nderemo! Pumzi ikifika hawasherehekei. Kwa nini?”",
                        "creator": {
                            "@type": "Person",
                            "name": "Enock Maregesi"
                        },
                        "url": "https://sms4smile.com/quotes/enock-maregesi/mwaka-mpya-ukifika-watu-husherehekea-kwa-vifijo-na-nderemo-pumzi/",
                        "image": {
                            "@type": "ImageObject",
                            "@id": "https://sms4smile.com/quotes/i/22c/enock-maregesi-493_breath_mwaka-mpya-ukifika-watu-husherehekea-kwa_2316407.jpg",
                            "contentUrl": "https://sms4smile.com/quotes/i/22c/enock-maregesi-493_breath_mwaka-mpya-ukifika-watu-husherehekea-kwa_2316407.jpg",
                            "url": "https://sms4smile.com/quotes/i/22c/enock-maregesi-493_breath_mwaka-mpya-ukifika-watu-husherehekea-kwa_2316407.jpg",
                            "width": 1080,
                            "height": 1080,
                            "caption": "“Mwaka mpya ukifika watu husherehekea kwa vifijo na nderemo! Pumzi ikifika hawasherehekei. Kwa nini?” — Enock Maregesi",
                            "creditText": "SMS4Smile Quotes",
                            "creator": {
                                "@id": "https://sms4smile.com/quotes/#organization"
                            }
                        }
                    }
                }
            ]
        },
        {
            "@type": "CollectionPage",
            "@id": "https://sms4smile.com/quotes/about/celebrations/enock-maregesi/#webpage",
            "url": "https://sms4smile.com/quotes/about/celebrations/enock-maregesi/",
            "name": "Celebrations Quotes by Enock Maregesi",
            "isPartOf": {
                "@id": "https://sms4smile.com/quotes/#website"
            },
            "mainEntity": {
                "@id": "https://sms4smile.com/quotes/about/celebrations/enock-maregesi/#itemlist"
            },
            "primaryImageOfPage": {
                "@id": "https://sms4smile.com/quotes/i/0b4/enock-maregesi-493_actor_adam-kuambiana-umerudi-nyumbani-ulikotok_870727.jpg"
            },
            "description": "2 Celebrations quotes by Enock Maregesi. Plus more from Enock Maregesi and more Celebrations sayings from other authors.",
            "breadcrumb": {
                "@id": "https://sms4smile.com/quotes/about/celebrations/enock-maregesi/#breadcrumb"
            }
        },
        {
            "@type": "BreadcrumbList",
            "@id": "https://sms4smile.com/quotes/about/celebrations/enock-maregesi/#breadcrumb",
            "itemListElement": [
                {
                    "@type": "ListItem",
                    "position": 1,
                    "name": "Home",
                    "item": "https://sms4smile.com/"
                },
                {
                    "@type": "ListItem",
                    "position": 2,
                    "name": "Quotes",
                    "item": "https://sms4smile.com/quotes/"
                },
                {
                    "@type": "ListItem",
                    "position": 3,
                    "name": "Topics",
                    "item": "https://sms4smile.com/quotes/categories/"
                },
                {
                    "@type": "ListItem",
                    "position": 4,
                    "name": "Celebrations",
                    "item": "https://sms4smile.com/quotes/about/celebrations/"
                },
                {
                    "@type": "ListItem",
                    "position": 5,
                    "name": "Enock Maregesi",
                    "item": "https://sms4smile.com/quotes/about/celebrations/enock-maregesi/"
                }
            ]
        },
        {
            "@type": "WebSite",
            "@id": "https://sms4smile.com/quotes/#website",
            "name": "SMS4Smile Quotes",
            "url": "https://sms4smile.com/quotes/",
            "publisher": {
                "@id": "https://sms4smile.com/quotes/#organization"
            }
        },
        {
            "@type": "Organization",
            "@id": "https://sms4smile.com/quotes/#organization",
            "name": "SMS4Smile Quotes",
            "url": "https://sms4smile.com/quotes/",
            "logo": {
                "@type": "ImageObject",
                "url": "https://sms4smile.com/quotes/wp-content/themes/sq/assets/icons/icon-512.png",
                "width": 512,
                "height": 512
            }
        }
    ]
}
```
