---
title: "2 Bwana Quotes by 1 author"
description: "Browse 2 Bwana quotes by 1 author. Discover the best Bwana sayings and thoughts."
image: "https://sms4smile.com/quotes/i/134/enock-maregesi-493_adui_mfalme-sulemani-alikuwa-mtu-mwenye-hekim_849104.jpg"
---

> [“Mfalme Sulemani alikuwa mtu mwenye hekima kuliko wote ulimwenguni. Anatushauri, “Adui yako akiwa ana njaa, mpe chakula; Tena akiwa ana kiu, mpe maji ya kunywa; Maana utatia makaa ya moto kichwani pake; Na BWANA atakupa thawabu (Mithali 25:21-22). Yesu anasema…](https://sms4smile.com/quotes/enock-maregesi/mfalme-sulemani-alikuwa-mtu-mwenye-hekima-kuliko-wote-ulimwenguni/)

[Enock Maregesi](https://sms4smile.com/quotes/author/enock-maregesi/)

[Image](https://sms4smile.com/quotes/i/134/enock-maregesi-493_adui_mfalme-sulemani-alikuwa-mtu-mwenye-hekim_849104.jpg)

> [“John Murphy amefariki dunia. Ndege aliyotoka nayo hapa, Dar es Salaam, ndiyo aliyotoka nayo Paris na ndiyo hiyo iliyoanguka katika mazingira ya kutatanisha. Watu waliobahatika kuing’amua fununu hii ni wachache na ambao hivi sasa hawajiwezi kabisa, akiwemo kamishna wetu wa…](https://sms4smile.com/quotes/enock-maregesi/john-murphy-amefariki-dunia-ndege-aliyotoka-nayo-hapa-dar-es-salaam/)

[Enock Maregesi](https://sms4smile.com/quotes/author/enock-maregesi/)

[Image](https://sms4smile.com/quotes/i/572/enock-maregesi-493_bwana_john-murphy-amefariki-dunia-ndege-aliyot_1009069.jpg)

```json
{
    "@context": "https://schema.org",
    "@graph": [
        {
            "@type": "ItemList",
            "@id": "https://sms4smile.com/quotes/about/bwana/#itemlist",
            "name": "Bwana Quotes",
            "numberOfItems": 2,
            "itemListElement": [
                {
                    "@type": "ListItem",
                    "position": 1,
                    "item": {
                        "@type": "Quotation",
                        "text": "“Mfalme Sulemani alikuwa mtu mwenye hekima kuliko wote ulimwenguni. Anatushauri, “Adui yako akiwa ana njaa, mpe chakula; Tena akiwa ana kiu, mpe maji ya kunywa; Maana utatia makaa ya moto kichwani pake; Na BWANA atakupa thawabu (Mithali 25:21-22). Yesu anasema jambo fulani linalofanana sana na hilo katika mafundisho Yake yaliyofuata (Mathayo 5:44-45). Kitendo cha kutukanwa, kupigwa, kushtakiwa au kulazimishwa kubeba mzigo mzito usio wa kwako kinaweza kusababisha mafutu mabaya kabisa katika asili ya binadamu. Yaani, chuki, hasira, ukatili na hata vurugu. Lakini pale wale waliobarikiwa kuwa na hekima wanapojikuta katika majaribu makubwa kama hayo tabia yao haitakiwi kuwa ya shari, inda au ya kulipiza kisasi. Bali inatakiwa kuwa ya kusaidia, kuwa na ridhaa ya kutenda mambo mema, na kuwa mwema kwa wengine siku zote.”",
                        "creator": {
                            "@type": "Person",
                            "name": "Enock Maregesi"
                        },
                        "url": "https://sms4smile.com/quotes/enock-maregesi/mfalme-sulemani-alikuwa-mtu-mwenye-hekima-kuliko-wote-ulimwenguni/",
                        "image": {
                            "@type": "ImageObject",
                            "@id": "https://sms4smile.com/quotes/i/134/enock-maregesi-493_adui_mfalme-sulemani-alikuwa-mtu-mwenye-hekim_849104.jpg",
                            "contentUrl": "https://sms4smile.com/quotes/i/134/enock-maregesi-493_adui_mfalme-sulemani-alikuwa-mtu-mwenye-hekim_849104.jpg",
                            "url": "https://sms4smile.com/quotes/i/134/enock-maregesi-493_adui_mfalme-sulemani-alikuwa-mtu-mwenye-hekim_849104.jpg",
                            "width": 1080,
                            "height": 1080,
                            "caption": "“Mfalme Sulemani alikuwa mtu mwenye hekima kuliko wote ulimwenguni. Anatushauri, “Adui yako akiwa ana njaa…” — Enock Maregesi",
                            "creditText": "SMS4Smile Quotes",
                            "creator": {
                                "@id": "https://sms4smile.com/quotes/#organization"
                            }
                        }
                    }
                },
                {
                    "@type": "ListItem",
                    "position": 2,
                    "item": {
                        "@type": "Quotation",
                        "text": "“John Murphy amefariki dunia. Ndege aliyotoka nayo hapa, Dar es Salaam, ndiyo aliyotoka nayo Paris na ndiyo hiyo iliyoanguka katika mazingira ya kutatanisha. Watu waliobahatika kuing’amua fununu hii ni wachache na ambao hivi sasa hawajiwezi kabisa, akiwemo kamishna wetu wa kanda Profesa Mafuru. Profesa yuko mahututi. Ameshtuka baada ya kusikia taarifa hizo katika redio ya hapa. Yuko chini ya uangalizi mkali wa madaktari. Mungu aiweke roho ya John Murphy, shujaa wa karne, mahali pema peponi. Bwana alitoa na Bwana ametwaa. Jina la Bwana lihimidiwe.”",
                        "creator": {
                            "@type": "Person",
                            "name": "Enock Maregesi"
                        },
                        "url": "https://sms4smile.com/quotes/enock-maregesi/john-murphy-amefariki-dunia-ndege-aliyotoka-nayo-hapa-dar-es-salaam/",
                        "image": {
                            "@type": "ImageObject",
                            "@id": "https://sms4smile.com/quotes/i/572/enock-maregesi-493_bwana_john-murphy-amefariki-dunia-ndege-aliyot_1009069.jpg",
                            "contentUrl": "https://sms4smile.com/quotes/i/572/enock-maregesi-493_bwana_john-murphy-amefariki-dunia-ndege-aliyot_1009069.jpg",
                            "url": "https://sms4smile.com/quotes/i/572/enock-maregesi-493_bwana_john-murphy-amefariki-dunia-ndege-aliyot_1009069.jpg",
                            "width": 1080,
                            "height": 1080,
                            "caption": "“John Murphy amefariki dunia. Ndege aliyotoka nayo hapa, Dar es Salaam, ndiyo aliyotoka nayo Paris na ndiyo…” — Enock Maregesi",
                            "creditText": "SMS4Smile Quotes",
                            "creator": {
                                "@id": "https://sms4smile.com/quotes/#organization"
                            }
                        }
                    }
                }
            ]
        },
        {
            "@type": "CollectionPage",
            "@id": "https://sms4smile.com/quotes/about/bwana/#webpage",
            "url": "https://sms4smile.com/quotes/about/bwana/",
            "name": "Bwana Quotes",
            "isPartOf": {
                "@id": "https://sms4smile.com/quotes/#website"
            },
            "mainEntity": {
                "@id": "https://sms4smile.com/quotes/about/bwana/#itemlist"
            },
            "primaryImageOfPage": {
                "@id": "https://sms4smile.com/quotes/i/134/enock-maregesi-493_adui_mfalme-sulemani-alikuwa-mtu-mwenye-hekim_849104.jpg"
            },
            "description": "Browse 2 Bwana quotes by 1 author. Discover the best Bwana sayings and thoughts.",
            "breadcrumb": {
                "@id": "https://sms4smile.com/quotes/about/bwana/#breadcrumb"
            }
        },
        {
            "@type": "BreadcrumbList",
            "@id": "https://sms4smile.com/quotes/about/bwana/#breadcrumb",
            "itemListElement": [
                {
                    "@type": "ListItem",
                    "position": 1,
                    "name": "Home",
                    "item": "https://sms4smile.com/"
                },
                {
                    "@type": "ListItem",
                    "position": 2,
                    "name": "Quotes",
                    "item": "https://sms4smile.com/quotes/"
                },
                {
                    "@type": "ListItem",
                    "position": 3,
                    "name": "Topics",
                    "item": "https://sms4smile.com/quotes/categories/"
                },
                {
                    "@type": "ListItem",
                    "position": 4,
                    "name": "Bwana Quotes",
                    "item": "https://sms4smile.com/quotes/about/bwana/"
                }
            ]
        },
        {
            "@type": "WebSite",
            "@id": "https://sms4smile.com/quotes/#website",
            "name": "SMS4Smile Quotes",
            "url": "https://sms4smile.com/quotes/",
            "publisher": {
                "@id": "https://sms4smile.com/quotes/#organization"
            }
        },
        {
            "@type": "Organization",
            "@id": "https://sms4smile.com/quotes/#organization",
            "name": "SMS4Smile Quotes",
            "url": "https://sms4smile.com/quotes/",
            "logo": {
                "@type": "ImageObject",
                "url": "https://sms4smile.com/quotes/wp-content/themes/sq/assets/icons/icon-512.png",
                "width": 512,
                "height": 512
            }
        }
    ]
}
```
