---
title: "2 Breast Quotes By Enock Maregesi"
description: "2 Breast quotes by Enock Maregesi. Plus more from Enock Maregesi and more Breast sayings from other authors."
image: "https://sms4smile.com/quotes/i/a05/enock-maregesi-493_bad_jicho-ni-kiungo-cha-ajabu-zaidi-kuliko-v_984288.jpg"
---

> [“Jicho ni kiungo cha ajabu zaidi kuliko viungo vyote katika mwili wa mwanadamu baada ya ubongo. Jicho moja linatengenezwa na viungo vidogovidogo zaidi ya milioni mbili, vinavyofanya kazi kwa pamoja bila kukosea. Macho yana nguvu ya ajabu. Huu ni wito…](https://sms4smile.com/quotes/enock-maregesi/jicho-ni-kiungo-cha-ajabu-zaidi-kuliko-viungo-vyote-katika-mwili-wa/)

[Enock Maregesi](https://sms4smile.com/quotes/author/enock-maregesi/)

[Image](https://sms4smile.com/quotes/i/a05/enock-maregesi-493_bad_jicho-ni-kiungo-cha-ajabu-zaidi-kuliko-v_984288.jpg)

> [“Kwa nini mtoto mchanga anapokuwa ananyonya ziwa la mama yake, mara nyingi humwangalia mama yake machoni? Kwa sababu, licha ya macho kuonekana kitu cha ajabu kwake, mtoto mchanga, bila kujitambua, hutamani sana mama yake amwambie neno zuri atakalolitumia baadaye katika…](https://sms4smile.com/quotes/enock-maregesi/kwa-nini-mtoto-mchanga-anapokuwa-ananyonya-ziwa-la-mama-yake-mara/)

[Enock Maregesi](https://sms4smile.com/quotes/author/enock-maregesi/)

[Image](https://sms4smile.com/quotes/i/590/enock-maregesi-493_baby_kwa-nini-mtoto-mchanga-anapokuwa-ananyon_1502031.jpg)

## More by Enock Maregesi

> [“Ukitaka kuleta mabadiliko katika dunia huna budi kubadilika wewe kwanza. Ukibadilika ukawa mwema katika jamii yako umeleta mabadiliko katika dunia.”](https://sms4smile.com/quotes/enock-maregesi/ukitaka-kuleta-mabadiliko-katika-dunia-huna-budi-kubadilika-wewe/)

[Enock Maregesi](https://sms4smile.com/quotes/author/enock-maregesi/)

> [“Watu wenye ujuzi au vipaji wanatakiwa kwenda shule kusomea ujuzi au vipaji vyao – kwa miezi mitatu au sita angalau.”](https://sms4smile.com/quotes/enock-maregesi/watu-wenye-ujuzi-au-vipaji-wanatakiwa-kwenda-shule-kusomea-ujuzi-au/)

[Enock Maregesi](https://sms4smile.com/quotes/author/enock-maregesi/)

> [“Mungu akikubariki kipaji chako watu watasema ni laana. Maisha yako ni sawa na mto. Unakoelekea ni baharini. Lakini sasa umefika kwenye mlango wa bahari.…](https://sms4smile.com/quotes/enock-maregesi/mungu-akikubariki-kipaji-chako-watu-watasema-ni-laana-maisha-yako-ni/)

[Enock Maregesi](https://sms4smile.com/quotes/author/enock-maregesi/)

> [“Ningependa kujitokeza leo kutoa salamu zangu za rambirambi kwa Watu wa Musoma; kutokana na ajali mbaya ya mabasi ya J4 Express, Mwanza Coach, na…](https://sms4smile.com/quotes/enock-maregesi/ningependa-kujitokeza-leo-kutoa-salamu-zangu-za-rambirambi-kwa-watu/)

[Enock Maregesi](https://sms4smile.com/quotes/author/enock-maregesi/)

> [“Mungu hutumia watu 'wajinga' na 'wapumbavu' kufanya mambo makubwa katika maisha yao na ya watu wengine. Katika Biblia, Musa aliitwa mjinga alipokiuka amri ya…](https://sms4smile.com/quotes/enock-maregesi/mungu-hutumia-watu-wajinga-na-wapumbavu-kufanya-mambo-makubwa-katika/)

[Enock Maregesi](https://sms4smile.com/quotes/author/enock-maregesi/)

> [“Mwandishi lazima awe msomaji wa kila aina ya maandishi anayoweza kusoma. Akipanua upeo wake namna hiyo, kila atakachoandika kitaacha nukuu.”](https://sms4smile.com/quotes/enock-maregesi/mwandishi-lazima-awe-msomaji-wa-kila-aina-ya-maandishi-anayoweza/)

[Enock Maregesi](https://sms4smile.com/quotes/author/enock-maregesi/)

> [“Heri kuwa maskini mwenye pesa nyingi kuliko tajiri mwenye mifuko iliyotoboka.”](https://sms4smile.com/quotes/enock-maregesi/heri-kuwa-maskini-mwenye-pesa-nyingi-kuliko-tajiri-mwenye-mifuko/)

[Enock Maregesi](https://sms4smile.com/quotes/author/enock-maregesi/)

> [“Ukifanya maamuzi kubaliana na matatizo yake.”](https://sms4smile.com/quotes/enock-maregesi/ukifanya-maamuzi-kubaliana-na-matatizo-yake/)

[Enock Maregesi](https://sms4smile.com/quotes/author/enock-maregesi/)

> [“Unapokutana na mtu, kisha mtu huyo haoneshi dalili yoyote ya kutaka kusalimiwa; je, anataka umsalimie au usimsalimie? Ndugu yangu, onesha lugha ya mwili kuonesha…](https://sms4smile.com/quotes/enock-maregesi/unapokutana-na-mtu-kisha-mtu-huyo-haoneshi-dalili-yoyote-ya-kutaka/)

[Enock Maregesi](https://sms4smile.com/quotes/author/enock-maregesi/)

> [“Kipimo cha hofu ya Mungu ni kumjua!”](https://sms4smile.com/quotes/enock-maregesi/kipimo-cha-hofu-ya-mungu-ni-kumjua/)

[Enock Maregesi](https://sms4smile.com/quotes/author/enock-maregesi/)

> [“Nafasi yako peponi itapotea iwapo utamruhusu Pluto (kiongozi wa ahera) akukaribishe bazarai (makao makuu ya ahera) kwa kuchukua maisha yako mwenyewe. Kujiua ni kujipenda…](https://sms4smile.com/quotes/enock-maregesi/nafasi-yako-peponi-itapotea-iwapo-utamruhusu-pluto-kiongozi-wa-ahera/)

[Enock Maregesi](https://sms4smile.com/quotes/author/enock-maregesi/)

> [“Mungu ana mpango na maisha ya kila mtu hapa duniani bila kujali dini, jinsia, kabila, rangi, taifa, au umri, na kila mtu ni wa…](https://sms4smile.com/quotes/enock-maregesi/mungu-ana-mpango-na-maisha-ya-kila-mtu-hapa-duniani-bila-kujali-dini/)

[Enock Maregesi](https://sms4smile.com/quotes/author/enock-maregesi/)

> [“Hatutakiwi kuishi kama raia wa Tanzania peke yake. Tunatakiwa kuishi kama raia wa dunia na watumishi wa utu, hasa katika kipindi hiki cha zama…](https://sms4smile.com/quotes/enock-maregesi/hatutakiwi-kuishi-kama-raia-wa-tanzania-peke-yake-tunatakiwa-kuishi/)

[Enock Maregesi](https://sms4smile.com/quotes/author/enock-maregesi/)

> [“Usitegemee malaika ashuke kutoka mbinguni kuja kukutatulia shida zilizokushinda kwa uzembe. Malaika ni wewe mwenyewe. Ukifanya unachoweza kufanya, Mungu atafanya usichoweza kufanya.”](https://sms4smile.com/quotes/enock-maregesi/usitegemee-malaika-ashuke-kutoka-mbinguni-kuja-kukutatulia-shida/)

[Enock Maregesi](https://sms4smile.com/quotes/author/enock-maregesi/)

> [“Kolonia Santita ni tofauti na hadithi zingine kwa sababu ya wapelelezi wake. Wapelelezi wake ni makomandoo-wapelelezi-wanajeshi.”](https://sms4smile.com/quotes/enock-maregesi/kolonia-santita-ni-tofauti-na-hadithi-zingine-kwa-sababu-ya/)

[Enock Maregesi](https://sms4smile.com/quotes/author/enock-maregesi/)

```json
{
    "@context": "https://schema.org",
    "@graph": [
        {
            "@type": "ItemList",
            "@id": "https://sms4smile.com/quotes/about/breast/enock-maregesi/#itemlist",
            "name": "2 Breast Quotes By Enock Maregesi",
            "numberOfItems": 2,
            "itemListElement": [
                {
                    "@type": "ListItem",
                    "position": 1,
                    "item": {
                        "@type": "Quotation",
                        "text": "“Jicho ni kiungo cha ajabu zaidi kuliko viungo vyote katika mwili wa mwanadamu baada ya ubongo. Jicho moja linatengenezwa na viungo vidogovidogo zaidi ya milioni mbili, vinavyofanya kazi kwa pamoja bila kukosea. Macho yana nguvu ya ajabu. Huu ni wito kwa akina mama wanaonyonyesha: Usizungumze maneno mabaya mtoto wako mchanga anapokuangalia machoni wakati ananyonya ziwa lako. Neno lolote utakalomwambia, zuri au baya, pamoja na kwamba amekuwa akisikia sauti yako kwa miezi kadhaa akiwa tumboni, litajirekodi katika akili yake isiyotambua bila wewe au yeye mwenyewe kujua. Neno hilo litakuja kumuathiri baadaye atakapokuwa mkubwa. Atakapopevuka, atakapokuwa na uwezo wa kupambanua mambo, atakuwa anaota na kuwaza kile ambacho ulikuwa ukimwambia alipokuwa tumboni; na alipokuwa akinyonya na kukukodolea macho.”",
                        "creator": {
                            "@type": "Person",
                            "name": "Enock Maregesi"
                        },
                        "url": "https://sms4smile.com/quotes/enock-maregesi/jicho-ni-kiungo-cha-ajabu-zaidi-kuliko-viungo-vyote-katika-mwili-wa/",
                        "image": {
                            "@type": "ImageObject",
                            "@id": "https://sms4smile.com/quotes/i/a05/enock-maregesi-493_bad_jicho-ni-kiungo-cha-ajabu-zaidi-kuliko-v_984288.jpg",
                            "contentUrl": "https://sms4smile.com/quotes/i/a05/enock-maregesi-493_bad_jicho-ni-kiungo-cha-ajabu-zaidi-kuliko-v_984288.jpg",
                            "url": "https://sms4smile.com/quotes/i/a05/enock-maregesi-493_bad_jicho-ni-kiungo-cha-ajabu-zaidi-kuliko-v_984288.jpg",
                            "width": 1080,
                            "height": 1080,
                            "caption": "“Jicho ni kiungo cha ajabu zaidi kuliko viungo vyote katika mwili wa mwanadamu baada ya ubongo. Jicho moja…” — Enock Maregesi",
                            "creditText": "SMS4Smile Quotes",
                            "creator": {
                                "@id": "https://sms4smile.com/quotes/#organization"
                            }
                        }
                    }
                },
                {
                    "@type": "ListItem",
                    "position": 2,
                    "item": {
                        "@type": "Quotation",
                        "text": "“Kwa nini mtoto mchanga anapokuwa ananyonya ziwa la mama yake, mara nyingi humwangalia mama yake machoni? Kwa sababu, licha ya macho kuonekana kitu cha ajabu kwake, mtoto mchanga, bila kujitambua, hutamani sana mama yake amwambie neno zuri atakalolitumia baadaye katika maisha yake atakapokuwa mkubwa. Maneno huumba. Ukimwambia mwanao kuwa anaonekana atakuwa jambazi, anaweza kuwa jambazi kweli atakapokuwa mkubwa; ukimwambia kuwa anaonekana atakuwa mwanasheria, anaweza kuwa mwanasheria kweli atakapokuwa mkubwa.”",
                        "creator": {
                            "@type": "Person",
                            "name": "Enock Maregesi"
                        },
                        "url": "https://sms4smile.com/quotes/enock-maregesi/kwa-nini-mtoto-mchanga-anapokuwa-ananyonya-ziwa-la-mama-yake-mara/",
                        "image": {
                            "@type": "ImageObject",
                            "@id": "https://sms4smile.com/quotes/i/590/enock-maregesi-493_baby_kwa-nini-mtoto-mchanga-anapokuwa-ananyon_1502031.jpg",
                            "contentUrl": "https://sms4smile.com/quotes/i/590/enock-maregesi-493_baby_kwa-nini-mtoto-mchanga-anapokuwa-ananyon_1502031.jpg",
                            "url": "https://sms4smile.com/quotes/i/590/enock-maregesi-493_baby_kwa-nini-mtoto-mchanga-anapokuwa-ananyon_1502031.jpg",
                            "width": 1080,
                            "height": 1080,
                            "caption": "“Kwa nini mtoto mchanga anapokuwa ananyonya ziwa la mama yake, mara nyingi humwangalia mama yake machoni? Kwa…” — Enock Maregesi",
                            "creditText": "SMS4Smile Quotes",
                            "creator": {
                                "@id": "https://sms4smile.com/quotes/#organization"
                            }
                        }
                    }
                }
            ]
        },
        {
            "@type": "CollectionPage",
            "@id": "https://sms4smile.com/quotes/about/breast/enock-maregesi/#webpage",
            "url": "https://sms4smile.com/quotes/about/breast/enock-maregesi/",
            "name": "Breast Quotes by Enock Maregesi",
            "isPartOf": {
                "@id": "https://sms4smile.com/quotes/#website"
            },
            "mainEntity": {
                "@id": "https://sms4smile.com/quotes/about/breast/enock-maregesi/#itemlist"
            },
            "primaryImageOfPage": {
                "@id": "https://sms4smile.com/quotes/i/a05/enock-maregesi-493_bad_jicho-ni-kiungo-cha-ajabu-zaidi-kuliko-v_984288.jpg"
            },
            "description": "2 Breast quotes by Enock Maregesi. Plus more from Enock Maregesi and more Breast sayings from other authors.",
            "breadcrumb": {
                "@id": "https://sms4smile.com/quotes/about/breast/enock-maregesi/#breadcrumb"
            }
        },
        {
            "@type": "BreadcrumbList",
            "@id": "https://sms4smile.com/quotes/about/breast/enock-maregesi/#breadcrumb",
            "itemListElement": [
                {
                    "@type": "ListItem",
                    "position": 1,
                    "name": "Home",
                    "item": "https://sms4smile.com/"
                },
                {
                    "@type": "ListItem",
                    "position": 2,
                    "name": "Quotes",
                    "item": "https://sms4smile.com/quotes/"
                },
                {
                    "@type": "ListItem",
                    "position": 3,
                    "name": "Topics",
                    "item": "https://sms4smile.com/quotes/categories/"
                },
                {
                    "@type": "ListItem",
                    "position": 4,
                    "name": "Breast",
                    "item": "https://sms4smile.com/quotes/about/breast/"
                },
                {
                    "@type": "ListItem",
                    "position": 5,
                    "name": "Enock Maregesi",
                    "item": "https://sms4smile.com/quotes/about/breast/enock-maregesi/"
                }
            ]
        },
        {
            "@type": "WebSite",
            "@id": "https://sms4smile.com/quotes/#website",
            "name": "SMS4Smile Quotes",
            "url": "https://sms4smile.com/quotes/",
            "publisher": {
                "@id": "https://sms4smile.com/quotes/#organization"
            }
        },
        {
            "@type": "Organization",
            "@id": "https://sms4smile.com/quotes/#organization",
            "name": "SMS4Smile Quotes",
            "url": "https://sms4smile.com/quotes/",
            "logo": {
                "@type": "ImageObject",
                "url": "https://sms4smile.com/quotes/wp-content/themes/sq/assets/icons/icon-512.png",
                "width": 512,
                "height": 512
            }
        }
    ]
}
```
